LGE 2024 - Local Government Election 2024 ni tagline inayotumika JamiiForums kwa maudhui yote yanayohusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 (Local Government Election 2024).
Hii imekaaje , Tamisemi na kampeni ?
Ambapo ukizingatia ndio msimamizi wa uchaguzi.
Soma Pia: Mahakama yatoa kibali Wadau wafungue Kesi kupinga Ofisi ya Rais-TAMISEMI kutosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Manispaa ya Temeke wamekata posho ya waandikishaji wa orodha ya wapiga kura licha ya wengi wao Leo kukosa chai Rais Samia anahujumiwa. Habari ndio hiyo Rais Samia ana hujumiwa na watendaji wake wa chini
Leo katika semina hiyo kulikuwa na mauza uza baada wa washiriki wa semina kukosa chai...
RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI ZOEZI LA KUANDIKISHA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atazindua rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa mnamo tarehe 11.10.2024 Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma.
Taarifa hiyo...
daftari la wapiga kura
daftari wapiga kura
dodoma
kuelekea 2025
lge2024
rais samia
serikali za mitaa
uandikishaji daftari wapiga kura
uandikishaji wa wapiga kura
uchaguzi serikali mitaa
uchaguzi serikali za mitaa
uchaguzi wa serikali za mitaa
Wakati taifa likiwa linaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwezi Novemba, Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amemuahidi Rais Samia kutumia viongozi watakaochaguliwa na wananchi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kama Jeshi la kumtetea Samia kwenye uchaguzi mkuu.
Soma pia: Ruvuma...
Tanzania ina historia ya kuwa na wanasiasa wa kike wenye ushawishi mkubwa katika ujenzi wa taifa na kuleta mabadiliko chanya.
Wanawake hawa wamekuwa mstari wa mbele katika kukuza siasa, kuongoza mabadiliko, na kupaza sauti za wananchi katika kushughulikia changamoto mbalimbali.
Je, ni yupi...
Wakuu,
Watoto wadogo CHADEMA na wengine umejumbe umewafikia, mna nini cha kuoffer wananchi waone CCM ni pumba wawachague na kuwachagua nyinyi?
======
"Tushikamane na serikali yetu na chama chetu CCM katika chaguzi zinazikuja za serikali za mitaa, tuwachague wagombea wanaotokana na CCM...
Vyama vingine baada ya wanachama wao kugoma kushiriki maandamano haramu yaliyopigwa marufuku na kudhibitiwa na polisi, wame nyong'onyea, wamesinyaa na wamekua kama wamepigwa ganzi hivi, Lakini pia ni kama wamepoteza uelekeo kabisa. Na kwasababu hiyo eti sasa wanalumbana washiriki au wasishiriki...
Wanawake wa Tanzania, je, umejipanga kugombea nafasi yoyote katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa au Uchaguzi Mkuu ujao?
Ni sababu zipi zinakuchochea kugombea au zinakuzuia?
Ni kweli Wanawake wanaogopa kujihusisha na Siasa au kugombea nafasi za Uchaguzi?
Kwa muda mrefu, kumekuwepo na mtazamo...
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la Mkazi ambalo linatarajiwa kufanyika Oktoba 11 hadi 20, 2024 na upigaji wa kura Novemba 27, 2024 ili kuchagua viongozi wa serikali za mitaa.
Wito huo...
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho huko Mvomero, mkoani Morogoro amewataka kikiunga mkono chama hicho katika chaguzi zijazo ikiwemo uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu.
26 September 2024
WANANCHI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 TARIME MJI
Posted on: September 26th, 2024
Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Mji Tarime Bi Gimbana E Ntavyo amewaomba viongozi mbalimbali na asasi za kiraia kuwahimiza wananchi...
Wakuu,
Ili kuzifikia nyuzi hizi kirahisi, hapa utapata orodha yote ya mikoa inayoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, ambamo ndani yake utapata links za matukio yote yanayojiri katika mikoa husika, mpaka kufikia kwenye matokeo ya uchaguzi huo.
====
Mwaka huu 2024 Tanzania Bara...
Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya mkoa iliyopo katika Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watukatika Mkoa wa Mbeya ni 2,343,754; wanaume 1,123,823 na wanawake 1,219,926
Mji wa Mbeya ulianzishwa na wakoloni Waingereza mnamo...
Iringa ni mkoa uliopo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania, kati ya latitudo 6.540 na 100, na longitudo 33 na 37° Mashariki. Mkoa huu unachukua eneo la kilomita za mraba 58,936. Iringa ni mji wenye mandhari mazuri, uliopo katikati ya sekta ya chai nchini Tanzania.
Umejengwa kwenye mteremko wa...
Salaam, shalom!!
Leo ni mei mosi, siku pekee na muhimu Kwa wafanyakazi Nchini.
Watumishi wa umma wanasherehekea mei mosi katika mazingira magumu, mishahara isiyotosheleza, Kodi kubwa, kukosa motivation wakiwa kazini mf walimu ,kikokotoo Kwa wastaafu, mfumuko wa Bei, nk nk.
Kwa kuwa Sheria za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.