Utakuwaje na Taifa lenye Watu Shupavu ( tena kwa Vijana ) kama unakutana na Kijana wa Kiume kapanda DalaDala kutoka Makonde Mbezi Beach na anashukia Kituo kinachofuata cha Goigi huku akijiona ni Mjanja?
Nilikuwa najiuliza sana tu ni kwanini Vijana wengi wa Kiume Siku hizi ni Wavivu, hawapendi...
Nimeona katika taasisi nyingi sana Maafisa Utumishi wamekuwa na tabia ya kuingiza makato kuchangia vyama vya wafanyakazi bila ya idhini ya mwanachama.
Hii imekaaje Kisheria kwa wale wajuzi karibuni tujadili pamoja.
Kuna pahala hatuko sawa.
Kwanini katika elimu ya vijana wetu Sekondari Somo la Kingereza ni lazima lakini somo la Kilimo na Biashara ni uchaguzi?
Nawaza kwamba Kilimo na Biashara yawe lazima.
CC: Wizara ya Elimu
Habari wakuu,natumaini mnaendelea vyema na mapumziko ya weekend!
Kuna jamaa ni rafiki yangu ana lodge hapa mjini ya vyumba saba(7). Kwenye hiyo lodge amemweka mdogoake kama msimamizi au manager kwakuwa yeye ni muajiliwa wa serikali hivyo muda mwingi anakuwa kwenye majukum ya kazi yake jambo...
Najua watutsi kote eneo la maziwa makuu watapinga kwa nguvu ila huu ndio ukweli.
Ili kutatua tatizo la ukosefu wa amani mashariki ya congo ni lazima kwanza kuung'oa utawala wa kitutsi unaoongozwa na Kagame Rwanda.
Kwa hulka na desturi ya Watutsi ya kugombea kuhodhi wao madaraka ya kisiasa kwa...
Unapodai maendeleo, jiulize kama unalipa Kodi, nashauri Kila biashara ambayo haitumii EFD receipt, Sasa zilazimishwe kuwa na LIPA NAMBA.
Mfanyabiashara, kama anafanya biashara Kila siku, hajatoa taarifa kwa mamlaka kwamba ameifunga, angalau kwa wiki au mwezi aonekane kuitumia, na namba hiyo iwe...
Mimi Nina 45 na sina tatizo lolote kiafya. Kimoja Kwa Afya.
Katika Umri wote nilioishi na Allah ananipa punzi najistukia na kuona kila kitu naona ni muhimu kila jambo kufanya kwa kiasi.
Hata kumpenda wife nampenda kwa kiasi sio nipoteze nguvu zote kumuangukia na kununua mazawa kibao. Pipi tu...
Amesikika Waziri Ummy akidai wadau wanataka bima ya afya kuwa lazima.
Amekwenda mbali kuonesha wastani wa mapato ya chini ya mtanzania kuwa 137,000/- kwa mwezi. Ingependeza tukajua wastani wa mapato kwa mwezi kwake yeye kama waziri ni kiasi gani.
Wadau wataka ulazima bima ya afya
Kwanini...
UPUUZI #1.
" Kama Viongozi wa Yanga wakibaini Azam FC ndio wanamdanganya Feisal Salum aende kwao basi tunawaomba Viongozi wetu wavunje ule mkataba wetu na Azam halafu na sisi mashabiki wa Yanga hatutanunua bidhaa zozote za Azam " - Wazee wa Yanga na Viongozi wa matawi Yanga.
UPUUZI #2...
Kwa muda Mrefu Waziri Mwigulu Nchemba amekuwa akitoa kauli tata ambazo humlazimu Mh Rais kutoka hadharani na kuzitolea ufafanuzi kwenye hili Mwigulu inakupasa kuwajibika
Karibuni nyote wanachama wa jukwaa hili.
Kuna mambo makuu mawili ambayo ningependa kuzungumza pamoja nanyi wanachama wa jukwaa hili yahusuyo Ndoa & Mahusiano ya kimapenzi.
Jambo la msingi hasa ambalo ningependa kuligusia ni kuhusu ukosefu wa fikra mpya na zilizo bora ndani ya jamii kupelekea...
Kwa kweli Jamaa amewafelisha sana.
- Kosa la Kwanza ni sakata la Benzema.
Imeabainika kuwa Benzema alitaka kubaki na timu baada ya Injury kocha akamkatalia, na ilip[ofika round of 16 Karim akawa tayari ameshari cover kocha akakataa kumrejesha kikosini. Na kuna fununu Kocha alicheza mchongo na...
Kombe la dunia limefikia tamati.
Ilikuwa rahisi kukisia matokeo ya mechi nyingi na kuona timu ambazo hazitafika mbali. Ili timu yoyote ibebe kombe la dunia ni lazima wachezaji hawa wawepo:
1. Mchezaji anayeweza kubadilisha matokeo wakati wowote
2022 Argentina - Messi
2018 France - Mbappe
2014...
Kama mnavyojua Argentina wamecheza michezo 6 ya kombe la Dunia mpaka sasa, wamepewa penalti 5.
Yaani almost kila mchezo wanepewa penalti. Kesho dhidi ya Ufaransa wanapewa penalti nyingine
Hawa dada zetu naona sijui wamepatwa na Nini ukimpa tu namba yako , anafanya Kazi ya kukuchunguza Kama umeoa au hapana.
Mimi imani yangu inanambia nabidi kusaidia wazazi wangu , masikini, na Yatima tu .
Huu mradi wa Ndoa upo kiupigaji Sana . Bora nisaidie wahitaji kwanza, endapo nipokea wito...
Kila mtu akiulizwa kuhusu Siri ya Mafanikio lazima azungumzie kuhusu Nidhamu
Nadhani nidhamu inayozungumziwa hapa ni Nidhamu ya Pesa so vijana wanabidi kulifahamu ili Mapema.
Tuseme ukweli, Ufaransa haina cha zaidi kuliko hispania wala ureno!
Siyo muujiza kwa Morocco kuifunga ufaransa kama iliweza kuifunga hispania. Kwanza Ufaransa ndio wako kwenye presha ya mchezo kuliko m
Morocco!
Afrika tujiandae kupokea kombe, maana lazima litembezwe kila nchi ya Afrika.
Mzee Makamba anasema 2025 hakuna mjadala Rais Samia Suluhu atagombea urais tena. "Uchaguzi umekwisha sasa tunajiandaa na ligi ya 2025, na tunashinda kwa sababu wapinzani wetu ajenda zao ni mbili tu Katiba na Tume ya uchaguzi tu, kule kwetu Bumbuli hawashibi katika, wala mama yangu ukimuuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.