lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nitajie actors watano ambao lazima ushawishike kutazama filamu aliyoigiza

    1: Matthew McConaughey 2: Denzel Washington: 3: Christian Bale: 4: Jim Carrey: 5: Tom Cruise:
  2. JamiiForums Tanzania Mmechelewa sana 'Hima and Tutsi Empire' ni lazima Tanzania

    Hata hiki Kilichozungumzwa na Kamanda Wenu hivi majuzi ni mkakati Wetu wa Kimakusudi ili Kijulikane kisha mjitekenye na Watanzania wote nanyi muwe ni Wahima na Watutsi kwa Oparesheni Maalum kwa kusaidiwa na Wahima na Watutsi wengi walioko katika Taasisi zenu Kubwa, Muhimu, za Kimaamuzi na...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Mwacheni Mbowe afanye tu harambee za Kanisani, na ili afanikiwe lazima aje kwa Watu wa CCM. Inawezekana ile 150m iliyotoka ilikuwa 200m

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda akiwa katika Ziara ya Wilayani Hai mkoani Kilimajanro amewaambia wanaccm kuwa wamuache Mbowe afanye tu harambee za Kanisani Amesema "Kaka yangu yule mwacheni afanye harambee za Kanisani, na ili harambee za Kanisani...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinakumalizia pesa lakini haukiachi kwasababu kinakupa furaha?

    Ni kitu gani kinakumalizia pesa mara kwa mara lakini haukiachi kwasababu kinakupa furaha?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kufahamu akili kubwa angalia namna Nchimbi alivyong'ang'ania kupiga picha na Bagonza, ukisimamia haki lazima watakutafuta popote ulipo

    Picha ya Dr. Nchimbi na Askofu Bagonza imepata headlines nyingi sana kwenye pages za CCM kuliko maeneo mengine yoyote. Kumbuka leo walikuwepo Maaskofu wote wa KKKT pale Azania Front. Ila Nchimbi alihakikisha amezungumza na Bagonza na picha imewekwa kwa kumbukumbu. Bagonza always amesimamia...
  6. JamiiForums Tanzania FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

    Match Day. Updates... Mlandege FC ambao ni mabingwa watetezi, watamenyana na Simba Leo Januari 13, 2024 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex mjini Zanzibar, ambapo mchezo wa fainali utaanza kutimua vumbi saa 2:15Usiku. Fainali iliyopita; Mlandege ilishinda mabao 2-1 dhidi ya Singida Fountain...
  7. JamiiForums Tanzania Kifo sio lazima niamini mimi, basi sio kwa vile jinsi tulivyokizoea broh

    Ule msemo wa kwamba kila nafsi itakufa ni uzushi tu. Ni uzushi ambao umekubalika sana kiasi ambacho umeshakuwa kipande-cha-ukweli. Mbadala wa kipande-hicho-cha ukweli hata kama ni kweli kabisa lakini sasa ukizungumziwa basi watu watautazama kwa macho yenye walakini kana kwamba ni habari ya...
  8. JamiiForums Tanzania Wachina ni lazima mtudanganye kuhusu Brands?

    Kunayo haja gani ya kuandika wrong brand name ili hali sio? 有什么必要把品牌名称写错才不会呢?这已经超出了愚蠢的范围。我们不是胆小鬼,先生
  9. JamiiForums Tanzania Elimu ya dini iwekewe mkazo mashuleni na iwe ni somo la lazima kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu

    Maadili hutoa maana au muundo dhahiri wa maisha ya mwanaadamu, Maadili ni kanuni fulani za msingi ambazo zinapaswa kushikiliwa katika maisha. Maisha ya kuishi bila maadili hatimaye mtu ataishia kuhisi kutoridhika, kuhisi mwenye hatia na huzuni. Kama mtoto asipolelewa bila sheria ni haraka zaidi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Shule za English medium zisizo na remedial za lazima

    Wadau, Moja kati ya kero yangu kubwa kwenye hizi english medium ni huu mfumo wa kulazimisha watoto wa Standard 4 na 7 kufanya remedial kwa lazima , hata pale ambapo hakuna ulazima huo. Najua shule zinafanya biashara lakini si kwa kuwapa watoto stress zisizo na lazima . Watoto mwaka mzima...
  11. JamiiForums Tanzania Aina za wanawake ambao lazima utumie condom pindi unapofanya nao mapenzi

    Wafuatao ni aina ya wanawake ambao ni lazima uvae condom pindi unapofanya nao mapenzi. 1. Ikiwa ana Tattoo vaa hata Condom tatu kwa pamoja utakuja kunishukuru 2. Kama anakunywa bia hakikisha unavaa Condom 3. Kama anafanya kazi kwenye saluni za kiume/zakike ndugu yangu vaa Condom 4. Kama ni...
  12. JamiiForums Tanzania Mimi huwa sina urafiki na mwanamke, ukiingia kwenye rada zangu lazima nikuombe!

    Eti vidume wenzangu nyie mnaweza kuwa marafiki na hawa watoto wazuri wa kike mimi siwezi aiseeeh, yaani ukiona tu najisogeza kwa manzi hiyo mbinu ya kuomba tunda. Akininyima namwambia sawa mama pita hivi na mimi nipite hivi. Kumekuwa na kasumba mtaani eti urafiki kati me na ke inawezekana hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini wewe unayetaka mafanikio kwenye biashara yako lazima uende kwenye madhabahu ya Mwamposa

    Hii ni kwale waaminio tu. Kwa wewe usie amini baki na maneno yako kwa sababu yanafaa zaidi kukaa kwenye kichwa chako kuliko kwenye uzi wangu. Now lets go watu wangu. Uzi ulio pita nilitoa maelekezo namna gani unatakiwa kufanya kama kweli upo serious unataka kufanikiwa kupitia madhabahu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mambo haya yakikutokea kwenye maisha yako lazima upate furaha ya ajabu utahisi maisha yako yameanza upya

    1. Ukipata mpenzi mnaependana sana. 2. Ukipata mtoto wako wa kwanza. 3. Ukifunga ndoa. 4. Ukinunua gari lako la kwanza. 5. Ukifaulu form4 au form 6 (vilaza wenzangu watanielewa) 6. Kuhamia nyumbani mwako baada ya kuishi kweny za kupanga 7. Majibu ya kipimo kurudi HIV negative baada ya...
  15. JamiiForums Tanzania Usioe mwanamke bikra kwa ushawishi wa lazima. Bikra ambae hajakupenda mbeleni atakuumiza vibaya

    Wale viherehere wa kuoa nawasanua zingatieni ushauri huu ukitaka kuoa bikra hakikisha unaoa anaekupenda haswaa ila ukitumia ushawishi wa kiwaki huko mbele utauona moto, mwanamke ana evolve kwenye nyanja zote Wadiz
  16. D

    JamiiForums Tanzania Ili uwe muongo mzuri ni lazima macho na kinywa vipatane.

    Macho yawe makavu na yasiyo pepesa pepesa, Na mdomo unene firmly
  17. JamiiForums Tanzania Mkopo lazima iwepo biashara?

    Wakuu kheri ya sikukuu ya kuzaliwa KWA Yesu? Assalam aleyko? Nilikuwa naomba kuuliza kama upo na asset unaweza kwenda kuomba mkopo KWA ajili ya biashara au ni lazima iwepo biashara ambayo ipo? Na kama ni lazima iwepo biashara kuna alternative yoyote unaweza para mkopo kwa asset uliyonayo KWA...
  18. JamiiForums Tanzania Makosa sita lazima wanawake wayaepuke katika uchaguzi wakati wa kuolewa

    All JF Ladies around 20's + Pitieni na hapa mpate darasa la bure kabisa 1️⃣. Nitaolewa nae kwa sababu ni mwenzangu wa kabila moja. Ukweli kwamba yeye ni mwenzako wa kabila haumfanyi kuwa mzuri kwako. 2️⃣. Nitaolewa nae kwa sababu Yeye ni Tajiri. Ukweli kwamba yeye ni tajiri sasa haimaanishi...
  19. JamiiForums Tanzania Kama ni lazima sana CCM iendelee kuongoza serikali na nchi hii by 2025, basi wazingatie ushauri huu kuhusu mgombea wao....

    1. Mimi natambua kuwa, kama hakutakuwa na mabadiliko ya kikatiba na kisheria comes 2025 General Election, uwezekano wa CCM kutumia uhuni kushinda uchaguzi tena ili kuendelea kuongoza serikali na nchi hii ni mkubwa.. Hata hivyo nina ushauri huu. Kwamba, msituletee mwanamke tena kwenye nafasi...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Azam wamejipanga, mapacha wa Kariakoo lazima wapambane

    Azam! Azam FC Hawa jamaa baada ya muda mrefu kujitafuta hatimaye naona wamejipata. Wanatembeza vipigo vikali bila kujali ni uwanja upi. Leo baada ya kumkanda Kagera Sugar goli 4 Kwa yai, nawastua wababe wa Kariakoo pale wasipostuka kuna mmojawao atachomoka top 2 pale.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…