lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Ni kosa kisheria kumtaka mwanamke kimapenzi kwa kumlazimisha

    Katika kosa la bughudha ya kijinsia (Sexual harassment) Sheria inaeleza kwamba, mtu yeyote ambaye kwa dhamira atamshambulia, au atatumia nguvu kinyume cha sheria akambughudhi mtu mwingine kijinsia au kwa kutumia maneno au vitendo na kusababisha maudhi au bughudha kijinsia kwa mtu mwingine...
  2. Roving Journalist

    Je, utaratibu wa Pre-Form one kuwa lazima kwa baadhi ya Shule Binafsi ni sahihi?

    Baadhi ya Wadau wa Elimu wameomba Mamlaka kudhibiti utaratibu huu, huku Wengine wakiona ni Sahihi. Kwa hoja hizi na nyingine nyingi jiunge nasi Twitter Spaces ya JamiiForums muda huu uweze kuwa sehemu ya mjadala huu. Bonyeza hapa kujiunga > JF SPACES Mkaka Smart Mimi nachukulia positive...
  3. BARD AI

    Mawaziri Uganda kujifunza Kiswahili kwa lazima kila Jumatatu

    Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Rebecca Kadaga, Mawaziri watafundishwa Kiswahili kila Jumatatu kabla ya Kikao cha Baraza chini ya Rais Museveni. Waziri Kadaga amesema hatua hiyo inalenga kuwawezesha Mawaziri kufanya mikutano ya ndani na ya Jumuiya kwa lugha ya...
  4. MamaSamia2025

    Sio lazima useme kwamba ulisota sana kwenye maisha ili kutu-motivate

    Kwenye ahadi za mwanaCCM kuna ila inayosema, fitina kwangu mwiko na nitakuwa mkweli daima. Nikiwa kama mwanaCCM mwenye kadi iliyolipiwa ada nakataa kabisa mambo ya kinafiki na kudanganyana. Miaka ya hivi karibuni kumejitokeza watu wengi sana wahamasishaji wa mafanikio (Motivational Speakers)...
  5. S

    Kuna jambo lazima litafanyika hivi karibuni nchini Urusi ili kumaliza vita ya Urusi na Ukraine, na bei ya mafuta inaweza kuanguka kuliko kawaida

    Vita ya Urusi na Ukraine imeathiri karibu nchi zote duniani, na hasa upande wa mafuta. Vita hii imeleta hali ambayo haikubaliki duniani kote na ndani ya Urusi pia. Kimsingi, Putin ndio anaonwa kua chanzo cha haya yote. Na ni wazi Putin hakutarajia kwamba hali ya vita na Ukraine ingekua kama...
  6. BARD AI

    Wataalamu waonya upasuaji usio wa lazima kwa wajawazito

    Katika siku za hivi karibuni kujifungua kwa upasuaji kumeonekana kama ‘fasheni’, kwani kuna idadi ya wanawake wengi wanaofika hospitali kuomba kupatiwa huduma hiyo bila sababu za kitaalamu. Wataalamu wa afya wametaja sababu tatu za wanawake kuomba kujifungua kwa upasuaji, ikiwemo ile ya...
  7. L

    Watanzania lazima Tufahamu Rais wa nchi siyo Sawa na Rais Wa Bendi ya Mziki kiulinzi na Kiusalama

    Ndugu zangu Kuna watu wanaleta ujuaji Sana hapa nchini, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni siasa, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni sawa na wanavyowaza, kuna watu wanamchukulia Rais Kama raia wa kawaida, kuna watu kwa upeo wao mdogo wanamlinganisha Rais na sisi, Kuna watu wanazani uzito wa Rais...
  8. Crocodiletooth

    Operation Khartoum, ushindi ni lazima

    My brudah and sistas we are going to fight there and WIN is a must, Note this.
  9. P

    Tumekataa kupelekwa mchakamchaka, yafuatayo lazima tukutane nayo!

    Kulipwa mishahara baada ya miezi miwili kupita! Mgao mkali wa umeme! Maisha kuwa ghali! Bidhaa kupanda kiwango cha mtu kushindwa kumdu maisha! Miradi ya Serikali kusuasua na au kusimama kabisa Hasira za viongozi kuwa juu baada ya mambo kuwa magumu, hatataka kusemwa semwa! Na kadha wa...
  10. P

    Ili upigaji uwe rahisi na miradi kutokukamilika na umeme uwe wa mgao, lazima JPM azodolewe kwa sababu nyepesi na za kipuuzi

    Mtu aliyekuwa anajua mbinu zote za wafanyakazi wa Tanesico kwamba, kipindi hichoo cha wao kuongoza, kulikuwepo na kikundi maalumu cha kufungulia maji ya mtela ili tu kutengeneza mgao haramu wa umeme na wao kutengeneza biashara za majenereta Mbinu hiyo iliwafumbua watanzania wengi, na tangu...
  11. Balqior

    Kwanini mara nyingi mwanaume ukimhudumia sana mwanamke lazima upigwe na kitu kizito?

    Utakuta mwanaume uko vizuri kipesa, unamuona mdada unampenda, ila amepauka kwa umaskini. Unajitoa kumhudumia kipesa kwa hali na mali, hadi mdada ananawiri, ila atakachokuja kukulipa huyo binti, ni heri tu angekuambia tuachane. Niliona makala YouTube, mdada mmoja wa Kifilipino alimuua mume wake...
  12. BARD AI

    Uganda: Watuhumiwa kupimwa TB, Malaria na UKIMWI kwa lazima

    Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), William Byansi ameagiza kuanza utaratibu huo ili kuwalinda askari na wafanyakazi wa idara za haki na kutambua mapema hali za kiafya na magonjwa ya watuhumiwa. Kwa mujibu wa DPP wanalenga kuzuia usambaaji wa magonjwa kama TB na VVU kwa sababu watuhumiwa...
  13. K

    Mwanaume ukifanya kazi hizi wanawake lazima wakupende

    1. Uhasibu 2. Bank 3. Urubani 4. Udaktari 5. Uaskari 6. Mfanyabiashara
  14. BARD AI

    Tanzania yatakiwa kuacha Upimaji Mimba wa lazima shuleni

    Kamati ya Wataalamu wa Umoja wa Afrika kuhusu Haki na Ustawi wa Mtoto (ACERWC) imeitaka Serikali kupitia upya sera zinazokandamiza haki ya wasichana kupata elimu ikiwa ni pamoja na kuzuia kufukuzwa shule kwa wasichana wajawazito na walioolewa. Pia, Serikali izuie kuwekwa kizuizini kinyume cha...
  15. Beesmom

    Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

    Nipo pumziko ya week moja standard 7 wanahitimu Alhamisi hivyo maticha twala bata. Mwenye nafasi aje anichukue kesho Jumatatu tafadhali. Turudi kwenye mada, najua kupenda kupo tena kunachukua nafasi kubwa moyoni. Sasa nilitaka nijue, kuwa kumpenda mtu ni fimbo? Yaani ni lazima uteseke...
  16. Nazjaz

    Afande Meki wa Oyster Bay Polisi, kwa kumrusha kichura babu yangu (73) lazima upatwe na la kukupata

    Afande Mecky, mwembamba mrefu na mweupe, ulikuwa bodyguard wa RPC, juzi umemusha babu yangu kichura na umri wake wa miaka 73. Mzee sasa anaumwa na hawezi hata kwenda kujisaidia haja ndogo. Sababu ya mateso yote hayo eti kapita kwenye nyumba za polisi. Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui...
  17. Iziwari

    Kwanini kampuni au biashara yako lazima inahitaji uwe na website(Tovuti)?

    Karne hii kumekuwa na watu wengi wanao shauri kuwa na tovuti/website kwa ajili ya kampuni au biashara. Sa nyingine wamekuwa wakitangaza ivo, kwa ajili ya manufaa yao binafsi. Ikiwemo kujipatia kipato kwa kupitia kutengeneza website. Lakini wanao pokea izo kazi za website wamebaki na swali...
  18. BARD AI

    Waziri Ummy: Bima ya Afya haitolazimishwa wala kukamata watu

    Waziri wa Afya ametoa kauli hiyo leo ikiwa ni siku chache baada ya Serikali kuwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni na kueleza kuwa hakuna mtu atakayepigwa faini kwa kutokuwa na Bima hiyo. Amesema lengo la serikali ni kuwapunguzia mzigo wananchi kwenye matibabu na si lazima...
  19. Jidu La Mabambasi

    Bomba la mafuta EACOP toka Uganda lazima lijengwe

    Big Up Mheshimiwa Cassim Majaliwa Kassim, Waziri Mkuu wa JMT. Suala la bomba la mafuta toka Uganda kuelekea Tanga, inapitia kwa umbali mrefu zaidi nchini Tanzania. Uchumi wa Tanzania utafaidika sana na ujenzi wa bomba hili, kwani kuna wananchi watafaidika moja kwa moja kwa kupata kazi na...
  20. Dr Matola PhD

    Sikubaliani hata kidogo na utovu wa nidhani wa Bernard Morrison, lakini kuna hoja za msingi ni lazima zijibiwe na TFF.

    3ANAANDIKA Mchao Tv KWA MFANO TU Mechi ya Azam dhidi ya Yanga ilipigwa Septemba 6, 2022 (zaidi ya wiki mbili zilizopita, ni siku 16 zilizopita) ambapo mchezaji wa Yanga Bernard Morrison alifanya utovu wa nidhamu kwa kumkanyaga Lusajo Mwaikenda wa Azam kwa makusudi. Kwa mfano Bodi ya Ligi...
Back
Top Bottom