Gari la Kigamboni mwasonga to Kibada linatumia mafuta ndani ya kidumu cha gallon ndani ya gari, hata likiingia sheli wanaweka mafuta kwa ndani. Hii ni hatari kwa usalama.
Gari hili linafanya route kati ya kigamboni mwasonga mpaka kibada lakini kwa mbele limeabdikwa emereti
Nilishituka...
Februari 8, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Dar na Pwani kushughulikia kero ya daladala zinazotoka nje ya Dar es Salaam, ruti Mbezi - Mlandizi kwa madai kuwa zinakatisha ruti na kuishia Njuweni Maili Moja.
Akasema kuwa hali...
Usafiri wa daladala kwa sisi wakazi wa kigamboni ni kero na shida kubwa.
1. Giza likiingia nauli zinapandishwa juu; Zinakuwa tofauti na zile elekezi za serikali.
2. Jioni daladala zinafanya kazi kwa kujisikia saana. Konda awapakize ama awaache kwanza mgombanie daladala. Kisha akiamua ndo...
Kituo cha Bajaj Ferry hapa Dar es Salaam, zile Bajaj zinazoelekea Kibada, Kisiwani n.k. wahusika wamekuwa na kawaida ya upandishaji holela wa nauli.
Nauli inajulikana ni shilingi mia saba lakini wiki kadhaa zilizopita ilipanda ghafla na kuwa Shilingi 1,000 mpaka 1,500 kwa abiria wanaoelekea...
Inashangaza sanaa
YAAN tkt za basi n MUHIMU kuliko elimu yetuu
Naangalia mikoa zaidi ya mitano wanalia upandaji WA bei kuanzia madaftari
Magodoroo
Vyatu vya shuleeeeeeee
Soksi
Vitandaaaaa
Vitabuuuuu
Kwani latra wamefaulu ku control bei za juu sikukuu
Wizara ya elimu
.tamisemi...
Hello habari!
Changamoto yangu naielekeza hasa kwa mabasi ya mikoani yatokayo Mkoa wa Kagera - Karagwe kwenda DSM au mikoa mingine wamezidi kujipangia nauli kipindi hiki mpaka kutoza nauli ya Sh 150,000 - 200,000.
Wahusika hao wanaokatisha tiketi mkononi kwa maana ya ‘physically’ ukijaribu...
Ntashangaa kusikia tkt za kulanguliwa hazipo Dec
Hii n miradi mirefu sana KUNA jamaa huwa ananunua HATA tkt 30 Dec analangua na ana madalali kabisa ukienda kwenye basi wanakwambia limejaa
Basii halijajaaaa kinachofanyika Wana mtu special ana tkt zao ndio maana wakikwambia tkt zimeisha ama...
Mamlaka ya Serikali ya Baraza la Ushauri Watumiaji Usafiri Ardhini - LATRA CCC (LATRA Consumer Consultative Council) imeanza kufanya utafiti na kuchukua maoni ya Wananchi na Wadau wengine kuhusu matumizi ya Kadi za Elekroniki zinazotumika katika usafiri wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka, Dar es...
Kwa watumiaji wa barabara ya morogoro jijini Dar-es-salaam kutokea Mbezi watakuwa wanajua kuwa kuna idadi kubwa sana ya abiria wanaokwenda na kutoka Mabibo kwenda Mbezi .
Na ili kufika mabibo ,mtu anayetoka mbezi inampasa aunganishe mabasi mawili kutokea Mbezi. Rai yangu kwa mamlaka ya LATRA ni...
LATRA (Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini) na vyama vya kutetea abiria vina jukumu kubwa katika kuhakikisha kwamba usafiri wa abiria na mizigo unakuwa wa haki, nafuu, na unaozingatia maslahi ya watumiaji wote wa huduma hizi. Hata hivyo, hali halisi inatia masikitiko makubwa, hasa linapokuja...
Kwema wakuu?
Asee Latra mtuhurumie watanzania wenzenu, toka mwaka huu uingie nimeona wananchi wa Mwasonga wanateseka sana nauli inapanda bila sababu za msingi. Zamani nauli ilikuwa 500 tu hadi feli.
Toka nauli ipande ikasogea mpaka 1000 na muda huu naandika hapa nauli kule ni 1200
Kwa mujibu...
Leo naleta kilio ambacho ni kero chetu wananchi tunaoishi Mapinga na maeneo yote yanayopakana na barabara ya Bagamoyo.
Kilio hiki kinahusu nauli za usafiri wa bajaji kwani madereva/wamiliki wa bajaji wamekuwa wakijipangia nauli zinazowapendeza wao kila kukicha kinyume na utaratibu.
Mwaka jana...
Kwa Latra na Wadau Wote Wanaohusika,
Ninatoa wito wa haraka kwa Latra kuchukua hatua muhimu kuhusu hali ya mabasi ya Kampuni ya Kimotco, hususan kwenye safari za kutoka Moshi hadi Mbeya. Ni muhimu kutambua kwamba ukosefu wa ufuatiliaji wa mabasi haya unaweza kuleta matokeo mabaya sana, ikiwa ni...
Wadau habarini za majukumu? Jana nilikata tiketi ya bus toka mkoani kuja Dar es Salaam kitu nilichokutana nacho ni tozo ya 0.5% ya LATRA hii ikoje? Imetamkwa lini? Je si kutuongezea mzigo kwenye nauli
Ma agent wa mabasi hasa yamikoani wanatoza abiria nauli ambazo ni kinyume na nauli elekezi.
Kwa mfano Nauli rasmi kutoka mkoani Gieta kwenda Kibondo (kigoma) kupitia nyakanazi ni Tshs. 17000/= Lakini makampuni ya mabasi kupitia ma agenti wao kutoka eneo hilo wanatoza nauli Tshs.22,000/= kinyume...
Wenye ndugu zao waliosafiri usiku wajaribu kufanya mawasiliano. Ni basi na lori, haijafahamika ni basi la kampuni gani.
Kwa mwenye habari zaidi atatujulisha. Pole sana kwa wahanga wa ajali hiyo.
=======
Watu wanne wamefariki na wengine 15 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Kapricon (T...
Wakuu hope mko poa kabisa.
Straight to the topic.
Kama siku kadhaa nyuma LATRA waliwafungia hawa Katarama kutokana na uvunjifu wa taratibu za usafirishaji.
Sasa leo nakuja na malalamiko kuwahusu hawa jamaa kama ifuatavyo.
Mosi siku ya jumatatu nimwsafiri na bus lao (wanaloita vip) kutoka dar...
Katika mji wa Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji. Vyombo vya usalama vinapaswa kufuatilia hali hii, kwani kuna madai kwamba wahusika wa LATRA wamejifanya kama vishoka.
Wasimamizi hao wapo maeneo maalum, wakiwa wamevaa sare...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kwa kushirikiana na Jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani imefanya kikao na wasafirishaji wa mabasi ya Mkoani ili kuwakumbusha kuzingatia Sheria na Kanuni za Usalama Barabarani.
Aidha, LATRA imesitisha Leseni ya kusafirisha abiria kwa kampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.