lge 2024

LGE 2024
LGE 2024 - Local Government Election 2024 ni tagline inayotumika JamiiForums kwa maudhui yote yanayohusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 (Local Government Election 2024).
  1. figganigga

    Pre GE2025 Mwanasiasa atakayebandika Mabango ya Kampeni ayaondoe Uchaguzi Ukiisha ili Kulinda Mazingira yetu

    Salaam Wakuu Kipindi cha Kampeni, kumekuwa na tabia ya Wanasiasa ya kubandika Mabango ya Kampeni kwenye Mitaa, Barabarani na hata kwenye kuta za nyimba za watu. Lakini Uchaguzi Ukiisha hawarudi kuondoa mabango yao ambayo yanageuka Uchafu Mitaani. Tamisemi isisimamie kura tu na hesabu bali...
  2. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Wilaya ya Nachingwea jumla ya vituo 525 vitatumika kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu

    Msimamizi wa Uchanguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wilaya ya Nachingwea mhandisi Chionda Kawawa ametangaza rasmi jumla ya vituo 525 vitatumika kupiga kura katika uchaguzi wa mwaka huu tarehe 27/11/2024. Akizungumza na KITENGE TV Mhandisi Kawawa amesema kuwa wamejipanga kuhakikisha...
  3. J

    Pre GE2025 Demokrasia nyakati za uchaguzi inavyokiimarisha Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    DEMOKRASIA NYAKATI ZA UCHAGUZI INAVYOKIIMARISHA CHAMA CHA MAPINDUZI Safari ya CCM 🚍 Simulizi hii ya 'Safari ya CCM' inatueleza namna michakato ya kidemokrasia nyakati za uchaguzi inavyokiimarisha Chama cha Mapinduzi (CCM), kwanzia zama za siasa za chama kimoja hadi ulipokuja mfumo wa vyama...
  4. S

    Mchujo wa ndani ya CCM uchaguzi huwa mkali pesa na Rushwa huwa si kigezo ndio maana Lowassa na pesa zake alishindwa kupita

    Mchujo wa ndani ya CCM chaguzi huwa mkali mno wa nani astahili kugombea. Pesa ,Rushwa huwa si kigezo cha mtu kuteuluwa na chama kugombea nafasi ndio maana Lowassa na pesa zake nyingi alishindwa kupita Wengi hata vyama vya upinzani wanashangaa mbona kama uchaguzi wa nani agombee serikali ya...
  5. T

    LGE2024 Wapinzani wasisherekee rough za uchaguzi ndani ya ccm hilo ni jalamba la kuja kwao! Ikiwa yanaupata mbichi vipi mkavu?

    Inavoonekana CCM wana utaalamu wa hali ya juu sana katika kucheza rough za uchaguzi. Na dalili za wazi tunaziona kwenye chaguzi za kura za maoni ndani ya chama, na kama haufikiri kwa kina unaweza kudhani zile ni rough ndani ya CCM, lakini ukweli ni kwamba lile ni tangazo la wazi kwa upinzani...
  6. J

    Kwanini CCM inavidharau Vyama Vyote vya Upinzani isipokuwa CHADEMA tu?

    Mfano mzuri ni huu Uchaguzi wa Serikali za mitaa huwezi kukuta CCM au hata Chawa wake akina Lucas, Choicevariable na Mchungaji Msigwa wakivizungumzia Vyama vingine zaidi ya CHADEMA Tumeambiwa na Daktari Slaa kuwa CHADEMA iko ICU lakini mbona CCM bado inahangaika nao usiku na Mchana CCM...
  7. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Ushiriki wa vijana wa kike kwenye uchaguzi nchini ni suala muhimu katika kuimarisha demokrasia

    Ushiriki wa vijana wa kike kwenye uchaguzi nchini Tanzania ni suala muhimu katika kuimarisha demokrasia na kuhakikisha uwakilishi sawa. Vijana wa kike wanakumbwa na changamoto nyingi, kama vile ukosefu wa uelewa wa haki zao za kisiasa, kukosa fursa za kushiriki kikamilifu kwenye kampeni au...
  8. The Watchman

    LGE2024 Dar: Vurugu wakati wa kupiga kura maoni kata ya Yombo Vituka

    Hizi kura za maoni zimekuwa na vurugu sana CCM, hii inaashiria kutokuwepo kwa demokrasia katika taratibu za kupata wagombea kutoka kwenye chama chao.
  9. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Yaliojiri upigaji wa kura za maoni ndani ya CCM Mitaa ya kata ya Msigani Ockoba 23, 2024

    Kata ya Msigani inapatikana Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Kata hii inajumla ya Mitaa mitano ambayo ni Mtaa wa Msigani, Mtaa wa Temboni, Mtaa wa Malamba Mawili, Mtaa wa Msingwa na Mtaa wa Kwa Yusufu. Aidha kwa mwaka huu kumekuwa na muhamko mkubwa sana kwa wanachama wa CCM katika Kata...
  10. Cute Wife

    Pre GE2025 Kwenye chaguzi hizi hawataki mambo za kukamatwa na mabox ya kura, huu ndio muda wamejipanga kuiba kuliko vipindi vyote vya nyuma

    Wakuu jioni inaenda njema? Ni kwamba safari hii hawana mpango wa kukamatwa wakiwa wanabox ya kura, mbinu hii ishasemwa sana na wao wenyewe, wakirudia tena saivi wameona upepo umeshabadilika, mambo yatakuwa magumu wakitumia mbinu ile ile. Wamejifunza na wame-adapt, wamekuja na njia nyingine...
  11. The Watchman

    LGE2024 Tanga: CCM waanza kupiga kura za maoni kwa wagombea kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda ni mmoja kati ya washiriki katika zoezi la kupiga kura za maoni kuchagua wawakilishi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wanachama wa CCM nchi nzima wanaendelea kutumia haki yao ya kupiga...
  12. Erythrocyte

    LGE2024 Kura za Maoni za CCM ngumi zafumuka kila Mahali

    Kila yanapotolewa matokeo ngumi zinalipuka, yaani ni kila mtu na wake, hatari! Matofali na kila silaha zinatumika (Hakuna Polisi) Kama kuna Unapoona hakuna ngumi basi jua Matokeo hayajatolewa. Usiondoke Jf, Kama kuna maafa yoyote yatokanayo na hilo tutakuwekea hapa hapa
  13. JanguKamaJangu

    LGE2024 Vurugu zaibuka Uchaguzi wa CCM Kibosha Mkoani Pwani

    Hali ya sintofahamu imeibuka katika kitongoji cha kwa Kibosha, kata ya Mapinga wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, baada ya zoezi la kupiga kura za maoni, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kuahirishwa kutokana na baadhi ya wanachama kudai uwepo wa mapungufu katika uchaguzi huo na kusababisha vurugu...
  14. nkuwi

    LGE2024 ACT Wazalendo mbona hawaonekani kwenye uboreshaji daftari?

    Naomba kuuliza kwenye huu uandikishaji wa daftari la wapiga kura ACT Wazalendo mbona hawaonekani kabisa? Naona vita kubwa kati ya CHADEMA na CCM tuu? Nimetembelea mikoa ya Geita, Kagera, Mwanza, Shinyanga, kwenye vituo vya uandikishaji vyote nimekutana na mawakala wa CCM na CHADEMA pekee. Je...
  15. Cute Wife

    Taratibu inaanza kuwa kawaida kuwa na picha za wanasaisa kwenye jezi za timu, mwisho timu zitakuwa kama vikundi vya wanasesere kwa wanasiasa

    Wakuu, Naona tunazidi kuingiza siasa kwenye michezo, mwisho timu hizi za mpira zitakuwa hazina tofauti na wasanii wanaotumiwa kutumbuiza na kuimba mapambio kwaajili ya wanasiasa. TFF kwanini maacha haya yatokee? Wanachi wameshapoteza mzuka kwenye timu ya taifa sababu ya hili hili halafu...
  16. Cute Wife

    LGE2024 Takwimu za uandikishaji Uchaguzi Serikali za Mitaa kulinganisha na idadi ya watu. Baadhi walioandikishwa wazidi idadi ya watu

    Wakuu, Mambo hayo, angalia mwenyewe baadhi ya maeneo idadi ya watu walioandikishwa wamezidi idadi ya watu waliohesabiwa tena pakubwa! Mchengerwa safari hii lazima badamu bachuruzike! Dar es Salaam Sensa 3,599,244 Milioni– Waliojiandisha 3,483,970 Milioni Mwanza Sensa 1.95 Milioni –...
  17. Cute Wife

    LGE2024 Kagera: RC Mwassa atembea na visheti kuhamasisha Uchaguzi Serikali za Mitaa. Hii ni Rushwa!

    Wakuu, Hizi ni rushwa kuwashawishi wananchi wafanye wafanye maamuzi, iwe kwa pesa au visheti vyote ni rushwa. Kwanini vinaachwa kuendelea kufanyika? TAKUKURU mnafanya nini? === Mkuu wa mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amezunguka kwenye baadhi ya vijiwe vya Kahawa katika manispaa ya Bukoba...
  18. M

    Pre GE2025 Mwenyekiti Serikali Mtaa Sangara ajiunga ACT Wazalendo

    Na Mwandishi wetu Dar. Mwenyekiti Mstaafu wa Serikali ya Mtaa wa Sangara Kata ya Msongola wilaya ya Ilala jijini Dar esSalaam,Pili Charles Ndimaye amejiunga na Chama Cha ACT Wazalendo baada ya kumaliza muda wake wa uongozi Oktoba 19 Mwaka huu. Taarifa ya viongozi wa ACT Wazalendo Jimbo la...
  19. K

    Je, CHADEMA ina lengo la kweli kushindana kwa hoja na sera au dhamira yao ni kufanya nchi isitawalike kwa kukwamisha chaguzi?

    Kauli tata za viongozi wa CHADEMA zimeibua taharuki. Kauli hizo zinaonesha hila za kisiasa na viashiria vya kuibua vurugu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025. Benson Kigaila, mmoja wa viongozi waandamizi kutoka chama hicho, ametoa matamshi yanayodai kwamba CHADEMA...
  20. Cute Wife

    LGE2024 TAMISEMI pamoja na taarifa za jumla za uandikishaji kwe mikoa, mtoe pia takwimu hizi kwenye ngazi ya Kata na Mitaa

    Wakuu, Waziri Mchengerwa ametoa taarifa ya uandikishaji ambapo taarifa hiyo imetolewa kimkoa kwa ujumla pamoja na asilimia walizofikisha. Kama mmepata taarifa za kila mkoa, ina maana taarifa kwenye ngazi ya kata na mitaa pia taarifa hizo zipo, kwanini tunapewa kwa ujumla na si kwa kata na...
Back
Top Bottom