Wakuu habarini za asubuhi.
Kama kijielezavyo kichwa cha habari hapo juu, hekima zenu zinahitajika kutoa ushauri juu ya jambo naloenda lielezea hapa chini.
Mathalan una mchumba na umekwishamtolea barua na ushaanza mlipia mahari lakini siku zijazo ukakutana na binti mwenye sifa kuliko mchumba...