lge 2024

LGE 2024
LGE 2024 - Local Government Election 2024 ni tagline inayotumika JamiiForums kwa maudhui yote yanayohusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 (Local Government Election 2024).
  1. Chachu Ombara

    LGE2024 Zitto: Epuka upotoshaji, kura yako moja ina nguvu ya kuleta mabadiliko

    Zitto amewataka Watanzania wote kujiandikisha katika mitaa, vijiji, na vitongoji vyao ili waweze kushiriki katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024. Amesisitiza umuhimu wa ushiriki wa wananchi katika mchakato wa kidemokrasia, akisema kuwa ni haki yao ya kikatiba ambayo...
  2. Cute Wife

    LGE2024 Makalla: CHADEMA kazi ya kuwaombea kura siyo ya Serikali ni kazi ya chama

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa matamu, wakuu mkashiriki kupiga kura tujue kama hawa watu milioni wanaokusanywa kwenye mikutano ni wa kweli au ni janja janja ===== "Mbali na kupoteza Dira na mwelekeo chadema wameingia woga, baridi na kuishia kulalamika. Jana nilimsikia Mnyika anasema serikali...
  3. Matulanya Mputa

    LGE2024 Kama leo baadhi ya vituo vya kujiandikishia wameweka nje kila mtu anaona kwa uwazi kwanini kura zisipigwe kwa uwazi ili kila mtu aone kinachoendelea?

    Kama leo baadhi ya vituo vya kujiandikishia wameweka nje kila mtu anaona kwa uwazi kwanini kura zisipigwe kwa uwazi ili kila mtu aone kinachoendelea? Soma Pia: Jaji Mwambegele: Mawakala wa Vyama vya Siasa wataruhusiwa kuwepo katika Vituo vya Kuandikisha Wapiga Kura
  4. Suley2019

    LGE2024 Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ajitokeza kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Geita

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko ameshajiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa kwenye katika kitongoji cha Bulangwa wilayani Bukombe mkoani Geita leo tarehe 11.10.2024.
  5. Cute Wife

    LGE2024 Makonda: Ukichagua viongozi wa mtaa waaminifu wasiyojihusisha na madawa ya kulevya utaleta chachu katika ngazi hiyo

    Wakuu, Jiwe limerushwa gizani, wakuu mjitokeze kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa, na baadaye uchaguzi mkuu, vyote ni muhimu kwa maendeleo ya nchi. ====== Tumeongozwa na Rais Samia Kwenda kujiandikisha ikiwa ni siku ya kwanza yah atua ya mwanzo ya wananchi kushiriki kwenye...
  6. J

    Pre GE2025 CCM itatoka Madarakani pale tu itakapochokwa na wananchi lakini siyo kwa kuzidiwa Mbinu za Siasa na Vyama vya Upinzani!

    Huko Ndio Ukweli CCM ina mikakati mipana sana Muda mfupi uliopita nimepigiwa Simu na Mjumbe wa Nyumba 10 akinijulisha Uandikishaji Wapiga Kura wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Umeanza Leo na anesema " chonde chonde Komredi sambaza ujumbe kwa Wananchi wote Wenye mapenzi mema na CCM" Sasa Ndio...
  7. Emmanuel gubabu

    LGE2024 Ni sawa kwa wenyeviti wa mtaa na vitongoji kutotoa taarifa kwa wananchi wao kuenda kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura?

    Jana niliongea na Balozi akaniambia leo usiku (Jana) tutatangaza kwa kutumia polomondo ili kila mwananchi ajue nikatoka kwenda msibani nikakuta Mwenyekiti wa kitongoji anasema hatutangazi mtaambiana wenyewe huko, nikawaza hivi hilo zoezi la kwenda kwa kila mtu kumwambia mbona gumu sana...
  8. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mbunge Atupele Mwakibete Achangia Tsh. Milioni 15 Ujenzi Nyumba ya Mwalimu Busokelo Boys

    Mbunge wa Jimbo la Busokelo, Mhe. Atupele Fredy Mwakibete leo Tarehe 10/10/2024 ameunga mkono jitihada za Wazazi na Wananchi katika Ujenzi wa Nyumba ya Mwalimu shule ya Sekondari ya Wavulana Busokelo inayopatikana kata ya Isange kwa Kuchangia pesa Shilingi Milioni 15. Akiwa katika Mahafali ya...
  9. Chachu Ombara

    LGE2024 ACT Wazalendo: Tumebaini mapungufu makubwa yanayoathiri ufanisi, uhuru na kutendeka haki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    MAPUNGUFU MAKUBWA UANDIKISHAJI WAPIGAKURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA Chama cha ACT Wazalendo kinafuatilia kwa karibu mwenendo wa mchakato unaoendelea wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kulingana na ratiba iliyotolewa na Waziri mwenye dhamana ya TAMISEMI. Tangu kuanza kwa mchakato wa uchaguzi...
  10. Cute Wife

    LGE2024 CCM Arusha: Mgombea Serikali za Mitaa lazima awe na kazi ya kufanya inayomuingizia kipato halali la sivyo ataufanya Uenyekiti ndio kazi

    Wakuu, mambo yanazidi kunoga, kwani hawa ambao tunaenda na wanatudai hizi hela za 'copy' si ni wenyewe hawa hawa CCM? Au anaongelea watu gani? Maana wao ndio walipita kwa 99% bila kupingwa! === "Mgombea ni lazima awe na kazi ya kufanya inayomuingizia kipato halali kinachomuwezesha kuishi na...
  11. Mkalukungone mwamba

    Wilaya ya Bahi watumia michezo ili kuhamasisha wananchi kujitokeza kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Mh. Rebecca Nsemwa, amezindua Bonanza la Michezo wilayani humo, lililoshirikisha michezo mbalimbali ikiwemo timu nne za mpira wa miguu, kuvuta kamba, mbio fupi, kuruka na magunia na michezo mingine ambalo limekutanisha makundi tofauti tofauti kwa lengo la kuhamasisha...
  12. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mbunge Amina Ali Akomaa na Vijana, Awataka Kujiandikisha Daftari la Mpiga Kura

    Mbunge wa Viti Maalum (Vijana Taifa) Anayetokea Kundi la Vijana Zanzibar, Mhe. Amina Ali Mzee ametembelea vituo mbalimbali vya Mkoa wa Mjini Unguja, Zanzibar vinavyoandikisha wananchi katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura kutokana na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Unaotarajiwa Kufanyika 27...
  13. Joseph Ludovick

    Utekelezaji Ilani; Elimu Bahi ni Fahari ya Dodoma

    Wilaya ya Bahi, iliyoko mkoani Dodoma, imeibuka kuwa kielelezo bora cha mafanikio katika sekta ya elimu nchini Tanzania. Hayo yamebainika katika taarifa ya mkuu wa wilaya na serikali ya wilaya ya Bahi ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi 2020-2024 iliyosomwa kwa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya...
  14. Nyendo

    Pre GE2025 Mambo yanazidi kunoga Majimboni, mbinu ni zilezile wadanganywa ni walewale

    Unaweza shikwa hasira kwa mbinu zilezile zitumikazo kuwahadaa wananchi ila kila ukikumhuka wananchi wanadanganyika kama watoto wadogo kwa greda moja linalopita kwenye barabara za mitaani kiba baada ya miaka 5 kuelekea uchaguzi na halitaonekana tena mpaka baada ya miaka 5 basi unashusha pumzi...
  15. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Watanzania wezangu tusilambishwe sukari na wanasiasa, bali tuzipime hoja zao kama kweli zitaleta chachu ya maendeleo

    Nchi kwetu Tanzania katika kipindi hichi cha miaka hii 2, taifa litakuwa bize kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao utafanyika November 27, 2024. Na uchaguzi mkuu ambao utafanyika 2025. Katika kipindi hiki wanasiasa wameshaanda sukari zao za hoja kuja kudanganya au kusema ukweli wakati...
  16. J

    Majibu kwa Madai ya John Mnyika, Katibu Mkuu wa CHADEMA. Ukweli dhidi ya Upotoshaji

    Kutoka Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi ya UVCCM taifa Majibu kwa Madai ya John Mnyika,Katibu Mkuu wa Chadema.Ukweli Dhidi ya Upotoshaji 1. Ukweli kuhusu Mamlaka ya TAMISEMI Madai ya John Mnyika kwamba TAMISEMI imepokea majukumu kinyume na sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi ni upotoshaji wa...
  17. Erythrocyte

    Pre GE2025 Ushahidi wa Jinsi Katibu Mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi alivyotapeliwa na kudanganywa huko Itilima huu hapa

    Tumerudia mara kadhaa humu tukionyesha namna baadhi ya viongozi matapeli wa ccm huko mikoani wakiwafanya viongozi wao wa Kitaifa Mabwege , kwa kuwakusanyia watu duni na wasela na kutangaza kwamba eti ni wanachama wa Chadema wanaohamia ccm, Lakini tumeonekana ni waongo. Sasa angalia mwenyewe...
  18. L

    Pre GE2025 Simiyu: CHADEMA yapata pigo Wanachama 60 wahamia CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Itilima, Katibu na wanachama wao wahamia CCM. Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, Ndugu Terry Kilugala, na Katibu wake wa Wilaya ya Itilima, Ndugu Gershom Migasa Mipawa, pamoja na wanachama wao zaidi ya 60, wamehamia...
  19. Erythrocyte

    Pre GE2025 Sugu aendelea kusafisha Mabaki ya CCM Mbeya Mjini, Leo ni zamu ya Kata ya Isyesye

    Hii ndio Taarifa ya leo kutoka Mbeya, ni Dhahiri kwamba Mbeya hakuna CCM, lakini kuna yale Mabaki au Masalia ya Magugu Maji, ndio yanamalizikia kusafishwa Hii ni Kata ya Isyesye, ambako Masomo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa yanaendelea kutolewa, huku Wananchi wakielewa kwa kiwango cha...
  20. Erythrocyte

    Pre GE2025 Tanga: CCM yapigwa Changa la Macho, Vijana 100 waliodaiwa kuhamia wakitoka CHADEMA, hawakuwahi kuwa CHADEMA

    Tunapoandika humu kwamba hela za ccm zinaliwa kibwege, muwe mnaelewa. Kuna kiongozi wao mmoja kakusanya Wahuni na kuwaita wanaCHADEMA ili ajipigie hela za bure, katika aliowakusanya hakuna hata mmoja aliyewahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, achilia mbali kuwa mfuasi tu. Ushahidi wa Hoja hii ni...
Back
Top Bottom