TARATIBU EU DAWA INAANZA KUINGIA.
IKUMBUKWE JANA RAIS WA BARAZA LA ULAYA ALITAPIKA NYONGO PIA: Rais wa Baraza la Ulaya naye atapika nyongo: "EU inateseka zaidi na mzozo wa Ukraine kuliko USA"
Soma:
Mpango wa uwekezaji wa Joe Biden unaweza kutishia viwanda vya umoja huo, Rais wa Jumuiya ya...
Huyu ni mke wa Rais Mstaafu Barrack Obama!
Huyu ni mwanamke mweusi aliyewahi kushika nafasi kubwa zaidi kisiasa hapa duniani, THE FIRST LADY OF USA. Lakini, pia ni msomi ambaye alibahatika kusoma vyuo vikubwa duniani kama Harvard University na Princeton.
Ukimsikiliza kwenye mahojiano yake...
"Lazima tufikirie juu ya muundo wa usalama, ambao tutaishi kesho. Ninazungumzia, haswa, maneno ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kwamba NATO inakaribia mipaka ya Urusi na kupeleka silaha ambazo zinaweza kutishia usalama wa Urusi," alisema.
Rais wa Ufaransa Emmanuel
Muundo wa usalama wa baadaye...
Piga ua Zaragaza zika fukua Volodymyr Zelenskyy rais wa Ukraine lazima awe Times Person of the year 2022.
Tutamlaumu Putin kwa kumkosesha Mwamba Freeman Mbowe hii nafas. Ilishapangwa na Ilibidi iwe yake lakini Jamaa akaanzisha vita dhidi ya Ukraine February 24 2022 na kumpa shavu Zelenskyy...
Kwa kilio kile lazima alizidiwa kutoa rushwa na wenzake kwa wajumbe.
Ila chama hicho jamani, da!
Ajabu yanarekodiana bila hata haya !
Siku si nyingi hawa watakuja kuuana kwa mambo ya kufilisiana halafu wanabaki kuliliana kijinga namna hiyo.
KIPINDI CHA MR. RIGHT NI KIZURI ILA NAMNA KINAVYOFANYIKA KINAAIBISHA NA KUDHALILISHA WANAWAKE.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani.
Ingawaje ni aibu kubwa Kwa mwanamke kutoka hadharani na kutangaza kukosa mume WA kumuoa lakini hiyo tunaweza kusema ni kasumba tuu Mbaya. Taikon ninaamini hata...
Kwanini viongozi Simba hawaoni Hilo. Nyota wao wote hukumbana na rafu mbaya Sana karibu kila gemu zinazohatarisha maisha yao ya Mpira.
Simba Ni klabu kubwa isisubiri mpaka mtu Avunjwe goti ndio watoe malalamiko.
Juzi Phiri anafanyiwa rafu mbaya kabisa mbele ya kibendera na Mpira unaelekezwa...
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame M. Mbarawa ametangaza mkakati wa ujenzi wa barabara mpya kwa kushirikiana na sekta binafsi kutoka Dar es Salaam – Chalinde hadi Morogoro yenye urefu wa Kilometa 215 itakayojulikana kwa jina la Express way.
Barabara hiyo itakuwa ni ya kulipia pindi mtu...
Mimi ni mmoja wa walioamini katika story ya Majaliwa Jackson kijana wa kihaya aliyeokoa abiria siku ile ya ajali ya Ndege ndani ya Ziwa Victoria. Nilipomuona anaongea katika runinga akihojiwa na mtangazaji wa TBC asubuhi baada ya ajali kutokea jana yake nikaamini nilichokiona.
Kijana ameucheza...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
X wangu nilibahatika kupata naye mtoto mmoja lakini tushaachana, mtoto anakaa na bibi yake, lakini huyu X wangu kila akituma ujumbe anataka nimjibu, nisipomjibu ananuna na 'I miss u' nyingi lakini yeye ana mke na watoto wawili.
Maswali yake sasa utasikia...
Nahitaji kujua ni makato gani mtu anakatwa akiwa anapokea pesa illiyotumwa kutoka nje ya nchi? Na kama yapo, anaweza kufanya nini ili pesa isikatwe sana au isikatwe kabisa akiipokea..??
Mada inajieleza. ACT ni mdau ndani ya Serikali ya Zanzibar. Makamu wa kwanza wa Rais ndie mshauri Mkuu wa Rais ingawa Rais hapangiwi la kufanya sawa.
Tatizo linakuja kwenye Dhamira ya kweli ya kile anachohubiri Rais Mwinyi. Haiwezekani katika hali ya mashaka ya kile kilichotokea uchaguzi wa...
Wakuu kifungua kinywa Ni kitu muhimu Sana Je unapendelea kifungua kinywa gani
Kwa sisi watu wa Pwani lazima tutangulize kiburudisho Adimu kinaitwa Alikasusu Mujarabu.
nb wale ambao kwa bahati mbaya hamjawai kufika hapa Dsm au Zanzibar Jambiani , Tunaomba kuelekea mwisho wa mwaka mtume majina...
Babake Majaliwa anastahili pongezi nyingi sana kwa kutuletea shujaa. Kitendo cha huyu babake Majaliwa kuukimbia familia ndiyo kimepelekea Majaliwa kuishi kwa shida hivyo kujengeka na kuwa shujaa.
Watoto wengi wanaolelewa na wazazi wawili huwa ni walegevu na wasio na tija ktk jamii. Huishia...
Anaandika Eddoh Kumwembe,
Unamfungia Chama, Aziz Ki mechi tatu, kisa? Walikwepa kuwapa mikono wapinzani. Na nasikia kanuni ipo kabisa, tangu lini 'fair play' ikawa lazima?
Upuuzi kwa waliotunga na kuzipokea. Kuna mambo ya umuhimu hatutekelezi, tumeona wachezaji kupeana mikono ni muhimu...
Heshima kwenu wanajamvi,
Leo Rais wetu Mheshimiwa Samia katutangazia matokeo ya sensa ya watu na makazi.
Ukiitazama vizuri idadi ya watu inavyoongezeka (61 million) na ukuaji wa uchumi ni wazi sasa tunatakiwa kuzalisha zaidi bidhaa mbali mbali kuliko kuzalisha watoto ambao watakuja kuangukia...
Huwa nakereka sana hawa jamaa wanaochambua soka la bongo wanavyopambana kufa na kupona kuongea kiingereza. Hivi hawawezi kuchambua mpira bila kuingiza hivyo viingereza vyao vya ugoko?
Badala ya kusema "Value" kwa nini wasiseme thamani?
Badala ya kusema "Flanks" kwa nini wasiseme eneo la kulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.