LGE 2024 - Local Government Election 2024 ni tagline inayotumika JamiiForums kwa maudhui yote yanayohusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 (Local Government Election 2024).
Ni mwendo wa kuwa chawa tu mpaka uhakikishe kambo yako imefungwa vizuri kwenye mtu uanze kula!
====
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
“Kwa namna ya...
https://www.youtube.com/live/2CiAzcAM92M?si=ipoSlBpKzwhZhvkQ
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anatarajiwa kuongea na waandishi wa habari muda wote kuanzia sasa.
Fuatilia updates kadiri zitakavyojitokeza.
Wakati anazungumza na waandishi wa habari Tundu Lissu amedokeza kuwa kutokana na...
Wakuu,
Tunakuza chawa kuanzia vyuoni, namna hii wazee wataendelea kutuburuza kama wachache wenye akili wataendelea kulalamika badala badala ya kuchukua hatua na kubadilisha haya.
=====
Kwa mambo aliyofanya kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu, Ikiwemo kuongeza Fedha ya Boom kutoka...
Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dodoma, Aisha Madoga, ameahidi kupambana kuhakikisha wagombea wa chama hicho walioenguliwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa wanarejeshwa, akisisitiza kwamba watafanya hivyo bila woga hata kama hawatapendelewa na mamlaka...
Wakuu,
Baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani, Amos Makalla amejitokeza hivi karibuni na kusema kuwa vyama vya upinzani vinafanya upotoshaji
Makalla amesema kuwa taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu wagombea wa upinzani kuenguliwa zimejaa upotoshaji kwani hata...
Wakuu,
Mambo ni moto kila sehemu, ni mwendo wa kuengua tu na kubakisha wa kupita bila kutoa jasho.
=====
Viongozi na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Geita Mjini mkoani Geita, wamelalamikia kuenguliwa kwa majina ya wagombea wao wa nafasi za Uenyekiti...
Wakuu,
Ni mwendo wa maigizo tu mpaka kieleweke.
=====
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewaomba wanachama katika maeneo ambayo wagombea wa CCM wamewekewa mapingamizi, kuwa watulivu kwani Chama kinaamini haki itatendeka kwa...
Mwanadishi wa Habari unakuwa chawa, wananchi wanatapa watahabarishwa na kupaziwa sauti inapohitajika?
====
Ikiwa zimesalia siku chache kufanyika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hamasa kwa Vjana imezidi kushamiri kushiriki uchaguzi huo huku wakiaswa kuwa mstari wa mbele tarehe 27/11/2024...
Wakuu,
Tambo zinazidi kurushwa, ni kweli watashinda, au mbeleko itasaidia washinde? Lucas Mwashambwa Tlaatlaah johnthebaptist
=====
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari...
Wakuu!
Hekaheka zinazidi kuendelea katika kipindi hichi cha uchaguzi. Naona watu wasiojulikana wamehamia CCM mbona kazi ipo
===================
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Itumba wilayani Ileje, Mkoa wa Songwe, Huruma Ally amevamiwa na watu wasiojulikana na kumvunja miguu yote...
Hali ni mbaya sana kuelekea kwenye uchaguzi wao serikali za mitaa. Ukiachilia mbali kule kuchezea daftari la wapiga kura kwa:
Kuongeza majina bbandia
Kuongeza majina ya waliopotea
Kuongeza majina ya wanafunzi
Kuongeza majina ya marehemu na katika ujumla wake kughushi taarifa za hayo makundi...
Je, kuenguliwa wagombea wa CHADEMA nani alaumiwe?
Je, tumlaumu Mbowe kwa maridhiano?
Je, tumlaumu Lissu kwa kupinga Maridhiano?
Je, tumlaumu Rais Samia kwa kutekeleza 4R zake?
Comments ziwe fupi fupi sana.
CHADEMA ni Kama Sikio la Kufa
Msemo maarufu wa wahenga usemao Mfamaji haachi kutapatapa, unaakisi hali halisi ya Chama Cha Maendeleo na Demokrasia kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na hata uchaguzi mkuu wa 2025.
Ninashangaa kauli za viongozi wa CHADEMA kulalamikia kuenguliwa kwa wagombea...
Wakuu, safari hii mambo ni moto kwelikweli! Ripota wenu, Cute Wife, kama kawaida nawasogezea taarifa ili siku ya kupiga kura mfanye maamuzi sahihi.
Mkurugenzi na Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Kilosa, Michael John Gwimile, amesema kuwa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA...
Wakuu,
Hilda Newton wa CHADEMA aandika haya kupitia ukurasa wake wa X
"Askari Polisi wenye silaha za moto, wakitumia gari la Mkit wa Halmashauri, wamefika Kata ya Machame Narumu, saa 11:20 jioni na kubandika orodha ya wagombea nje ya muda wa kisheria.
"Wagombea wote wa CHADEMA wameenguliwa...
Amos Makalla, ametoa msisitizo kwa TAMISEMI kutenda haki kwa vyama vyote vilivyosimamisha wagombea katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.
Amesema katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu, wapo wagombea wa CCM ambao wamewekewa pingamizi, hivyo madai ya...
Wakuu,
Mambo ni motoo, safari hii hakuna kujiengua safi. Sasa na nyie CHADEMA mbadilike, watu wanatumia mbinu zilezile na mnadakwa vile vile, inabidi mnyumbulike na kuja na mbinu mpya za kujibu mapigo.
====
John Mrema kwenye kikao chake na waandishi wa habari juu ya sakata la wagombea...
Wakuu,
Ameandika haya Mwanaisha Mndeme wa ACT Wazalendo kupitia ukurasa wake wa X;
"Wagombea wa ACT Wazalendo Kata ya Katoro Bukoba takribani 150 wameenguliwa kwa sababu ya udhamini wa chama cha siasa.
Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special...
Wakuu,
Ameandika haya Mwanaisha Mndeme wa ACT
Mtaa wa Mwinyimkuu, Kata ya Mzimuni, Jimbo la Kinondoni wagombea wa vyama vya upinzani wote wameenguliwa. CCM hawako tayari kwa uchaguzi wa huru na haki.
Wakuu,
Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma na Naibu Waziri kivuli wa Fedha, Mipango na Hifadhi ya Jamii ACT Shangwe Ayo kupitia ukurasa wake wa X ameweka taarifa hii, inaonekana hali sihali huko;
"Arumeru Mashariki Kata ya Poli Mtendaji wa Kijiji cha Poli kaogopa kubandika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.