LGE 2024 - Local Government Election 2024 ni tagline inayotumika JamiiForums kwa maudhui yote yanayohusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 (Local Government Election 2024).
CHADEMA kimesema kuwa hakiridhishwi na mchakato unaondelea wa uandikishaji wa wapiga kura kwani kuna kasoro ambazi zimejitokeza.
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amebainisha changamoto hizo ambazo ni
1. Uandikishaji wa watoto ambao hawajafikisha miaka...
Kumekuwa na malalamiko ya hapa na pale kuwa CCM inaandikisha wanafunzi kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mtaa.
Wandugu, as long as hao wanafunzi watakuwa wamefikisha umri wa kupiga kura wakati wa uchaguzi hakuna sheria yoyote iliyovunjwa, ni haki yao kupiga kura.
Mbali na mashuleni, CCM...
Kabla ya mwaka 2015 kulikuwa na mwamko mkubwa sana kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha ili kutimiza adhima yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka.
Kuanzia 2010 hadi 2015 ulizuka msemo unaitwa Kichinjio. Yaani kadi ya mpiga kura ambapo mwenye nayo anaamua kumkatilia mbali Diwani...
Naishauri serikali ipambane kuelimisha jamii na kutenda yale yanayo ijengea imani jamii ili ijue umuhimu wa kujiandikisha ,
Na sio kulazimisha mawakala kufuata wananchi majumbani ambako wana ambulia matusi na kejeli na pia haiwajengei wananachi utaratibu wa kuona ni wajibu kujiandikisha na...
Leo nipo Dukani walikuja watu kuni hamasisha nikajiandikishe kupiga kula. Pale Dukani kulikua na watu wengi ila majibu ya baadhi ya watu.
Walisema " Nikajiandikishe Ili iweje wakati Uchaguzi wenyewe matokeo mshayapanga, siwezi kupoteza mda wangu, au kuchomwa na Jua"
Mtu mwingine akajibu "...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amewaelekeza wasimamizi wa uchaguzi katika mamlaka za serikali za Mitaa kuendelea kuhamasisha na kuweka mabango yanayoelekeza vituo vya kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mhe. Katimba ametoa maelekezo hayo mkoani...
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Pwani Mhe. Subira Mgalu azungumza na Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Kerege iliyopo Bagamoyo Pwani tarehe 12 Oktoba, 2024.
Mkutano huo wenye lengo la kuzindua "Kamati za Ushindi" ulilenga katika kuhamasisha na kutoa elimu ya uandikishaji wa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa wito kwa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) pamoja na jumuiya nyingine za chama hicho kuendelea kushindana kwa hoja na kuwa mfano bora wanapojadili masuala mbalimbali ya kitaifa.
Akizungumza katika hafla ya kumaliza...
Yeyote aliyeona Kwenye Kituo chochote Tanzania labda Hakuna Wakala wa Chadema, Basi atoe Taarifa kupitia Uzi huu (Siyo PM), Mimi nitawasiliana na Viongozi wa Chadema kwa njia mbalimbali na kuwapa Taarifa haraka iwezekanavyo.
Au kama umemkuta Wakala wa Chadema ana shida yoyote kituoni hapa, iwe...
Katibu Mkuu chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema kuwa utaratibu wa wasimamizi wa vituo vya kuandikisha wapiga kura kuwanyima mawakala haki ya kujua idadi (orodha) ya wapiga kura waliojiandikisha siku husika ni bomu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27...
Mahakama Kuu Kanda ya Songea imetoa mafunzo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa waheshimiwa mahakimu wakazi kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma.
Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Huntlcub Ruhuwiko mjini Songea,yamefunguliwa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu...
Fedha za vijiji au kata ni mali za wananchi au mali ya umma ila viongozi wa CCM wakishirikiana na watendaji wa kata na vijiji pamoja na wenyeweviti wao wamekubaliana kuchota fedha za umma kwajili ya kulipa mawakala.
Jambo ili lipo kinyume na sheria na usimamizi wa fedha. Na ili limetokana na...
Hili ni jambo ambalo baadhi ya Wale wengine wamenuna.
Vijana hawa wanafanya kazi hii iliyopaswa kufanywa na TAMISEMI huku Waziri wa Wizara hiyo akizunguka na Diamond huko Ikwiriri wakitafuta Eneo la kujenga Ukumbi wa Burudani.
Soma Pia:
Wito kwa Vijana wote wa Tanganyika, kujiandikisha...
Nichukue nafasi hii kuwakumbusha Watanzania wenzangu wote kuwa serikali za Mitaa ni muhimu na ndiyo sauti ya wananchi hivyo tujitokeze kujiandikisha katika daftari la mpiga kura.
Bila kujali itikadi zetu hili ni jambo muhimu sana Kwa taifa letu kwa ujumla.
Pia soma: Kuelekea 2025 - LGE2024 -...
Wakuu salama?
Zoezi la kujiandikisha limezinduliwa jana Oktoba 11 na Rais Samia, meona nianzishe uzi huu ili tushee picha na video za maeneo ambayo tunaenda kujiandikisha kupiga kura.
Kuona vituo vikoje, mazingira kwa ujumla yanaridhisha? Au mnaandikishwa chini ya mti🌚!
Ukiweka picha na video...
CCM wasisimamishe mgombe heti kwa sababu tu ni raisi au mwenyekiti bali yule atakea hakikisha watanzania wote wanapata huduma zote muhimu bila ubaguzi sio unakuta mtu anakatiza huduma kwa watanzania wenzake ili wafe njaa, tusisimamishe kiongozi kama huyu sisi hatutaki raisi ilimradi tu tuonekane...
Leo, Ijumaa, 11.10.2024, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, amejiandikisha kupiga kura tarehe 27.11.2024.
Vilevile, ametembelea vitongoji kadhaa vya Kata nne, ikiwemo Kata ya kwao ya Kiriba, yenye vijiji 3 na vitongoji 24, na kupata yafuatayo:
(i) Idadi ya wapiga kura...
Ukiangalia mwitikio wa watanzania kujiandikisha." Inachekesha sana.
Utaona wazi kwamba hata wajinga wameanza kujua kinacho endelea baada ya uchaguzi/uizi wa kura.
Ukimya wa Watanzania kutojihusisha na maandamano hautoi tafsiri kwamba watanzania niwajinga au hawana la kufanya hapana.
Badala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.