Habar wadau!!!
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana hii inadhihirika hata kwenye vitabu vya dini SAMSON alikuwa na uwezo wa kutandika askar 3000 na akapigwa KO na delila ebu waza hili samson aliulizwa mara nying sana siri ya nguvu zake akusema ila kwa delila alisema yote shida ipo wapi shida ni...
Kuna kusaidia wanafamilia hii inaeleweka inabidi ujitoe, lakini sasa kuna hawa ndugu nao huwa wanajikuta sawa na familia tena akilini mwao wanajipa hadhi ya lazima wasaidiwe,
Huwa naona kuna baadhi ya koo na makabila yani wakiona ndugu yao katoboa basi wanachofikiria ni kwamba ni lazima ndugu...
Nangoja kwa hamu sana kusoma maoni yenu ya kitaalamu enyi wajuvi wa JamiiForums, kwani nimedokezwa tendo la mwanadamu kujisaidia haja kubwa Wazaramo wanasema kuukweka) pale tu akikata roho ni la kisayansi zaidi. Hivyo nitafurahi nikielimishwa juu ya hili.
MATUNZO KWA MWENZA SIO HISANI BALI NI LAZIMA.
Je wajua kuwa mume au mke kutoa matunzo kwa mwenza wake ni lazima kisheria?
Soma hapa upate majibu.
Tulio wengi tunadhani kuwa kutoa matunzo kwa wenza wetu ni hisani tu kama namna ya kuwasaidia au kuonesha upendo tu dhidi yao na wala sio jambo la...
samia_suluhu_hassan
Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Malkia Elizabeth II. Kwa niaba ya Watanzania wote, natuma salamu za pole kwa Familia ya Kifalme na raia wote wa Uingereza. Malkia atakumbukwa duniani kote kama nguzo ya Amani, Umoja na Utulivu.
Kwa kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu na kinachangia 80% ya pato la Taifa, ni vyema Serikali ikalifanya somo hilo kuwa la lazima ngazi zote za shule.
Pia kwa upande wa TEHAMA tunaona jinsi ambavyo dunia inakimbia kwenda kwenye mapinduzi ya Kiteknolojia na ndio msingi wa maendeleo wa...
Anaandika, Robert Heriel
Mambo ya kubembelezana hakuna hapa. Kwanza muda mchache na maisha mafupi huo muda wa kubembelezana tutautoa wapi. Kama hawezi kukugharamia piga chini. Usiwe na jicho la huruma hata siku moja. Mimi kaka yenu, naam ndiye baba yenu ninaelewa ninachokisema. Hutaki acha...
Wanaume wa Dar kwa hali ngumu atakupenda mtapiga story halafu muda kidogo utasikia babe nataka nijue kama unanipenda kweli naomba elfu 35 ili na wewe nikianza kutoa zangu ujue ni za kudumu. Nitakutunza mpaka ufurahi.
So ukitaka mpenzi Dar lazima ujitoe kipesa atakuambia good day.
Naweza kuliita hili sakata la tozo kama kaa la moto!
Wakati watawala wakijaribu kwa kila namna kutetea tozo hizo zilizoidhinishwa na waheshimiwa wabunge wetu, upande wa pili wa wananchi wanazipinga vikali tozo hizo na hata kudiriki kuziita kuwa ni "day robbery".
Wakati huo huo wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.