20 Januari, 2022, Dodoma.
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum inatoa siku 30 tangu tarehe ya tamko hili hadi tarehe 18 Februari, 2022 kwa Makao ya watoto yasiyo na leseni kuwasilisha maombi ya usajili katika Halmashauri husika kuboresha huduma muhimu zinazohitajika...
Natafuta kazi ya udereva wa magari madogo na makubwa aina yoyote Nina leseni C1,C2,C3,D,E NA NAUJUA UFUNDI VIZURI NA NIMESOMA VETA NANIMEMALIZA KIDATO CHA NNE NANIMEFAULU.
KWA MAWASILIANO (0682600567).
BARUA PEPE , hanswilson222@gmail.com.
Habari wakuu.
Kuna jamaa yangu amekaa sana nje, shughuli aliyokuwa anafanya huko nje ni ya clearing and forwarding, Ila kutokana na huu ugonjwa shughuli zimepoa sana. Anategemea kurudi nchini hivi karibuni, na kuendelea na clearing and forwarding. Anatafuta kampuni ya kununua isiyokuwa na...
BOOMPLAY, MERLIN WAONGEZA MKATABA WA LESENI SASA KUZIFIKIA NCHI 47 BARANI AFRIKA
Boomplay, App inayoongoza kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika na Merlin ambaye ni mshirika huru wa kutoa leseni ya muziki kidijitali, leo wametangaza upanuzi wa makubaliano ya leseni ambayo...
Dereva gari limemshindwa kila kukicha ni kumtupia lawama dereva aliyepita eti ubovu huu wa gari ulisababishwa na yeye pamoja na wasaidizi wake amesahau naye alikuwa ni kondokta wa dereva mkuu, alishindwaje kumshauri.Chaajabu anaendesha gari ovyo ovyo bila hata ya umakini hasikilizi abiria ndani...
Ajabu na kweli tunaposhuhudia utendaji mbovu kabisa wa jeshi la polisi kupata kutokea, kumbe wao pia wamejipa mamlaka zaidi na kujipongeza juu, kwa kupora haki za watu kuishi!
Eti kumbe Jan - Sep 2021 wamepokonya madereva 537 leseni za udereva? Jambo la hovyo kabisa kusikika kwa wapenda haki na...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema bado Askari wanalalamikiwa kwa masuala kadhaa ikiwemo kushikilia Leseni za Madereva kwa muda mrefu au kuwalazimisha kulipa faini papo hapo ilihali Sheria inampa muda Dereva wa kuilipa.
Amesema, "Kingine ni kuna ukamataji mwingi wa Vyombo. Ukipita Vituo vya...
Habari!
Nimepoteza leseni ya udereva, nimekamilisha taratibu zote za kupata mpya (renew).
Wamenipa kile kikaratasi chenye maelezo mafupi na tin number.
Ni lazima kulipia palepale wanapokuambia ukalipie au naweza kulipia kwa njia ya mitandao ya simu?
Thanks
Shughuli za uwakili nchini Tanzania hufanywa kwa mujibu wa Sheria ya Mawakili (The Advocates Act) ambayo kimsingi, inatoa masharti, ikiwemo kuhudhuria shule ya sheria (Law School) na kisha kuapishwa na Jaji Mkuu baada ya kufaulu.
Huyu Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za sheria...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa onyo kali kwa Kampuni za Mabasi ambazo zimekuwa zikisafirisha vipeto bila kuwa na Leseni. Wamepewa muda hadi Oktoba wawe wamejisajili la sivyo kitanuka.
Sijaona kipengele kuwa katika makusanyo ya Kodi ya jengo kupitia luku watatoa commission kwa tanesco kwa ajili ya kufidia yafuatayo
1. Kusaidia kulipia leseni ya kuendesha mifumo ya LUKU ambayo ni mabilioni ya shilingi
2. Kufanya operation na maintance ya mita za luku kila Mwezi mi mamilioni...
Watu 25 wakiwamo mameneja mauzo wa baa wamekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya kufanya biashara bila ya leseni katika operesheni iliyoendeshwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Vileo Zanzibar, Abdulrazaki Abdulkadiri na askari waliokuwa na silaha
Watuhumiwa hao wamesomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu wa...
TCRA YAZINDUA MFUMO ULIOBORESHWA WA UTOAJI WA LESENI MTANDAONI.
Leo 31 Julai,2021.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imefanya uzinduzi wa Mfumo ulioboreshwa wa Utoaji wa Leseni kwa njia ya Mtandao. Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo alikuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt...
Habari wakuu.
Kuna haja ya Kuanzisha leseni ya ulevi kwa mdaraja tofauti tofauti Ili kuwa chanzo cha mapato na kulinda watoto chini ya miaka 18.
Mfano wa leseni utakuwa kama hii hapa chini 👇👇
Sina takwimu kamili
Issue ya umiliki wa silaha imeleta fikra/ hisia/ mawazo mengi kwa Watanzania hasa baada ya taarifa za wiki iliyoisha(weekend).
Kikubwa nimejifunza
Wengi wanalaani umilikishwaji wa silaha kwa watu.(kiholela)
Ingawa process ni ndefu.
Wanakemea na kuiomba serikali Au taasisi...
NO 1013
ZANZIBAR
KANUNI ZA ULEVI LESENI YA ULEVI
DARAJA A-LESENI YA ULEVI WA KILA AINA (KANUNI YA 14)
ZANZIBAR
KANUNI ZA KILEVI
KIBALI CHA ULEVI
A. KIBALI KAMILI CHA DARAJA LA KWANZA
( SHERIA YA 14 )
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, ameagiza wataalamu wa wizara hiyo kufanya tathmini ya maduka ya kubadilisha fedha na kurejesha leseni kwa wenye vigezo ambao awali walifutiwa.
Katika mahojiano na Kituo cha Azam TV jana, Dk. Nchemba alisema kwa sasa wanafanya tathmini mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.