latra

Latrás is a locality located in the municipality of Sabiñánigo, in Huesca province, Aragon, Spain. As of 2020, it has a population of 12.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    UTEUZI: Rais ateua Wenyeviti wa Bodi LATRA, Airtel na Tume ya Haki za Binadamu

    Prof. Ahmed M. Ame ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (LATRA). Amemteua Eliud Betri Sanga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Airtel Tanzania akichuku nafasi ya Gabriel Malata aliyeteuliwa kuwa Jaji. Jaji Mstaafu Mathew...
  2. The Sunk Cost Fallacy 2

    Serikali kupitia LATRA yaruhusu mabasi ya abiria kuanza safari za mikoani Saa 11 Aflajiri

    Hamjambo! LATRA imetoa kibali cha ruhusa kwa mabasi ya Abiria wa mikoani kuanza safari kuanzia saa 11 alfajiri badala ya saa 12 kama ambavyo imezoeleka. Kwa mujibu wa Taarifa kutoka LATRA, kikao cha wadau kimeafikiana uamzi huo hasa kwa Mabasi ya masafa marefu. Kwa uamzi huu, abiria jiandae...
  3. comte

    LATRA acheni kuwaonea wafanyabiashara wa magari ya abiria

    Kila mwaka wakati wa sikukuu hasa za mwisho wa mwaka LATRA huongeza usimamizi kwa mabasi ya kusafirisha abiria ikihusisha usimamizi wa nauli halali. Hiki kipandi ni cha chini ya wiki tatu kati ya wiki 52 za mwaka mzima. Nje ya nyakati za sikukuu hasa za mwisho wa mwaka wasafirishaji hufanya...
  4. kavulata

    LATRA acheni kuhangaika na nauli za Desemba tu

    Binafsi sioni mantiki ya serikali kuhangaika na kupoteza muda na nauli za mabasi kila mwezi wa December ukifika. Huu ni uingiliaji wa kanuni ya biashara inayoitwa "demand and supply in relation to price". LATRA inatia aibu kugeuza kila kitu kuwa siasa na kampeni. Inajulikana na kufahamika kuwa...
  5. BARD AI

    LATRA CCC yapinga nauli mpya za SGR

    Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (Latra CCC) limependekeza nauli za abiria kwa treni ya mwendokasi (SGR) kutoka mkoa ya Dar es Salaam hadi Dodoma Sh19, 000 kwa watu wazima na wadogo Sh 9,000 kwa daraja la kawaida. Wakati huo nuali ya kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro...
  6. BOFREE

    LATRA, tunaomba majibu, kwa nini App ya Tiketi Mtandao hakuna mabasi?

    Nataka kusafiri kutoka Mwanza hadi Dar es Salaam nimeangalia kwenye app yao ya tiketi mtandao kuanzia tarehe 16,17 na kuendelea hakuna mabasi hii inaonekana wamiliki wa mabasi hawaingizi taarifa za mabasi yao kwenye mfumo.
  7. I

    Kwenu LATRA na Serikali ya Mkoa

    Juzi nikua mkoani Mbeya na Tunduma katika safari zangu ila kwa nilichoshuhudia ni mateso sana, sijui tatizo nini. Sikuweza kupata usafiri wa saa 12 alfajiri kwahiyo nikaja Uyole kuvizia usafiri wowote. Jamani, tulipandishwa bus aina ya fuso ambalo lilituacha Makambako! Mpaka tunafika Dar...
  8. Suzy Elias

    Naomba kujuzwa gharama za kusajili Hiace, Coaster au basi LATRA

    Salamu, Naomba kufahamishwa gharama/ada ya kusajili chombo cha usafiri kwa ajili ya kubeba abiria pale LATRA ni kiasi gani? Natanguliza shukrani.
  9. BARD AI

    LATRA: Mabasi yasiyotumia tiketi mtandao mwisho Septemba 1

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra), imesema kuanzia Septemba 1, 2022, mabasi yanayofanya safari za mikoani na nchi za nje yasiyotumia tiketi za mtandao hayaturusiwa kufanya shughuli za usafirishaji wa abiria. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi Agosti 18, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa...
  10. M

    LATRA yapiga Stop usafirishaji kwa kutumia magari madogo kuepuka ajali za kila siku

    RC Kafulila apiga marufuku ‘michomoko’ kusafirisha abiria Mkoa wa Simiyu Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC) nchini Tanzania, David Kafulila amepiga marufuku magari madogo maarufu michomoko kusafirisha abiria mkoani humo. Ni baada ya kuhusika kwenye matukio ya ajali yaliyosababisha vifo vya watu 10 na...
  11. benzemah

    Rais Samia amteua Habibu Juma Suluo kuwa Mkurugenzi LATRA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Habibu Juma Said Suluo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA). Bwana Suluo anachukua nafasi ya Bw. Gilliard W. Ngewe ambave amemaliza Mkataba wake. Kabla ya uteuzi huo Bw. Suluo...
  12. Jaji Mfawidhi

    LATRA yalaumiwa na wanyonge wa Mbagala

    Katika hali isiyo ya kawaida, mabasi/ daladala zenye TLB inayotolewa na LATRA Mbaga mpaka GEREZANI/ Kariakoo imekuwa shamba la bibi. Kutoka kituo cha Kariakoo, Gerezani mpaka makao makuu ya LATRA ni kilometa 2 tu lakini Daladala zikifika kariakoo siti za kukaa ni shilingi 1000 na kusimama ni...
  13. Cheology

    LATRA bado mmelala; hamjatoa mwongozo wa wazi nauli jijini Dar es Salaam. Wasafirishaji wanaamua nauli zao

    Haya mambo yanakera Sana. Kesi na magomvi kwenye daladala yanazidi na tumechoshwa na mambo haya.. Hawa wavuta bangi mliowapa mandate kujiamulia bei ni upumbavu mkubwa. Sio Daladala moja tu gari kibao. Huyo hapo mwenye gari number hiyo anakatisha route; pili nauli ulioneshwa hapo si wanayolipa...
  14. aka2030

    Huu utaratibu wa kuhubiri injili kwenye magari ya abiria ni kero kubwa, LATRA muingilie kati

    Mtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno la Bwana bila kujua watu waliopo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka. Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka.
  15. Makuku Rey

    Kwa hili LATRA wanamhujumu Rais Samia Suluhu

    Tunashukuru Bei mpya za mafuta zimetangazwa na zimeshaanza kutumika kwenye vituo vyetu vya mafuta kuanzia tarehe 1/6/2022. Lakini nnachojiuliza kwanini LATRA imepata kigugumizi kutangaza nauli mpya zilizoshushwa kwa daladala na mabasi ya mikoani? Mbona Bei ya mafuta ilipopanda kwa Tsh 100 tu...
  16. The Sunk Cost Fallacy

    Hivi LATRA ipo kwa ajili ya kudhibiti bei kwa ajili ya Mkoa wa Dar es Salaam tu?

    Kumekuwa na kilio cha kupanda nauli kwa mara mbili kwenye vyombo vya usafiri Nchi nzima,lakini cha ajabu Serikali na LATRA wameshughulikia watu wa Dar pekee. Sasa naomba kuuliza huko mikoani nauli zimepanda mara tatu lakini serikali haihangaiki wala hakuna wa kuwasemea ila watu wa Dar ndio...
Back
Top Bottom