laini

  1. Kukithiri mauaji nchini: Waziri Masauni kukutana na viongozi Polisi kujadili. Aagiza wanaosajilia watu laini za simu wasakwe

    WAZIRI MASAUNI AWAITA VIONGOZI POLISI KUJADILI MATUKIO YA MAUAJI NCHINI, AAGIZA WANAOCHAFUA VIONGOZI MITANDAONI, WANAOSAJILIA WATU LAINI ZA SIMU, WANAOSAMBAZA PICHA CHAFU WASAKWE Na WMNN, Dar es Salaam KUTOKANA na mauaji ya kijamii yanayoendelea nchini, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
  2. Laini za Simu zaripotiwa kufungwa nchini Sudan

    Laini za Simu zimedaiwa kufungwa kabla ya Maandamano yaliyopangwa kufanyika katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Khartoum kupinga Utawala wa Kijeshi. Huduma za Intaneti zimeendelea kuminywa tangu Oktoba 25 licha ya kuwepo maagizo ya kuzirejesha, hali ambayo imeweka ugumu kwa Wanaharakati kuandaa...
  3. T

    Kwanini wapinzani Tanzania wanatamani kufanya siasa kwenye mazingira laini bila kuyalainisha!?

    Mapambano ya kisiasa hayajawahi kuwa rahisi mahali popote duniani na hii ni kutokana na ukweli kwamba inakupa madaraka makubwa sana kwa njia nyepesi tu yaani kushawishi watu wakuunge mkono. Ni kutokana na ukweli huo ndio maana ni kazi ngumu sana kumtoa madarakani anayetawala hivi sasa, kuliko...
  4. Msaada: Laini yangu imefungiwa kwa kufanya hivi

    Habarini wana JamiiForums, Niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Mnamo wiki uliyopita hii nilipokea meseji kutoka kwa namba ngeni nisiyoitambua(tapeli),sms yenyewe ilikuwa ikinieleza kumtafta mganga Sanga ambaye ni mtaalamu wa dawa za jadi na ikaweka namba za mganga Sanga. Baada ya sms iyo...
  5. Nisajili laini gani nyingine tofauti na TTCL na Vodacom?

    Habari wakuu, Kwa sasa ningependa kuongeza laini nyingine yenye ofa nzuri nzuri za vifurushi, je ni laini gani ingefaaa maana naona nishazichoka voda na TTCL. Nawasilisha.
  6. Laini ya wakala ya tigopesa

    NANUNUA LAINI YA WAKALA YA TIGOPESA, KAMA UNAYO NICHEK KWA 0629251988. NIPO DAR
  7. M

    Kukaa na line ya simu nje ya nchi kwa zaidi ya mwaka bila kufungiwa

    Wadau, Kwa wenye ufahamu naomba kujua ikiwa nataka kusafiri na line ya simu (sim card), nifanyeje ili niweze kukaa nayo nje ya nchi kwa muda mrefu bila kufungiwa. Natanguliza shukrani
  8. Napataje laini za Lipa kwa M-Pesa au Tigo Pesa?

    Kwema ndugu, Naombeni utaratibu wa kupata hizi lain za lipa hapa kwa M-Ppesa au Tigo Pesa.
  9. G

    Tozo zote za simu zinapaswa kuondolewa ili kukuza uchumi

    Tozo zote za simu zinapaswa kuondolewa ili kukuza uchumi Kwa mujibu wa taarifa za mtandaoni inakadiriwa kuwa watu zaidi ya bilioni 5 ulimwenguni wanatumia simu za mkononi katika shughuli mbalimbali za mawasiliano. Mbali na kuwezesha mawasiliano huduma za simu zinatajwa kama kichocheo kikubwa...
  10. Laini za simu zaidi ya 18,000 zafungiwa kwa uhalifu

    Dodoma. Serikali ya Tanzania imefungia laini za simu 18,622 baada ya kubainika kufanya matukio ya uhalifu nchini. Hayo yamesemwa na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndungulile leo Jumatano Julai 28 2021 wakati akifungua mkutano wa mapato na matumizi wa wizara na...
  11. Uchambuzi: Athari za Tozo za Laini ya Simu kwa ukuaji wa Sekta ya Mawasiliano nchini

    Wakati kilio cha wananchi kikiongezeka kuhusu tozo mpya za serikali kwenye miamala ya kifedha kupitia simu, Watanzania wanajiandaa kukabiliana na tozo mpya kwenye laini za simu kuanzia mwezi Agosti mwaka huu. Serikali imekusudia kukusanya jumla ya Tsh. bilioni 396.3 kutokana na tozo hizo ndani...
  12. Tozo ya laini za simu kuanza mwezi ujao

    MONDAY JULY 19 2021 Wakati kelele za tozo ya miamala ya simu zikiendelea kuanzia Agosti mwaka huu, watumiaji wa simu nchini wataanza kuchangia bajeti kuu ya Serikali kupitia tozo ya laini za simu kwa kila anayeongeza salio la maongezi. Dar es Salaam. Wakati kelele za tozo ya miamala ya...
  13. Je, kweli kuna laini ambazo hazikatwi tozo za miamala?

    Kufuatia ongezeko la kodi ya makato ya utumaji na utoaji pesa kwa njia mtandao masikia kuna laini ukienda kituo cha mtandao unaotumia unaenda na tin namba na leseni yaa biashara unapewa hiyo laini yenye namba ambayo ukitumia kutuma au kutoa pesa hukatwi chochote je! Ni kweli au mimi nimesikia...
  14. NIDA ni mzigo tu matapeli wanajisajili vipi bila alama za vidole

    Yaani hii nchi vituko havujawahi kuisha, pamoja na serikali kutukamia haya mambo ya Nida lakini bado tunaambiwa tuwe tunahakikisba taarifa ya line tulizosajili, hii kwahiyo inamaanisha tapeli akiwa na namba yako ya nida anaweza kusajili line? Hii ishu hata siielewagi maana ninachojua ni kwamba...
  15. Umma ujiandae. Lengai Ole Sabaya anaenda kuwa huru au kutumikia kifungo laini

    Kama ambavyo Mashehe wa uamsho walivyotolewa. Babu seya kulamba msamaha(anzi za magu). Mdude kuachiwa(kushinda kesi). Mbowe na wenzake mahakama kuamuru warejeshewe mamilioni. Singasinga. Bila shaka yoyote wewe kama mwanamchi wa kawaida jiandae kisaikolojia ya kwamba Aliye kuwa mkuu wa...
  16. Dkt. Ndugulile: Usiweke alama ya vidole zaidi ya mara moja unaposajili laini

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile ametoa wito kwa wananchi kutoweka alama za vidole zaidi ya mara moja wanapokuwa wanasajili laini ili kuepuka kumsajilia mtu mwingine ambaye ana nia ovu. Aidha amesema watatoa muda maalumu kwa kila mwananchi kuhakikisha namba...
  17. S

    Napendekeza tukatwe kodi ya Tsh 50/= kwa kila kilo ya mchele na unga wa mahindi/ngano badala ya laini za simu

    Tukifanya hivi tutakuwa tumepanua wigo wa makusanyo ya Kodi kwa maana ya idadi ya walipa kodi wangeongezeka. Tutapata hela nyingi, na karibia kila mtanzania atashiriki ktk ulipaji wa Kodi na ujenzi wa taifa kwa ujumla. Tutachangia hela kidogo sana (Tsh 50/= per kilo) lkn fedha itakuwa nyingi...
  18. S

    Bajeti 2021/22: Kodi ya uzalendo ni kaa la moto. Kila laini ya simu itakatwa Sh. 100 kila siku

    Mapendekezo ya bajeti ya 2021/2022 ni kwamba moja ya vyanzo vya fedha iwe ni kodi ya laini za simu. Kila laini ya simu kwa mujibu wa mapendekezo yaliyosomwa na waziri wa fedha itakatwa kati ya Tshs 10/= mpk Tshs 100/= kwa kila siku. Bila kusahau VAT na makato mengine yaliyokuwepo yataendelea...
  19. Kuna uwezekano wa ku-renew laini ambayo haisajiliwa kwa vidole?

    Habari wakubwa, kuna laini nilikuwa natumia ya airtel sikuisajili kwa vidole (ilifungiwa), juzi hapa nimepata namba ya NIDA sasa kabla sijaenda kuikamilisha wezi wameniibia simu ambapo hiyo laini ilikuwa ndani niliiweka tu. Kuna uwezekano wa kurenew laini ya namna hii? Mwanzo niliisajili kwa...
  20. Zitto Kabwe aliwahi kupinga kodi ya laini ya simu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…