LGE 2024 - Local Government Election 2024 ni tagline inayotumika JamiiForums kwa maudhui yote yanayohusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 (Local Government Election 2024).
"Mtia nia wa mtaa wa Mji Mpya uliyopo kata ya Kwembe Jimbo la Kibamba amekatwa kwa sababu tu aliandika kazi ni mjasiriamali, hivi kwani jamani ujasiriamali siyo kazi? Kwenye mtaa huu ameteuliwa mjumbe 1 tu ambae aliandika kazi ni dereva." - Rahma Mwita kupitia ukurasa wake wa X
Wakuu,
Moto unazidi kufuka.
====
"Kwa miaka mitatu, tangu Januari 2022, tumekuwa Mitaani na Vijijini kuimarisha chama chetu ACT Wazalendo.
"Tumehakikisha kuwa tumepata wanachama wengi wazuri ambao wamegombea katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. HATUTAKUBALI kamwe...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ametumia mtandao wa X kulalamika kuhusu vitendo vya ubakaji wa Demokrasia unaoendelea kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mbowe ameandika;
"Taifa linaendelea kushuhudia kwa njia mbalimbali ubakaji mkubwa wa demokrasia kwenye uchaguzi huu wa Serikali za...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka.
Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika"
Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo...
Wakuu,
Naona tunarudi 2019 ki style, chupa imebadilishwa tu design lakini kamnyweso ni kalekale.
====
CHADEMA Wilaya ya Dodoma Mjini kimedai kubaini taarifa za wagombea wake kuenguliwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kupitia mbinu za kuwatafutia kasoro mbalimbali.
Miongoni mwa mbinu...
Chama cha ACT Wazalendo kimejiandaa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji kwa kuhakikisha tuna wagombea wa kutosha. Taarifa tunazozipokea zinaonesha kuna hujuma kubwa imepangwa dhidi ya wagombea wetu.
ACT Wazalendo tunapenda kumtahadharisha Waziri wa Tawala za Mikoa na...
Wakuu,
Tunazidi kulisogelea jambo letu 2025, tushiriki kwa umoja wetu katika uchaguzi wa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 kuhakikisha tunapata viongozi bora.
Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) Michael Kaniki Kaimu Afisa ushirikishwaji Jamii Mkoa wa Tanga amewataka wananchi wa Mkoa wa Tanga...
Wakuu,
Vyama vya kusindikiza na kukamilisha ratiba.
Katibu Mkuu wa Chama Cha National League of Democracy (NLD) Doyo Hassan Doyo amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuleta sera ya 4R ambayo imeleta matumaini kwa vyama vingine vya kisiasa.
Akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa...
Matukio ya wagombea kudaiwa kutoa rushwa, kukosekana kwa elimu ya uchaguzi na kutoaminiwa kwa baadhi ya wagombea na wananchi, kumechangia ushiriki hafifu wa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu uchaguzi wa mwaka 2019 wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Hayo yamebainishwa...
Katika kampeni nyingi za kisiasa nchini Tanzania, imekuwa kawaida kuona wanawake wakichukuliwa kama wapambe wa wagombea badala ya kuwa wagombeaji wenyewe. Wanawake wamekuwa wakipewa majukumu ya kushangilia, kupiga vigelegele, na kutoa kauli kama “umepitaaa baba,” bila kuangalia sera au kubaini...
Na -Nishan Khamis
Zanzibar: Mitandao ya kijamii imeleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano ya kisasa, ikitoa fursa za kipekee kwa viongozi, wakiwemo wanawake, kujitangaza, kujenga majukwaa ya kuwasiliana na jamii, na kushawishi sera za kisiasa. Hata hivyo, changamoto nyingi zinawakabili...
Wakuu,
Yaani kauli anaitoa kiongozi wa CHADEMA halafu wanaenda kuhojiwa CCM kusemea kauli hiyo, kutakuwa na kutoegamia upande hapo ukizingatia tupo kwenye kipindi cha uchaguzi?
Mnategemewa kuhabarisha umma juu ya yanayotokea na nyie mnaishia kuwa chawa na kupe wapuuzi wananchi watapata taarifa...
Wakuu,
Ni humu tuu...
===
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mussa Kilakala amepongeza na kuyataja mashindano ya Mpira wa Miguu katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo hilo Babutale kuwa yamekuwa chachu ya hamasa kwa wananchi wakati wa zoezi la kujiandikisha...
Wakuu,
Mambo yanazidi kuwa moto, kila mtu anajitafutia ka angle a kuonekana :BearLaugh: kazi kwenu wananchi!
Wananchi mkoani Mtwara, wamehimizwa kujitokeza kupiga kura katika kuchagua viongozi ili kutekeleza haki yao ya msingi kuchagua na kugombea kama ni kiongozi. Hayo ameyasema Meya wa...
Wakuu,
Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000.
Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi?
====
Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba.
Wakuu,
Mambo yanazidi kupamba moto majimboni, sasa hivi kulalamika kunapungua, wanaanza kutumia mbinu zao.
=====
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa mchango wa mbao kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Mto Mnenje linalounganisha Kijiji cha Mnenje na Kitongoji cha Mtandika Wilayani Tunduru...
Kwa Mujibu wa Maelezo yake Wakili huyu Msomi anayeitwa Deogratius Mahinyila, anasema kwamba, siku zote imekuwa Ndoto yake kusaidia wanakijiji wenzake.
Kwa kukumbusha tu ni Hivi, Huyu kijana aliwahi kubambikiwa kesi ya Uhujumu Uchumi na serikali ya Dikteta Magufuli kwa kosa la kugombea Udiwani...
Katika sifa za wagombea wa serikali za mitaa, wameongeza sifa moja mpya, eti asiwe mlevi kupindukia, nini kimewafanya CCM kuongeza sifa hii?
Huko vijijini, statehe ya watazania ni pombe, kuna viongozi walikuwa wakija kwenye vikao au mkutanoni wamelewa chakari mpaka mkutano unageuka kituko
Kama ulidhani Uchaguzi huu ni lelemama, na labda ulitarajia Wagombea wako watapita bila kupingwa kwa vile kuna kitisho cha kutekwa na kuuawa, basi anza kutafakari Upya
Hawa hapa ni Wananchi wa Kata ya Ndato wakiwasindikiza Wagombea wa Chadema kuchukua fomu.
Soma Pia: CHADEMA waanza kuchukua...
Salaam Wakuu,
Ni aibu kubwa baada ya miaka 60 ya uhuru kuona Watanzania bado Wanajisaidia Vichakani.
Hii inatokana na kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa Wasiowajibika.
Uchaguzi wa 2024 uwe Mkombozi ili kulinda Mazingira kwa kuhakikisha tunachagua Viongozi wanaojielewa bila kujali wanatoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.