LATRA wametoa taarifa kwa umma kuhusu kufungia leseni ya usafirishaji Abiria ya Kampuni ya KATARAMA kwa kigezo kuwa wanachezea vidhibiti mwendo. Sina tatizo na hilo.
Ila kama ni kweli basi, naomba wawe fair kwa makampuni mengine pia, nilidhani Abood ya Bukoba na Mwanza wangekuepo, nilidhani...
Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni ya usafarishaji kwa mabasi ya kampuni ya KATARAMA Luxury baada ya uchunguzi kubaini wamekuwa wakichezea mifumo ya udhibiti mwendo kwenye mabasi yao (VTS).
Aidha LATRA ametoa onyo kali kwa makampuni manne ya mabasi ambayo yamekuwa...
Kuna tabia ya ajabu hapa stand kuu Arusha, mabasi makubwa hasa yanayotoka Moshi hayapakii abiria hata km kuna nafasi. Ila matajiri wanamdharau huyu rais wa sasa, haya mambo sikuyaona kabla, wakati nauli ni TZS 6,000 mabasi yalikuwa yanapakia abiria. Sahivi nauli ya serikali ni TZS 8,000, pamoja...
Kama sheria inavyotamka kila mwenye gari kubwa iwe ni bus au lori anatakiwa awe amelipia gharama ya Latra. Kwa uchungu kabisa kulipia Latra kumekuwa na changamoto kubwa sana. Mfano unatakiwa uende kwa vehicle inspector akague gari lako na ulipe gharama inayotakiwa.
Pili unatakiwa ulete bima...
EVERY year on the third week of August, Tanzania celebrates Road Safety Week. This week is dedicated to raising public awareness about road safety laws, proper use of pedestrian crossings and the importance of following traffic rules, especially for motorcyclists. It also includes vehicle...
Habari wana bodi.
Mimi ni mdau wa sekta ya usafirishaji na katika observations zangu nimegundua tatizo na nashauri watajwa hapo juu katika mkoa wa Morogoro kama ifuatavyo.
Manispaa ya Morogoro iliamua kuhamishia mabus madogo yote yanayokwenda nje ya mji yawe yanaanza safari zake stand ya...
Wakazi wa Vikunai kata ya Toangoma, wilayani Temeke usafiri wetu umekuwa ni wa kubahatisa na nauli zake hazieleweki.
Kwa mfano kuna ruti za Vikunai - Stesheni via Kijichi na ruti ya Vikunai Stesheni via Zakhem vivyo hivyo kwa ruti za Gerezani hazifiki kabisa Vikunai huna zinaishia Zakhem kwa...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra), inatarajia kuanzisha huduma ya ‘Ride Sharing’ kabla ya kuisha mwaka huu wa fedha 2024/25.
Watu tisa hadi 14 wataweza kupanda gari moja kwa kuomba kupitia mitandao ya simu hata kama wapo vituo tofauti.
Akizungumza na Mwananchi, leo Jumanne, Agosti...
Kila siku kampuni hii, inazalisha vifo na walemavu. Nitashangaa kama LATRA. haitawatendea haki Watanganyika.
Suala la usalama na usimamizi wa kampuni hii ya mabasi limekuwa ni tatizo kubwa kwa muda mrefu. Ni zuri kwamba serikali imekuwa ikiangalia hali hii, lakini inaonekana kwamba bado hakuna...
Dar es Salaam, 18 Julai, 2024
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) iliona taarifa zilizosambaa kupitia mtandao wa Jamii Forums tarehe 17 Julai, 2024 kuwa, "Afisa anayejulikana kwa jina la Fadhili anawalazimisha Madereva wampe fedha awalipie Faini na Stika za LATRA kwa madai mfumo...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna Afisa wa LATRA amekuwa akichukua fedha za madereva Bodaboda na Bajaj ili awalipie faini na malipo mengine ikiwemi ya stika, kisha kutofanya hivyo, mamlaka husika imejibu.
Kusoma tuhuma za Afisa huyo bofy hapa ~ Huyu Afisa anaichafua...
Viongozi wilaya ya Siha fuatilieni wananchi wanateseka toka tarehe 26/06/2024 magari ya abiria aina ya Noah na Hiece (daladala) wamepandisha nauli kiholela, ambapo kutoka Boman' ombe mpaka Sanya nauli ya Hiace imepanda mpaka Tsh 1,500 kutoka Tsh 1,000. Hii imepelekea kuleta changamoto kwa...
Tunaomba mamlaka ya usafiri LATRA iifunge kampuni ya mabasi ya BM yandayo Dar -Kilimanjaro/Arusha kutokana na udangajifu kwenye nauli.
Wanafunzi wa shule ya anwarite ambao walikuwa wanatakiwa kusafiri leo kwa mabasi aina ya luxury wametapeliwa kwa kulazimishwa kusafiri kwa kutumia mabasi ya...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imepokea maombi ya kurejea nauli za mabasi yanayotoa huduma ya usafiri wa haraka kutoka kwa UDART ambayo inatoa huduma za mpito za usafiri wa Mabasi ya Haraka katika Jiji la Dar es Salaam
Mapendekezo ya Nauli yaliyotolewa ni kama ifuatavyo, Nauli ya...
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Wiki iliyopita nilitoka nyumbani Ngara hadi Mwanza nikiwa nataka Kulala nikakuta bus la saa 9 mchana kwenda Dar, nikafika Dar saa 2 asubuhi, aisee nilifurahi mno.
Zamani tulikuwa tunafika dar usiku wa manane na kuanza kusumbuka na usafiri na sehemu za...
Cha kwanza hizo Treni mzitunze haswa hasa hayo mabehewa Kitu ambacho kinaweza kumchefua mtu na kukimbilia mabasi ni uchafu wa Treni hasa zile za Kigoma mtu akifikiria anashuka kichwa kimejaa vumbi anaona asipande basi tu full AC.
Hakikisheni safari za Dodoma kwa siku zipo hata mara 5 kwa masa...
Assalamu alleikum,
Kuna habari zimesambaa hapa Mjini Arusha kuwa LATRA wameunda SACCO'S yao ya taxi wakishirikiana na Baadhi ya matajiri wenye magari lengo likiwa Ni kuhakikisha Hakuna mtu mwingine anapewa leseni ya Minvan taxi asipojiunga na hiyo Sacco's
Sasa kuna maswali mengi yanaibuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.