Anthony David Lema (February 25, 1934 – July 24, 1966) was an American professional golfer who rose to fame in the mid-1960s and won a major title, the 1964 Open Championship at the Old Course at St Andrews in Scotland. He died two years later at age 32 in an aircraft accident near Chicago.
"Msikate TAMAA kabisa , endeleeni kutuma pesa hata kama mnakutana na changamoto kama hizi. Mwisho wa uhuni umekaribia sana." - Godbless Lema
Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wako hoi kiuchumi ,taabani kifedha.
Makao makuu ya Chadema yana ukata na njaa kali....mara wanakimbilia ubalozi wa Norway tusipate misaada (dola milioni 7.)kila fiscal year.Mara uchaguzi mkuu usiwepo ,kumbe yote ni "nakama" ,waya mkali ,ulofa hapo makaoni.
Makamu Mwenyekiti ndg.Lema anawayawaya...
Baada ya kugundua nia yenu ovu mliyokua mmeipanga nikifika makao makuu, sasa kuna jambo mnaniandalia ofisin makao makuu muda huu. Nipo tayari kupokea. Mimi ni kiongozi mwenye address na address yangu inafahamika
Ameandika ktk X yake
Lema ndio afisa habari chadema? Jana Lema kaongea nini ? Au kawatabisha tu media? Maana waandishi hata swala 1 hawakuuliza. Wapi umeona mkutano unakosa swala la waandishi?
Kwa mara ya kwanza waandishi wa habari hawajaukiza swali ktk mkutano wa CHADEMA.
Lema leo aliwaita waandishi wa habari ,lon cha ajabu hakuna alichowaambia badala yake kawaaambia kutakua na event itafanyika kesho kutwa.
Hakuna location , wala aim of event
Hayo yametokea Februari 11, 2025 wakati wa ibada ya mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara, Derick Magoma, ambapo Naibu Waziri wa Afya, Dr. Godwin Mollel alipojibu hoja za Godbles Lema wa CHADEMA kuhusu suala la afya, akigusia pia katika Magoma alipokuwa akiugua.
Chanzo...
NInavyofahamu Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama ni nafasi kubwa sana, uteuzi wake inabidi uwe wa umakini mkubwa na utulivu na siyo lazima ufanywe baada ya Uchaguzi tu kwa karibu nafasi zote kama alivyofanya Lissu.
Nimepitia Majina ya hao watu Lissu aliowateua zaidi ya Lema wengine naona uwezo wao...
Siku hizi analala anaamkia Dar.
Sote tunajua kwamba Lema alikuwa mwanasiasa machachari wa Arusha kabla ya ujio wa Makonda.
Kwa bahati nzuri hivi sasa team Lissu kushinda amekuwa na ushawishi mkubwa ndani ya chama.
Inasemekana ndio mshauri mkuu wa Lissu ndani ya chama.
Swali langu. Jee...
Wanaukumbi.
Kauli ya Lema kuwa wamnunulie Mbowe gari kama zawadi kumuaga ni kauli ya hovyo na mawazo haya ni ya kipuuzi sana kuwahi kusikika duniani.. Yaani ikifikia kumnunulia gari Mbowe basi ghafla hamuwezi kubadilisha hela za kununua gari kuwa zinatosha kujenga madarasa au vipi?
Watanzania...
Watanzania wengi hawapendi kujua ukweli. Nadhani hulka hii inatokana na wananchi kufungiwa nchini mwao na hivyo kukosa nafasi ya kuona jinsi nchi zingine zilivyoendelea.
Kuna siku Lema alisema bodaboda sio ajira, watu walikuja juu na kusema kuwa kawakosea watu na ni kama anadharau ajira za...
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Godbless Lema anatarajiwa kuwa live kesho Clouds FM katika kipindi cha Power Breakfast.
Mara ya mwisho mahojiano yake katika kipindi hicho yalishindikana kufanyika.
https://www.jamiiforums.com/threads/godbless-lema-kutikisa-power-breakfast.2192804/
Huu uchaguzi ndani ya CHADEMA umetuonyesha sura nyingi sana chanya na ndani ya CHADEMA na nje ya CHADEMA.
Huwezi kuzungumzia ushindi wa Lissu bila kutaja timu ya kampeni ya Lissu iliyopiga kazi ground kimyakimya na kwa dhahiri kuwezesha Ushindi wa Lissu.
Katika wengi waliowezesha ushindi kuna...
Ni dhahiri shairi kama siyo press ya kwanza ya lema basi Leo hii mbowe angeibuka mshindi kwa kura zaid ya Mia sita mpk Mia tano
Imaging Jamaa pmj na kupigwa spana zote hzo ila bado amepata kura 482 kwa asilimia 48 dhid ya 521 ya mh lisu
Maan yake ni kwamba ktk utawala wa lisu kuna watu Mia 482...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu mpya wa Chadema atatangazwa mchana huu
Bado haijajulikana ni nani hasa, japo kuna Majina kadhaa yanatajwa.
Juhudi zangu za kulazimisha kuvujishiwa jina kwa manufaa ya JF zinaendelea, Nzi wangu akiweza tu kunusa basi haraka sana kwa chap...
Godbless Lema nimekwita mara 3 kwa herufi kubwa (X3).
Baba yako sio mjinga kukupa hilo jina na sio kama majina mengine hakuyaona.
Najua sasa hivi unamuonea huruma kaka yako Mboe lakini, ulimwambia na shingo akaishupaza. Ukanawa mikono.
Ni heri ya lawama na kutukanwa kwa kuisimamia kweli na...
Huyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi.
Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu ili kukijenga upya Chama ambacho kilishaanza kupoteza umaarufu wake baada ya Mbowe kuonesha wazi...
Ukiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi.
Ni ipi kesho yao ndani ya Chadema washindwa hao?!
Binafsi nimpongeze Lema kwa kazi nzuri aliyofanya, najua kapitia mambo mengi katika huu uchaguzi ila kawa imara mpaka ushindi umepatikana .
Viva Tundu lissu, Mungu ibariki CHADEMA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.