lge 2024

LGE 2024
LGE 2024 - Local Government Election 2024 ni tagline inayotumika JamiiForums kwa maudhui yote yanayohusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 (Local Government Election 2024).
  1. Cute Wife

    LGE2024 Shigongo: CCM ndiyo chama cha kuleta maendeleo Tanzania, Vijana wa CCM ni waelewa na wana akili

    Wakuu, Vijana hawa waelewa na wenye akili ndio akina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah na ChoiceVariable? :BearLaugh: :BearLaugh: ==== Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki...
  2. Inside10

    LGE2024 Wazee Wa Kigoma Wafanya DUA Maalumu Uchaguzi Serikali Za Mitaa kwa kuchinja ngamia

    Wazee wa ACT Wazalendo Kigoma Waufuatilia Uchaguzi Kwa Namna Yao, ‘Dua’. Ikiwa zimebaki siku nane kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mnamo Novemba 27,2024, wazee wa ACT Wazalendo mkoani Kigoma wamefanya 'dua maalum' kwa ajili ya yeyote atakayehusika na kujaribu kuharibu...
  3. Cute Wife

    LGE2024 Polisi wasema kuna mambo hawakumalizana na Mdude jana kumhoji na kumchunguza, ndio maana wanaendelea kumshikilia

    Wakuu, Ila polisi, mnazidi tu kufanya CHADEMA wapate vichwa na kuwa maarufu. Sijui kwanini hamjifunzi, kila siku mnatumia mbinu zile zile! ===== Pia soma: - LGE2024 - Songwe: Viongozi wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, wameachiwa bila masharti Usiku Wakati Mbowe na wenzake...
  4. Cute Wife

    LGE2024 Kigoma: Mgombea ACT aahidi sherehe ya ushindi baada ya uchaguzi

    Wakuu, Kuna tafrija huko tumeandaliwa mapochopocho tukajirushe. ==== Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa kijiji cha Nyamsanze, kata ya Buhoro, wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma kupitia chama cha ACT Wazalendo, Zedekia Mathias, ameahidi kuandaa tafrija nyumbani kwake kusherehekea ushindi...
  5. Cute Wife

    Pre GE2025 Zitto: Kama Dkt. Mpango aliitwa Mrundi nani wa Kigoma atapona?

    Wakuu, Mpaka tar 27 mambo yatakuwa motooo! ==== Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameibua kumbukumbu za harakati zake za kutetea maslahi ya mkoa wa Kigoma na viongozi wake, akiwemo Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, wakati wa mkutano wa kampeni...
  6. Cute Wife

    LGE2024 Mwenyekiti CHADEMA Katavi: Mkishapiga kura nendeni kwa Mtendaji mwambieni ukipindua matokeo sisi tunapinduka na wewe!

    Wakuu, Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, ametoa wito kwa wakazi wa mtaa wa Kachoma, kata ya Makanyagio, jimbo la Mpanda Mjini, kuwanyima kura wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Akizungumza katika...
  7. Cute Wife

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar yafanya bonanza kuhamasisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam imeandaa bonanza maalum lijulikanalo kama Dar es Salaam Standup Bonanza kwa lengo la kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024. Bonanza hilo limeandaliwa kwa...
  8. mwanamwana

    LGE2024 Abdul Nondo: Chini ya ACT Wazalendo hakuna raia atachukuliwa na Uhamiaji bila mwenyekiti kupata taarifa, akumbushia kutekwa kwake

    "Tunajua mna tatizo kubwa la uhamiaji. Hata mimi walishawahi kunisumbua, wakaniambia mimi si raia wa nchi hii na kunitaka nipeleke vyeti vya babu yangu aliyemzaa babu yangu. Lengo lao lilikuwa kunisumbua tu, lakini chama changu cha ACT kilisimama nami mpaka mwisho. Hivyo kupitia ACT, hakuna raia...
  9. Cute Wife

    LGE2024 Joseph Haule (Prof. Jay) awaomba wananchi Kisanga kuichagua CHADEMA ili kuweka msingi mzuri kwaajili ya uchaguzi wa Rais 2025

    Wakuu, Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro Joseph Haule imhh...
  10. Cute Wife

    LGE2024 CHAUMA: Chagua viongozi wa CHAUMA na Sera ya Ubwabwa, huwezi kufanya maendeleo bila kushiba!

    Wakuu, Kuna vitu bila kujitoa akili huwezi kufanya :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: yaani kijana barobaro na akili zako unapita na kuhamasisha watu kuchagua ubwabwa! Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya...
  11. Cute Wife

    Pre GE2025 Lissu: Kama wanakamata viongozi wa upinzani wakati wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa uchaguzi Mkuu 2025 itakuwaje?

    Wakuu, Lissu asema kitendo cha kiongozi wa upinzani kukamatwa kwa nchi inayojiita ya kidemokrasia ni aibu, akaongeza kama wanafanya hivi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kwenye uchaguzi mkuu 2025 itakuwaje? Lissu ameongeza kuwa kukamatwa kwa Mbowe iwe fundisho wasije kurudia tena...
  12. Cute Wife

    LGE2024 Mwigulu afanya kampeni nyumba kwa nyumba, amekula kwa mama ntilie kama Kigwangala. Movie ziendelee!

    Wakuu, Kabla ya kampeni ukitaka kumsogelea Mwigulu au kiongozi mwingine mwananchi atapigwa roba chaaaaaa, labda kama kiongozi atasema mwacheni asogeee tumsikilize, mpeni mike! Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya...
  13. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Gambo aonya wenyeviti wa Serikali za mitaa kutumia mihuri ya serikali kujinufaisha

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, ameongoza wanachama na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa katika jimbo lake, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji na utumishi wa kweli kwa wananchi. Akizungumza wakati wa kampeni hizo...
  14. Cute Wife

    LGE2024 Mbowe ashikiliwa kwa kukiuka taratibu za kampeni

    Wakuu, Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa tuhuma za...
  15. Cute Wife

    LGE2024 LHRC yawajengea uwezo waangalizi wake kuelekea uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 LHRC yawajengea uwezo waangalizi wake ili wajue sheria, kanuni na taratibu zinazotakiwa kufuatwa wakati wa uchaguzi, ambapo baada ya uchaguzi LHRC watatoa ripoti kutokana na kitakachokuwa kimepatikana kutoka...
  16. Cute Wife

    Pre GE2025 Mbunge Abbas akabidhi pikipiki kwa vijana Golan itumike kama kitega uchumi

    Wakuu, Ila Abbas ana vituko:BearLaugh::BearLaugh:TAKUKURU hamuoni hizi rushwa nje nje? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 === Mbunge wa...
  17. Cute Wife

    LGE2024 Mgombea CHADEMA Makete: Badilisheni ladha tumbo litauma ukila maharage kila siku. Chagueni CHADEMA muishi kwa starehe

    Wakuu, Mambo yanazidi kunoga, kila kona ni mwendo wa kutamba na kuponda. Mnaenda kusikiliza sera za wagombea kwenye mitaa yenu? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
  18. Cute Wife

    LGE2024 Nape: Kimebaki chama kimoja tu vingine vyote ni kopi. Niliwaambia wapinzani Refa akishaweka mpira kati ni Goli!

    Wakuu, Nape asema, vyama vikikaribia kufa wanaanza kugombana, kama ilivyokuwa kwa Mrema na CHADEMA wanaelekea huko huko. Hivyo watu wasipoteze muda kwenye chama kingine, kwani chama original ni kimoja tu; CCM, vingine vyote ni kopi. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa...
  19. Cute Wife

    LGE2024 Ezekiel Wenje: Mkipiga kura msikubali kuuziwa uoga, kapige kambi kwenye kituo. Kanuni haijasema twende mita ngapi

    Wakuu, Mambo moto, ni mwendo wa kujitutumua kwa kwende mbere! ==== Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Baada ya kupoteana kwenye...
  20. Cute Wife

    Pre GE2025 Leonce Marko Kada wa CHADEMA atimkia CCM

    Wakuu, Naona besti wa Msigwa kaamua amfuate CCM. Je, fukuto la CHADEMA litatoa kiongozi mwingine kwenda CCM? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Back
Top Bottom