latra

Latrás is a locality located in the municipality of Sabiñánigo, in Huesca province, Aragon, Spain. As of 2020, it has a population of 12.

View More On Wikipedia.org
  1. BABA SANIAH

    LATRA njooni Mbagala, wenye mabasi ya kwenda Kusini wanajipangia nauli zao

    Habari za muda huu. Nawasihi na kuwaomba LATRA mkoa wa Pwani wake huku Mbagala stendi ya shamba, maana haya magari ya kwenda Mkuranga, Kibiti, Kimanzichana mpaka Rufiji wao wamejipangia nauli zao. Mfano Jana abiria wa Kimanzichana Mbagala wamelipishwa nauli 4,000 wakati nauli Hali ni 3,100 tu...
  2. MDAU TZ

    LATRA yavunja rekodi ongezeko la nauli, wananchi wataharuki, patashika kwenye madaladala, Viongozi wakaa kimya

    Mamlaka ya udhibiti wa usafiri ardhini(LATRA), imefanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi na daradara siku chache zilizopita, huku ikiwa ni miezi kazaa tangu wafanye hivyo, kitendo kinacho onesha ni kuvunja rekodi kwa kubadilisha viwango vya nauli mara mbili ndani ya mwaka mmoja,kitu ambacho...
  3. Erythrocyte

    LATRA yadai kushirikisha Wananchi kabla ya kupandisha nauli

    Mkurugenzi wa LATRA amesema kwamba kabla ya kupandisha nauli za mabasi walipokea maoni ya wananchi kwanza na kuyafanyia kazi. Amesema kwamba siku ya kikao hicho Walikuwa Mubashara dunia nzima, na kwamba kila mtu aliona na wengine walishiriki na kutoa maoni yao. === “Nauli haitolewi kwa...
  4. Erythrocyte

    LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini. Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600...
  5. BARD AI

    LATRA: Mabasi 759 yanayofanya safari za Usiku yanazidisha Speed na kuchezea mfumo wa ufuatiliaji taarifa za gari (VTS)

    Mwezi mmoja tangu Serikali iruhusu safari za mabasi kwa saa 24, tathimini ya mamlaka za usimamizi imeonyesha kuwepo ukiukwaji mkubwa wa sheria na kanuni za usalama barabarani, hali inayohatarisha usalama kwa abiria na mali zao. Kutokana na ukiukwaji huo, ndani ya muda huo mabasi 759 yamekamatwa...
  6. BARD AI

    LATRA yawaonya wanaopandisha Nauli za Mabasi kiholela

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetoa onyo hili baada ya kuwepo kwa malalamiko ya Wananchi kuhusu baadhi ya Wamiliki na Kampuni za Usafirishaji Abiria kuamua kufanya mabadiliko ya Nauli kinyume na masharti ya Leseni zao. Taarifa ya Mkurugenzi wa LATRA, CPA Habibu J.S. Suluo...
  7. BARD AI

    LATRA kujadili Shinikizo la Wamiliki wa Mabasi linalotaka nauli mpya za Daladala, Mabasi

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhi (LATRA) imekusudia kuitisha mkutano wa wadau wa sekta ya usafiri nchini kupokea maoni kuhusu marejeo ya nauli za mabasi ya mikoani na daladala. Aprili 2022, LATRA ilitangaza kupanda kwa viwango vya nauli kwa daladala ilikuwa kuanzia kilomita 0 hadi 10 ilipanda...
  8. peno hasegawa

    Kilwa: Ajali yaua saba na kujeruhu 22

    Nimeandika tu. Kuna ajali imetokea Kila leo na watu zaidi ya 7 wamefariki Dunia. LATRA wako kimyaaaa
  9. Roving Journalist

    Jeshi la Polisi Mwanza na LATRA tatueni changamoto hii ya Daladala kukatisha ruti kibabe

    Kwa sasa Mwanza kuna tabia ya asilimia kubwa ya Daladala kutofika katika ‘ruti’ zao husika walizopangiwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) hasa zile zinazotoka Nyashishi kwenda Kisesa, nyingi zinaishia Igoma na wanasema kabisa wanaishia Igoma kama hutaki shuka. Kwa hivyo, abiria wa...
  10. ChoiceVariable

    LATRA yafungulia mabasi 38 ya kampuni ya New Force kuanza safari za usiku

    Haya wenye Mbeya Yao haooo wamerejea na ratiba ya saa tisa na kumi na Moja usiku baada ya Kumalizia kifungo Cha LATRA. Ni kama tuu Newforce walikuwa likizo ya services ======= Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imerudisha ratiba na leseni za mabasi 38 ya kampuni ya New Force kuanzia...
  11. Dr Msaka Habari

    Kongole LATRA kwa kusimamia mfumo mtandao

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imepongezwa na Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu kwa kusimamia mfumo wa tiketi mtandao hatua hiyo imesaidia kupunguza kero kwa abiria wa usafiri Nchini. Pongezi hiyo imetolewa wakati Kamati hiyo ikipokea taarifa ya Utendaji ya...
  12. zugimlole

    LATRA na nyie pandisheni bei ili tufe kabisa

    Ndio hivyo tena Ili TUFE vizuri kama wanavyotaka ili pia tusahau dipwedi Yao na akili iingie kichwani kwetu Yaani kula itakua tabu kabisa kwani nyanya Moja tutanunua mia Tano Michele juu kabisa ufike bei ya kilo Moja kama urefu wa mlima Kilimanjaro na unga pia juu kabisa kuzidi mlima Everest...
  13. Roving Journalist

    UTPC, MISA-TAN, LATRA, THRDC wataka waliowashambulia Waandishi, Dereva wa Mwananchi kusakwa

    ================= =================== Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) na Mamlaka ya Udhibiti, Usafiri Ardhini (Latra) wamelaani vikali kitendo cha waandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) na dereva kushambuliwa wakati wanatekeleza...
  14. AFRITRACK

    Fleet Tracking, Fuel Sensors, Smart Generators, and AI Dash Cameras

    Karibu Afritrack, Afritrack ni alama ya biashara iliyosajiliwa ya Laiki Technology Limited ambayo ni kampuni iliyoanzishwa mwezi wa Aprili 2006 na ni moja ya kampuni za kwanza kuleta huduma za kufuatilia(kutrack) magari nchini Tanzania. Kwa miaka mingi, Afritrack imebadilika na kuwa mtoa...
  15. NostradamusEstrademe

    Msaada: Gari yenye plate number ya njano kwa matumizi ya nyumbani natakiwa kulipia LATRA

    Nina gari ndogo aina ya Pickup Toyota Hilux. Gari hii ina plate number ya rangi ya njano. Kwa maana hiyo siitumii kwa kufanya biashara yoyote ni yangu tu ya kifamilia. Naomba kuuliza je, gari kama hii inahitaji kulipia LATRA? Naomba msaada wenu.
  16. Mamujay

    Bajaji ya kuchaji unahitaji vibali Latra?

    Je Bajaj ya kuchaji unahitaji kuisajili Latra ili upige nayo kazi bararrani? Je unakamatwa na trafiki barabarani?
  17. F

    LATRA ajali za usiku zisiwafanye mbadili maamuzi, wapeni madereva muda wa kuzoea safari za usiku

    Uhuru wa abiria kusafiri usiku ni muhimu mno kwa maendeleo yetu. Unatoka Arusha saa 10 jioni unafika Dar saa 10 asubuhi. Unafunga mzigo wako mchana jioni saa 10 unakamata BM unarudi Arusha asubuhi saa 10 upo Arusha. Biashara inaendelea. Madereva wa mabasi wanahitaji muda kidogo kuweza kuzoea...
  18. aka2030

    LATRA mabasi kuondoka saa 9 usiku ni usumbufu na mzigo wa wananchi

    Ni kero kubwa iliyotengenezwa na latra mabasi kuanza safari saa 9 usiku. Mfano mtu anakaa mbali na stendi hapo lazima aondoke kwake saa 6 usiku km usafiri upo au aondoke mapema akalale lodge ya karibu na stendi. Unakuta sehemu ya kusafiri na 60k unatumia mpaka 150k. Kwanini isiwe kama majirani...
  19. BARD AI

    LATRA kuanza kupiga Mnada Bajaj korofi Arusha

    “Kama mnavyojua awali waliokuwa wanatoa leseni za usafirishaji ni halmashauri ya Jiji la Arusha, lakini tangu mwaka jana tulikaa na tukaamua tufunge usajili baada ya kuonekana zimekuwa nyingi, lakini nashagaa pamoja na kufunga, bado kuna baadhi ya wafanyabiashara wameendelea kuzinunua na...
  20. GENTAMYCINE

    Kwahiyo LATRA kuyafungia Mabasi 37 ya 'New Force' ndiyo kutamaliza Ajali za Mabasi Tanzania nzima?

    Yaani Wafanyakazi wote wa LATRA ndiyo mna aina hii ya Ubongo mbovu uliowapelekea nyie kuja na Maamuzi haya ambayo GENTAMIYCINE sioni Aibu kuyaita ni ya Kipumbavu huku yakiwa yamejaa Chuki, Visasi, Wivu na Uonevu? LATRA mbona hamyachukuli hatua Mabasi ya Tajiri Mkongwe wa Mkoani Morogoro ( na...
Back
Top Bottom