Siku hizi maadili yamepotea, heshima imepotea, pesa imetawala...
Mchana unamuona binti mwenye adabu, hata wazazi (jamii)humuona hivyo...
Mama na familia yake anaonekana ni mpambanaji haswa, mumewe hujisia kuwa na mke wa shoka (Super woman)
Ni single mother anasifiwa vyema kwa kuhudimia...