Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hadi kufikia Jumanne, Februari 14, 2023, Jumla ya laini za simu 900,000 ambazo hazikuwa na Usajili Rasmi wa Alama za Vidole na Kitambulisho cha Taifa, zilikuwa zimefungiwa mawasiliano.
Uzimaji unazihusu Laini zote ambazo watumiaji wake hawajakamilisha Usajili kwa Alama za Vidole na Ktambulisho cha Taifa ambapo hadi kufikia Februari 5, 2023, Laini Milioni 1.92 hazikuwa na Usajili rasmi.
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA), Laini za Simu zenye Usajili rasmi...
Wanajukwaa salaam
Nimehakiki laini zangu na kuomba taarifa za idadi ya laini zilizosajiliwa kupitia namba yangu ya NIDA nimegundua mapungufu yafuatayo
1: Idadi ya namba nilizoambiwa kama zimesajiliwa kupitia namba yangu ya NIDA baadhi sijawahi kuzisajili
2: Baadhi ya namba nilizoletewa...
Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeongeza Siku 14 kutoka Januari 31, 2023 iliyopangwa kufungia Mawasiliano ya Laini za Simu mbazo hazijakamilisha usajili wa alama za Vidole na Kitambulisho cha Taifa.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, #NapeNnauye...
Habari zenu, nimeona hii huduma ikiwa inajadiliwa sana humu ndani na ningependa kujua kama naweza kuitumia kwenye simu ya mkononi?
Ni kwa matumizi ya familia nikiwa nyumbani hasa kuanzia mida ya jioni lakini nikiwa ofisini nataka niwe nayo.
Habari wakuu natumaini mko poa wote,
Iko hivi kuna kipindi nilipoteza simu yangu ya smart pamoja na laini yani niliibiwa sasa nikakaa kama mwezi maana simu nilikuwa naona sehemu ilipo nikaamini nitaipata baadae nikaja nikakata tamaa nikaona isiwe kesi ngoja nirudishe laini zangu.
Siku...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema ikifika Januari 31, 2023 namba za simu ambazo hazitakuwa zimehakikiwa zitazuiliwa kupokea na kutoa huduma za Mawasiliano.
Taarifa ya Mkurugenzi Mkuu wa TCRA imesisitiza kuwa kila mtumiaji wa huduma za Mawasiliano anapaswa kutekeleza na kukamilisha...
Imezoeleka kwa watanzania kuita nyimbo laini kama za wasanii hapo juu blues. Lakini ukweli ni kuwa blues ni nyimbo za aina tofauti kabisa na wala siyo laini.
Na hata ukitafuta huwezi kuta wanasema Celine Dion anaimba blues. Blues ni nyimbo za kelele na ndiyo zilizaa Rock n' Roll. Ni nyimbo za...
Abdi Zeila amefungua kesi ya madai dhidi ya kampuni hiyo ya Mawasiliano akiituhumu kufanya mabadiliko hayo kitendo kilichopelekea kutolewa fedha kupitia Benki ya NCBA bila ridhaa yake.
Zeila amesema wizi huo usingewezekana bila kuwepo mtu mwenye kibali cha kuifikia mifumo ya Taarifa Binafsi za...
Mwigulu Nchemba na tozo nyingine tena.
Tozo hii ni tozo ya laini ya simu. Yaani Ukiweka vocha tu kwenye simu yako wanakukata Tozo, licha ya ukweli kwamba kila ukiweka salio kwenye simu yako unakatwa kodi ya asilimia 18 ya VAT.
Halafu Mwigulu Nchemba anakuja na habari zilezile za kodi ikajenge...
Wadau naomba kufahamishwa kuhusu smart kitochi ya kampuni gani ambayo nikiinunua itakuwa rahisi kutoa lock na kuweza kuweka laini ya mtandao mwingine wowote tofauti.
Sekta ya nishati ni vigumu mno kunyooka ikiendelea kuongozwa na mtu laini na legelege mfano wa January Makamba.
Ukweli usemwe tu Rais Samia alizingirwa na maharamia yaliyomshawishi ampe huyo bwana mdogo wizara ya nishati ili aende kulinda maslahi yao.
Sekta ya nishati ni muhimu kuongozwa na...
bei
camera
cover
dubai
free
from
galaxy
google
google pixel
hot
huawei
infinix
iphone
iphone 11
iphone x
kali
laini
mbili
mtandao
note
note 9
offer
oppo
pro
ram
redmi
samsung
samsung galaxy
sana
sony
spark
tecno
used
Karanja Matindi, raia wa Kenya, Eliud anayeishi Uingereza ameifungulia mashitaka Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) kwa kuagiza watumiaji wote wa laini za simu kujisajili upya, akitaka Mahakama ipinge maamuzi hayo kuwa ni kinyume cha katiba.
Mamlaka ilitoa tangazo kuwa laini ambazo...
Jamani habari ndugu?
Nimenunua simu Amazon nikakimbilia bei nimekuja kungudua shinda wakati ikiwa imekwisha tumwa kuwa hii simu niyakampuni ya total wireless je, kwa hapa bongo inaweza kusoma laini za huku?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.