lge 2024

LGE 2024
LGE 2024 - Local Government Election 2024 ni tagline inayotumika JamiiForums kwa maudhui yote yanayohusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 (Local Government Election 2024).
  1. Cute Wife

    LGE2024 ACT Wazalendo yashinda vijiji 4 Tunduru

    Wakuu, Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda Uenyekiti wa kijiji kwenye vijiji vya Ligoma, Chikomo, Mbesa na Amani vilivyopo kwenye jimbo la Tunduru Kusini, mkoani Ruvuma. Ikumbukwe kuwa uchaguzi wa Serikali za mitaa umefanyika jana tarehe 27 Novemba, 2024 Tanzania bara. Kupata taarifa na...
  2. Cute Wife

    LGE2024 Tabora: Tuhuma za wakala CHADEMA kutolewa kituoni zakanushwa

    Wakuu, Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa jimbo la Nzega Vijijini na Bukhene, Mhandisi Modest Apolinary amekanusha kuhusu tuhuma zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa wakala wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kituo cha kupigia kura kwenye Chuo cha Ualimu Ndala...
  3. Cute Wife

    LGE2024 Simiyu: CCM yashinda viti vyote vya Uenyekiti wa Bariadi

    Wakuu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda nafasi zote 84 za Uenyekiti wa viijiji katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu uliofanyika jana Novemba 27, 2024. Msimamizi wa uchaguzi huo ngazi ya halmashauri Khalid Mbwana amesema uchaguzi...
  4. Cute Wife

    LGE2024 Arusha: CHADEMA wapinga matokeo uchaguzi serikali za mitaa

    Wakuu, Hii ni Arusha wananchi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waandamana kupinga matokeo wakidai haki yao jana usiku baada ya matokeo kutangazwa. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya...
  5. Chakaza

    LGE2024 Kwa yaliyojitokeza Uchaguzi Serikali za Mitaa, Waziri Mchengerwa ulistahili kushtakiwa kwa uhaini

    Ulitahadharishwa kutokea mapema juu ya uchaguzi huu wa serikali za mitaa na kasoro zake tokea uandikishaji kama waziri mwenye dhamana ukadharau. Ukashauriwa hiki na kile pia ukapuuza hadi uchaguzi kwa kiwango cha kutisha umeharibika na watu kadhaa wameripotiwa kuuwawa. Ni upole tuu wa vyama...
  6. Roving Journalist

    LGE2024 Tabora: Mawakala wa CHADEMA na CCM wakimbia na mabox ya kura Nzega

    Wakuu, Mawakala wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Bukene na Wakala wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Jimbo la Nzega vijijini, wamekimbia na maboksi ya kupigia kura baada ya wagombea wao kuzidiwa kura kwenye uchaguzi waliokuwa wanausimamia. Akizungumza na Mwananchi leo...
  7. Cute Wife

    LGE2024 Mchengerwa: Matokeo ya jumla Uchaguzi Serikali za Mitaa kutangazwa kesho Novemba 28, 2024

    Wakuu, Waziri Mchengerwa akiwa anahojiwa na mtangazaji wa TBC, Dar, amesema kuwa yapo maeneo ambayo matokea yalishaanza kutangazwa kwani Wasimamizi Wasaidizi walishapewa maelekezo kwamba pale ambako wamemaliza wanapoendelea kuhesabu waendelee na pale ambako walishamaliza wataendelea kutangaza...
  8. Cute Wife

    LGE2024 Mchengerwa: Baadhi ya maeneo kulikotokea sintofahamu, mbalimbali watafanya uchaguzi kesho November 28, 2024

    Wakuu, Amesema Mchengerwa wakati anahojiwa na mwandishi wa TBC, kuwa kuna baadhi ya maeneo ambayo kumetoa sintofahamu mbalimbali, hasa maeneo ya Morogoro kuwa amewaambia watafanya uchaguzi kesho (Novemba 28, 2024) kwenye kata moja Ruaha ambako kulikuwa na changamoto kubwa upande wa karatasi...
  9. Cute Wife

    LGE2024 Singida: Uchaguzi Manyoni waahirishwa baada ya mgombea kupigwa risasi

    Wakuu, Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Stand, Kata ya Mkwese, Wilayani Manyoni, Mkoani Singida umeahirishwa baada ya mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuuawa kwa kupigwa risasi. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za...
  10. Cute Wife

    LGE2024 Mchengerwa: Changamoto zilizojitokeza zinatusaidia kujipanga uchaguzi ujao

    Wakuu, Kwahiyo waliacha matobo makusudi ili waje watuambie watafanya vizuri wakati mwingine, wakati wananchi watakaa na uozo huo kwa zaidi ya miaka 3? Eti taifa letu changa, mfumo wa vyama vingi tumeanza juzi! Am so wandaz:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: === Kupata taarifa na matukio ya...
  11. Cute Wife

    LGE2024 Mwanza: CCM yashinda Majengo Mapya, Ilemela

    Wakuu, Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Msimamizi wa uchaguzi ngazi ya mtaa wa Majengo Mapya, Kata ya Buswelu...
  12. Cute Wife

    LGE2024 Dar es Salaam: Mgombea wa CHADEMA aliyeuliwa kwa risasi, Kamanda Muliro asema amefariki kutokana na shinikizo la damu!

    Wakuu, Mbona mambo yanazidi kukorogwa! Aliyeelewa hapa aniaeleweshe! ==== Wakati Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akidai mgombea ujumbe wa chama chake Mtaa wa Ulongoni A, Modestus Timbisimilwa kuwa ameuawa kwa kupigwa risasi na Polisi, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es...
  13. Suley2019

    LGE2024 Pwani: CHADEMA waeleza changamoto za Uchaguzi

    Baraza la Wanawake Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) Kanda ya Pwani leo Novemba 27, 2024 limetembelea vituo vya kupigia kura katika mitaa mbalimbali ya Kinondoni likiwa limeambatana na kaimu Mwenyekiti wa Baraza hilo Taifa, Sharifa Suleiman. Wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la...
  14. Cute Wife

    LGE2024 Singida: Polisi wanamsaka Katibu Mwenezi CCM kwa kumjeruhi Katibu wa CHADEMA kwa kisu

    Wakuu, Huu uchaguzi ni balaa! ====== TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamtafuta Joseph Shila, Katibu Mwenezi wa CCM Kata ya Mitunduruni, Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kisu kwenye bega la kushoto Hamisi Nkua, (52) Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Singida. Kupata...
  15. Cute Wife

    LGE2024 Polisi Rukwa: Vijana CCM hawakuwa na nia ya kuchoma nyumba ya Mbunge

    Wakuu, Maake hapo kwanza ncheke! === Jeshi la Polisi mkoani Rukwa limetoa ufafanuzi wa taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu vijana sita wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukamatwa nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini, Aida Kenan wakiwa na petroli lita 20 kwa lengo la...
  16. Cute Wife

    LGE2024 Kigoma: Vijana wawekwa chini ya ulinzi kwa wizi wa kura baada ya polisi kuingilia kati

    Wakuu, Uchaguzi huu umekuwa disaster! Mkuu utakuaje kwa trela hili? Pia soma: LGE2024 - Kigoma: Wananchi wafanya vurugu kituo cha kupiga kura Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote...
  17. Cute Wife

    LGE2024 Shinyanga: Apatikana na karatasi za kura ambazo zimepigwa kwa mgombea wa CCM zaidi ya 100

    Wakuu, Kwani yale matokeo walisema saa nne yanakamilika imekuaje? Mwanamke mmoja amekamatwa na kura zaidi ya 100 ambazo tayari zimeshapigwa. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania...
  18. Cute Wife

    LGE2024 Watumishi ambao hawajapiga kura kukiona Songwe, watakaguliwa kama wana wino

    Wakuu, Oneni huyu mpuuzi! Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Katibu Tawala Mkoa wa Songwe Bi. Happiness Seneda...
  19. P

    Dar: Ali Kiba apiga kura uchaguzi serikali za mitaa

    Wakuu, Mfalme wa muziki wa Bongo Flava na Rais wa CROWN MEDIA Ali Kiba ameshiriki zoezi la kupiga kura katika kituo alichojiandikisha leo Novemba 27.
  20. P

    LGE2024 Dar: CHADEMA wasusia uchaguzi Temeke, wawaondoa mawakala wao vituoni

    Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Temeke, Dar es Salaam kimetangaza kususia uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 unaoendelea sasa, kutokana na kile walichodai kuwa fomu za mawakala wao zimebadilishwa vituo hatua iliyopelekea mawakala hao kushindwa kuingia kwenye vyumba...
Back
Top Bottom