Kila siku mnazungumza mnadanganywa, ni hivi mazungumzo katika mambo ya Kijamii upende usipende ni lazima, niwape mfano, leo Mashariki ya Kati, Israel wanapiga na Palestina na Hezbollah, Watu kwa mamia wanauawa lakini wakati vita inaendelea kule Qatar kuna mazungumzo namna ya kumaliza vita...