Miradi mikubwa kwa midogo inaposuasua utasikia;
Kiongozi ametupa lawama kwa mkandarasi/mzabuni
Mwananchi anamlaumu kiongozi
Mkandarasi anamlaumu serikali
Yaani ni vurugu tu kila mmoja anarusha lawama kwa kutokamilika kwa mradi. Japo lawama kwenda kwa mkandarasi/mzabuni ndiyo huwa kubwa zaidi...
Mji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, kwenye mida ya 18:59 live footage ilionyesha Hamas wameanza kurusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu (misfire) likadondoka kwa kishindo kwenye Hospitali ya Al-Mamamani na kusababisha mlipuko, Baada ya dakika 11 (19:10) Hamas...
Nadhani ni wakati sahihi kwa watanzania wote waliowahi kumlaumu Nape kuhusu kampuni ya Starlink kumuomba msamaha na kuungama makosa yao. Hawakufanya vyema. Pamoja na mapungufu yake ni kuwa Mheshimiwa Nape aliona mbali katika hili.
Ndani ya muda mfupi sana wananchi wa Zambia wameshaanza...
Haina haja ya salamu,Yanga Leo kufungwa ni uzembe wa kocha mkuu wa yanga,.
Kufanya rotation ya kikosii ni jambo nzurii kwenye football ila kwa akilii ya kawaidaa ukizingatia ushindanii uliopo kwenye ligi msimu huu unaendaa kucheza na timu kama Ihefu ambayo...
Kwa nini umeme unakatika kila muda au serikali mnataka kuuza majenereta nini chanzo cha kukatika umeme maana wananchi tunateseka sana mboga zetu zinachacha kwenye mafriji sisi wafanya biashara wa vinywaji tunapata shida sana skuizi
Siku chache zilizopita, kulifanyika mabadiriko ya Mawaziri...pale Nishati walihamishwa wote...je ilikua njia ya kuwaepusha na matope au ni coincidence?
Bado sehemu mbalimbali za nchi yetu zinaendelea kujadili kuhusu Uwekezaji wa DP-World. Mbaya zaidi, mitazamo inayotolewa sasa inajadiliwa kwa milengo ya kidini, jambo ambalo si la kawaida katika nchi yetu.
Ni nini mzizi wa haya yote?
Kisa kilianza Mwaka 2020, wakati wa Uchaguzi Mkuu. Ulikuwa...
Umofia kwenu.
Mengi yamesemwa kuhusiana na hili sakata la upungufu wa dola nchini. Kimsingi Dola ya Marekani ndiyo inatumika kama fedha ya kununua bidhaa za kimataifa. Mojawapo ya bidhaa hizo ni pamoja na mafuta ghafi ambayo yanashikilia sehemu muhimu ya mfumuko wa bei nchini.
Nasema yapo...
TISS ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa.
Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni...
Tuliwahi kuandika hapa JF kuwa hakuna uteuzi au utenguaji unaofanyika kwa bahati mbaya au nzuri, kila uteuzi na utenguaji wa rais hapa Tanzania ni mpango kamili na mkakati mahususi wa muda mfupi, kati au umrefu.
Pia soma >
Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi...
bandari
dp world
kitila mkumbo
kukamilisha
kuondoa
kwenda
lawama
mali
mipango
mkumbo
ubinafsishaji
uuzwaji
uwaziri
watanganyika
wazanzibari
waziri
world
Rais anashauriwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye kila jambo la mikataba na sheria, sasa mkataba huu baina ya Tanzania na Dubai unaosambaa kwenye mitandaoni hauna sahihi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Suala la Bandari sio la Wizara moja ni suala la nchi haliwezi kuamuliwa kiwizara...
Itakumbukwa 28 Machi, 2023 kulikuwa a mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda the Cranes) kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Siku hiyo umeme ulikatika wakati mechi hivo inaendelea katika Uwania wa Benjamin Mkapa...
kukatika kwa umeme
kukatika umeme
lawama
meneja
mkapa
radhi
saba
serikali
tanesco
umeme
uwanja
uwanja wa mkapa
uwanja wa taifa
viongozi
wasimamishwa
watendaji
watumishi
yanga
Mtu anaanzisha uzi kulalamika akitaka Serikali iliangalie hili suala. Iingilie kati n.k suala ambalo ni la mtu binafsi. Mtu analalamika kuwa kuna wanawake wanacheza huku wanaingiza chupa kwenye uchi zao. Serikali iingilie kati.
1. Huo uchi ni wa nani?
2. Hizo chupa wanazoingiza ni za nani...
Nashindwa kuandika nianzie wapi na niishie wapi!
Soko la Tegeta nyuki, ni soko linalovutia funza, inzi wa ajabu na kila aina ya wadudu
Halafu serikali inataka tujivunie eti tunaviongozi bora? Kwa lipi?
Mbunge wa eneo hilo naye yupo yupo tu na hana msaada wowote! Inakuwaje soko Liwe vile?
Ni...
08 April 2023
Tunduma, Tanzania
BARAZA LA MADIWANI TUNDUMA LAWAMANI KWA KUUA UCHUMI
Baraza la Madiwani linaloongozwa na CCM la mji wa Tunduma walaumiwa kuua mzunguko wa biashara na uchumi wa wananchi ktk mji wa Tunduma na matokeo yake sasa wafanyabiashara wanakwepa kununua mizigo ktk mji huo...
Tumesikia kiasi kikubwa cha fedha zilizotengwa kwa vijana, walemavu na wanawake zikiwa zimetafunwa ktka halmashauri, na hili limekuwa likifanyika waziwazi kwa makada wa chama kukopeshana kwa kigezo cha vyama badala ya uwezo wa kibiashara. Leo hii ni deni hili linalowalemea Wananchi.
Ccm walipe...
Mwigulu Nchemba anatambua kwamba amekosea, lakini anatambua kwamba Rais anamwamini Sana.
Upande wa pili hana taarifa kwamba hata kama Rais angemwamini na kumpenda Sana, kama wawakilishi wa wananchi (wabunge) wanadharaulika basi mpendwa wa Rais amewadharau wananchi.
Kuwadharau wananchi means ni...
Waziri Bashe jioni hii akichangia bungeni ameutupia lawama Mhimili wa Bunge kuwa ndio umesababisha kuharibu kilimo na kusisitiza kuwa kamwe Serikali ya Rais Samia haiwezi kufanya kosa hilo.
Pamoja na lawama hizo nzito kwa watunga sheria..Kiti hakijaweza kutoa mwongozo wowote kuhusiana na jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.