Kampuni ya usafirishaji abiria ya NEW FORCE yapigwa stop leo kuendelea na safari zake baada ya kupata ajali mfululizo na kuthibitika kuwa wengi wa madereva wao hawajathibitishwa na mamlaka hiyo.
=======
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imefuta ratiba za saa 9.00 alfajiri na saa...
NAIBU WAZIRI ATUPELE MWAKIBETE AKABIDHI VYETI KWA MADEREVA 999 KUTOKA LATRA
Naibu Waziri Uchukuzi na Ujenzi, Mhe. Atupele Mwakibete tarehe 01 Julai, 2023 jijini Dar es Salaam ametoa vyeti kwa madereva 999 waliosailiwa na kuthibitishwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini Nchini (LATRA), hii...
Waslaaam Wahenga.
LATRA kama wadhibiti wa Mabasi na Daladala mnapaswa kulinda maadili ya jamii yetu.
Kumekuwepo na malalamiko ya Mabasi na Daladala kuonyesha picha zenye mahadhi ya ngono lakini hamtoi tamko lolote.
Ushahidi huu hapa daladala ya SIMU 2000 TO MNAZI T 292 ECX picha zake zinatia...
Hawa LATRA wa Makambako naona wamekaa kituoni Makambako kukata faini za 250000.
Hawana huruma na wafanyabiashara kabisa.Gari ikienda Mbeya na kurudi hesabu yake ni 150000.
Wenyewe wanamkatia mtu faini tatu mbili huku wakitishia kufungua magari Tena kwa vikosa vidogo vidogo kama mkanda haufungi...
Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri hapa nchini LATRA jana ilitoa waraka wa kuyafungia mabasi ya Kampuni ya Ally's Star na Katarama kwa Sababu walizozitaja kuwa Eti wanashindana kufika kwenye vituo vya Mabasi na mabasi yao kumwagiwa Maji.
Kama LATRA wangekuja na Hoja ya mabasi haya kufika kwenye...
1. HALI IKOJE MKOANI KWAKO
Ndugu Madereva au Mmiliki? Nataka kuuliza kuhusu mfumo huu, katika mikoa yenu ukoje, Kanda ya kaskazini, Gari yeyote ya biashara ambayo Dereva husika mwenye Leseni Daraja C1, C2, C3, C, na E.
Latra itakapoisha Muda wake katika gari hio, Mmiliki wa chombo hicho hawezi...
Juzi nilielekea Wilaya ya Peramiho kwa majukumu yangu, sasa wakati narudi kuna geti pale la ukaguzi wa mazao wakavuta kamba akaja kijana na kuuliza kuhusu stika ya LATRA kwenye pikipiki.
Nikamwambia hakuna, akasema inatakiwa kuwa na stika kwenye pikipiki na mwisho wa kulipa ilikuwa Mei 30...
Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe. Amos Makalla ni shahidi mwaminifu kwenye hilo.
Kaskazini mwanzo mzuri. Hakuna kurudi nyuma. Na mkikaza inavyopaswa, pana watu vibarua vitaota nyasi.
Kwamba ukaguzi wa magari au inatakiwa pesa kwa mtindo ule ule wa kariakoo? Kwani Kariakoo walikitanzua...
Katika tembea tembea zangu, mkoa wa Morogoro ni moja ya sehemu ambayo mfumo wa nauli haujakaa sawa. Ukipanda daladala za Dar es salaam mfumo wa nauli umekaa vizuri sana na unaeleweka na inaonesha ni wazi kabisa mamlaka zinafatilia juu ya hilo. Mfano gari linatoka Tandika kwenda Mbezi nauli ipo...
Nadhani ni suala la muda tu, maana kuna mambo hayaepukiki kwenye dunia hii inayokwenda kwa kasi ajabu.
Ilianza saa 12 mara saa 11, sasa ni saa 9 kutoka popote pale ndani ya Tanzania kuelekea mikoa mingine ili mradi ukidhi vigezo hasa kigezo cha LATRA kukuruhusu.
Mamlaka ya usafiri ya udhibiti...
Naomba kuuliza kwanini nauli za kutoka Dar kwenda mikoa mingine zinatofautiana na zile za kurudi hasa vituo vya njiani kwa mfano, hivi majuzi nilipanda bus moja kutoka Morogoro kwenda Mbeya nikalipa Tshs 45,000, jambo la kushangaza wakati narudi nilipokwenda kukata tiketi kwenye bus lilelile...
Mamlaka ya udhibiti wa vyombo vya usafirishaji nchi kavu umezifungia leseni za kutoa huduma ya usafiri kati ya Dar na Mwanza mabasi ambayo yametokea kupendwa sana na abiria.
Hizi zitakuwa tu ni janja janja za Ally's maana Katarama imetookea kupendwa sana, inajaza mapema sana.
Nimeona barua yenu ya kuwafungia katarama Luxury kwa kile mnachodai wamechezea VTD, nilitegemea mngefungia pia na makampuni mengine kama Allys, Happy Nation na New force.
Hii ni kama double standard, mnabagua wa kuwapa adhabu, kwani hao wengine wanatumia VTD za tofauti?
Trafiki hawawezi kulifungia gari kwa kosa la kutowasha taa usiku, watamuadhibu dereva. Mabasi mliyoyafungia hayana hitilafu yoyote tatizo ni madereva walizima ving'amuzi, hivyo madereva wangeadhibiwa.
LATRA hayo mabasi yapo barabarani kwa mikopo benki na wamiliki wanatakiwa wailipe hiyo mikopo...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni za usafirishaji kwa mabasi 22 kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Februari,2023
Hatua hii ni kutokana na vitendo vya kuingilia Mfumo wa Kufuatilia Mwenendo wa Magari (VTS) na kusababisha mfumo kutotuma taarifa ama kutuma taarifa kwa...
Kama wenye mabasi hawana udhibiti wala utambuzi wa ufanyaji kazi wa ving'amuzi vya LATRA kwenye magari yao, ni vipi kuwajibishwa wao kwa mapungufu yoyote kwenye vifaa hivi?
Bila shaka hawa pamoja na kufungiwa wakiwa wamelipia vibali, kodi, bima na tozo zote husika, faini nzito nzito zitakuwa...
Habari wakuu
LATRA Imesitisha Leseni za usafirishaji Kwa makampuni 22 baada ya kunainika kufanya Hujuma kwenye mfumo wa kufuatilia mwendokasi wa Mabasi.
Swali yaani Kampuni zifanye hujuma Kwa Nchi na usalama wa watu then adhabu yake iwe kusitisha Leseni Kwa Mwezi Mmja?
Huu ni mzaha ms kucheza...
Irudisheni / iwekeni upesi kwani zamani wakati wa Mzee wetu Mwaibula ilikuwepo na kwa Taarifa yenu sasa hiyo Ruti in Watu wengi na itawalipa wenye DalaDala.
Nami niwajibu kuwa mbona hata Njia (Ruti) ya Kariakoo (Gerezani) DalaDala za Kawe - Gerezani (Kariakoo) zipo pamoja na kwamba hata Mabasi...
Habari wadau, mimi sio mwandishi mzuri ila ntajitahidi ili nieleweke.
Usajili wa gari za biashara hasa mpya ili zianze route imekuwa changamoto. LATRA wameweka vigezo ambovyo vingi vinawezekana ila kuna kigezo cha Dereva kufanya mtihani na hicho ndio changamoto.
Dereva anahitajika fufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.