Moja kati ya maamuzi ya kipuuzi ambayo utayafanya baada ya kuachana na mwanaume, halafu huyo mwanaume akaenda kuoa mwanamke mwingine ni kutaka kumkomoa huyo mwanamke aliyeolewa. Inawezekana kakunyang’anya, alikupindua au uliachwa vibaya na unahisi kuwa yeye ndiyo sababu ya wewe kuachwa, lakini...