leseni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cannabis

    Sheria: Wamiliki wa pool tables watakiwa kuyasajili wapate leseni

    Bodi ya michezo ya kabahatisha Tanzania (GBT) imewataka wamiliki wote wa pool tables kuhakikisha zinasajiliwa na kupatiwa leseni. Gaming Board of Tanzania (GBT) yenye jukumu la kusimamia uendeshaji wa michezo ya kubahatisha hapa nchini imesema kuwa kifungu Na. 52 cha sheria ya michezo ya...
  2. C

    Sheria inasemaje kuhusu kumiliki leseni ya udereva?

    Habari zenu. Kwa dunia inavosonga mbele, siku izi tunashuhudia uwepo wa honda zinazotumia umeme zikiwepo nchini kwetu Tanzania. Na magari pia yapo yanayotumia umeme. Mimi ningependa kujua kuhusu leseni ya uendeshaji wa hivi vyombo vya umeme, sheria inasemaje? Je ime specify kuwa ni vyombo vya...
  3. Pdidy

    Jana tumempoteza mwenzetu kwa ujinga wa dereva pikipiki asiye na leseni, wengi hawana

    Kuna vitu tukiiiendeleza tutashia kuzikana kila siku, kuna hili jamboo linakera sanaa sanaa. Kuna asilimia 75% ya madereva wa pikipiki hawana leseni sisemi kuwatisha. Kama hamuamini waanze operesheni wakishirikiana na TAKUKURU na maofisa wa makao makuu muone. Anzeni njia ya Mwenge Kawe, nendeni...
  4. OLS

    Leseni za maudhui ya mtandao zitafanya wasio na hela wakose pa kuongea

    Ni katika muendelezo wa mjadala, ndugu Justine Kakoko, alisema wasio na hela watakuwa atika hali mbaya ya kuweza kuongea. Hapa alizingatia kuwa maudhui ni picha, mawazo, maoni, elimu na chochote ambacho mtu ataweka mtandaoni, Kifupi ni kuwa ili uongee kwa uhuru ni lazima uwe na leseni kwa hiyo...
  5. B

    Leseni ya biashara

    Habari zenu! Hivi ili kuomba zabuni za kukusanya ushuru, leseni yake inaitwaje na inapatikana wapi? Natanguliza shukrani.
  6. sky soldier

    Uwajibikaji sifuri: Mtandao wa malipo TRA Mbeya hauturusu kupata leseni za Udereva

    Ni kama utani vile lakini ndio hali halisi. Mtandao wa kupata leseni za Udereva kwa wiki mbili na zaidi haupo hovyo hata kulipia huwezi kabisa, Mbaya zaidi hawajatangazia Umma hiki kitu. Iweje mtandao tuliosuka wenyewe utusumbue kihivyo, au hao wataalamu wa IT ni wajomba wa watu fulani...
  7. Nyendo

    Vituo vitano vyafungiwa, vyafutiwa leseni kwa kuuza mafuta juu ya bei elekezi

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imevifutia leseni za uuzaji wa mafuta vituo vitano, kwa makosa ya kuficha, kutouza na kuuza mafuta juu ya bei elekezi huku ikotoa onyo kali kwa wauzaji wa nishati hiyo wanaojaribu kufanya hujuma na kukiuka maagizo ya Serikali. Akizungumza...
  8. T

    Kufutiwa leseni Tanzania Daima, wito wa Askofu Bagonza watajwa

    ALJAZEERA wanaripoti, kabla ya kufutiwa leseni, wahariri wa Tanzania-Daima walihojiwa kuhusu kuchapisha habari ya Askofu Bangoza kuwataka wananchi wavae nguo nyeupe siku ya kuadhimisha kuzaliwa TANU, saba saba, na kuungana na taasisi za kisiasa na kijamii kudai Tume Huru ya uchaguzi. LAKINI...
  9. Erythrocyte

    Sababu kuu ya Gazeti la Tanzania Daima kunyang'anywa leseni ni hofu ya CCM kuhusu kuangukia pua kwenye Uchaguzi Mkuu

    Hii ndio sababu kuu kuliko zote , hizo zingine ni porojo tu Serikali ya awamu ya 5 kwa miaka yote iliyoingia madarakani imekuwa ikifungia Magazeti yote makini yanayokosoa utendaji mbovu , uonevu na ukiukwaji wa haki za binadamu uliokithiri kuliko wakati wote tangu wakoloni waondoke nchini...
  10. Influenza

    Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020

    Serikali kupitia kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema kuwa kufuatia kusitishwa kwa lesini ya gazeti hilo, halitaruhusiwa kuchapishwa wala kusambazwa popote nchini au nje ya nchi Serikali imebainisha kuwa uamuzi huo umetokana na kukithiri na kujirudia kwa makosa yanayokiuka...
  11. YEHODAYA

    Mlioikopesha hela Chadema mna leseni za kukopesha ? Riba mnayopata mnalipia Kodi TRA?

    Chadema kina mikopo ambayo kilikopeshwa na watu mbalimbali. Maswali yangu Kwao Ni kwanza je katiba ya chadema Ina kipengele kinaruhusu chama kukopa? Pili je hao wakopeshaji Wana leseni za ukopeshaji ? Kama leseni hawana walikopeshajje? Sio watakatisha pesa hao? Tatu Riba ambayo iko kwenye...
  12. ntingirawanyuma

    Kupandisha madaraja ya leseni

    Habari za majukumu wakurugwa. Naweza badili leseni ambayo haijaisha muda wake na kupata leseni yenye daraja la juu mara baada ya kufanya mafunzo sitahiki? Mf Nimefanya psv naweza kwenda kubadili leseni na kupewa yenye daraja husika kwa maana ya daraja c wakati ambao leseni yangu haijaisha muda...
  13. Miss Zomboko

    Bunge lapitisha sheria ya wasambazaji wa sukari nchini kusajiliwa na kupewa leseni

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Profesa Adelardus Kilangi BUNGE limepitisha muswada wa marekebisho ya sheria ya tasnia ya sukari, kwamba wasambazaji wa bidhaa hiyo ni miongoni mwa watu watakaotakiwa kusajiliwa pamoja na kupewa leseni. Akiwasilisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria...
  14. H

    Diamond: Tayari tumepata leseni ya kurusha Wasafi FM nchi nzima

    Mkurugenzi Mkuu na CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz kupitia interview aliyoifanya kwenye Sports Arena amefunguka baada ya kuulizwa na Maulidi Kitenge kuhusu Wasafi Media kwenda mikoani. Amefunguka "Mwanzo tulikuwa hatujapa leseni ya Serikali kurushwa redio nchi nzima ila kwa mwaka huu...
  15. Influenza

    Mwanza: Mwandishi wa Habari, Albert Sengo Kizimbani akishtakiwa kutoa maudhui mtandaoni bila ya kuwa na leseni

    Mwandishi wa habari, Ndg. Albert Sengo leo Aprili 23, 2020 amefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza na kushtakiwa kwa kosa la kutoa maudhui mtandaoni bila ya kuwa na leseni kinyume na Kanuni ya 14(1, 2) na 18: Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (Maudhui Mtandaoni) za...
  16. Analogia Malenga

    Serikali ina sukari ya kutosha, watakaouza sukari bei juu watafutiwa leseni zao

    Mkurugenzi wa bodi ya sukari Prof. Kenneth Bengesi amesema serikali ina sukari ya kutosha, na serikali imeshagiza tani 40,000 imeshaingia nchini na imeanza kupakuliwa tangu Aprili 15 bandarini Pia amewataka wafanya biashara kufuata bei elekezi, na wale watakaokiuka wakigundulika watafutiwa...
  17. T

    Wapi napata orodha ya categories za leseni za biashara nchini?

    Wakuu, Wapi naweza kupata (kwenye mtandao) orodha ya aina (categories) za leseni za biashara Tanzania? Ahsante.
  18. Uni

    Leseni kwa wenye matatizo ya macho

    Habar Wana jamii forum !! Mimi nina swali hivi inawezekana mtu mwenye kuona jicho moja kupata leseni ya udereva ?
Back
Top Bottom