libya

Libya ( (listen); Arabic: ليبيا‎, romanized: Lībiyā), officially the State of Libya, is a country in the Maghreb region in North Africa, bordered by the Mediterranean Sea to the north, Egypt to the east, Sudan to the southeast, Chad to the south, Niger to the southwest, Algeria to the west, and Tunisia to the northwest. The sovereign state is made of three historical regions: Tripolitania, Fezzan and Cyrenaica. With an area of almost 1.8 million square kilometres (700,000 sq mi), Libya is the fourth largest country in Africa, and is the 16th largest country in the world. Libya has the 10th-largest proven oil reserves of any country in the world. The largest city and capital, Tripoli, is located in western Libya and contains over one million of Libya's six million people. The second-largest city is Benghazi, which is located in eastern Libya. The Latin name Libya is based on the name the region west of the Nile (Λιβύη) used by the Ancient Greeks and Romans for all of North Africa, and was first adopted during the Italian colonization since 1911.
Libya has been inhabited by Berbers since the late Bronze Age. The Phoenicians established trading posts in western Libya, and ancient Greek colonists established city-states in eastern Libya. Libya was variously ruled by Carthaginians, Persians, Egyptians and Greeks before becoming a part of the Roman Empire. Libya was an early centre of Christianity. After the fall of the Western Roman Empire, the area of Libya was mostly occupied by the Vandals until the 7th century, when invasions brought Islam to the region. In the 16th century, the Spanish Empire and the Knights of St John occupied Tripoli, until Ottoman rule began in 1551. Libya was involved in the Barbary Wars of the 18th and 19th centuries. Ottoman rule continued until the Italian occupation of Libya resulted in the establishment of two colonies, Italian Tripolitania and Italian Cyrenaica (1911–1934), until they were unified in the Italian Libya colony from 1934 to 1947. During the Second World War, Libya was an important area of warfare in the North African Campaign. The Italian population then went into decline.
Libya became independent as a kingdom in 1951. A military coup in 1969 overthrew King Idris I. The "bloodless" coup leader Muammar Gaddafi ruled the country from 1969 and the Libyan Cultural Revolution in 1973 until he was overthrown and killed in the 2011 Libyan Civil War. Two authorities initially claimed to govern Libya: the Council of Deputies in Tobruk and the 2014 General National Congress (GNC) in Tripoli, which considered itself the continuation of the General National Congress, elected in 2012. After UN-led peace talks between the Tobruk and Tripoli governments, a unified interim UN-backed Government of National Accord was established in 2015, and the GNC disbanded to support it. Parts of Libya remain outside either government's control, with various Islamist, rebel and tribal militias administering some areas. As of July 2017, talks are still ongoing between the GNA and the Tobruk-based authorities to end the strife and unify the divided establishments of the state, including the Libyan National Army and the Central Bank of Libya.Libya is a member of the United Nations (since 1955), the Non-Aligned Movement, the Arab League, the OIC and OPEC. The country's official religion is Islam, with 96.6% of the Libyan population being Sunni Muslims.

View More On Wikipedia.org
  1. Libya na Iraq kuna amani ya ajabu. Sasa ni maendeleo tu

    Utawala wa Saddam na Gaddafi ulichelewesha Sana Maendeleo ya haya mataifa. Kuondolewa Madarakani kwa Saddam Hussein na Gaddafi Kulionekana kwamba kungeleta Machafuko. Cha ajabu mataifa haya Yametulia na sasa ni mwendo wa Maendeleo Iraq na Libya zimeanza kupaa Kiuchumi. Miundombinu inajengeka...
  2. Mafuta ya Zanzibar yataifanya Tanzania kuwa tajiri kama Libya?

    Kuna matumaini kuwa huenda mafuta yakagundulika Zanzibar. Ni habari njema! Hilo likitukia, Tanzania itakuwa tajiri kama Libya ilivyokuwa kabla ya kuangushwa kwa utawala wa Gaddafi? Sina uhakika kama Gaddafi alikuwa na Maalmasi, Matanzanite, Madhahabu, na Mamikaa ya mawe kama Tanzania, lakini...
  3. Kufuzu AFCON 2025: Libya yasema itachukua hatua za kisheria dhidi ya Timu ya Taifa ya Nigeria

    Shirikisho la Soka la Lipya (LFF) limekosoa kitendo cha Nigeria kugomea kucheza mchezo dhidi ya Taifa hilo katika Kuwania Kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 uliopangwa kuchezwa Jijini Benghazi, jana Oktoba 15, 2024. Taarifa ya LFF imesema wanalaani kitendo cha Shirikisho0 la Soka la Nigeria...
  4. Nigeria kususia mechi ya kufuzu Afcon 2025 nchini Libya

    Timu ya Taifa ya Nigeria “Super Eagles” imesema haitacheza mchezo wake dhidi ya Libya kuwania, leo Jumanne Oktoba 15, 2024 baada ya msafara wa Wachezaji wao kutelekezwa Uwanja wa Ndege usiku mzima Timu hiyo ilitarajiwa kutua Jijini Benghazi jana Oktoba 14, 2024 lakini ndege ikabadili ratiba na...
  5. Kilichowakuta Team ya Nigeria Libya hawana hamu. Simba mjiandae. Ndo mtawaelewa Waarabu

    Ila waarabu. Nimewavulia kofia. Nigeria wameona cha mtema kuni humo Libya baada ya kukarishwa airport kwa masaa 16 bila huduma yoyote. Wakiwa wamefungiwa. Hakuna hata WIFI. Hii ni zile harakati za kila mara za Waarabu. Siku zote ukienda cheza na Waarabu ujue huwa ni wakatili sana katika games...
  6. Timu ya Taifa ya Nigeria imepewa funzo kutoka Libya

    Picha linaanza waliwatelekeza wachezaji wa timu ya taifa ya Libya kwa masaa 8 airport mechi ya Nigeria vs Libya (first leg ) Second leg game ilitakiwa ipigwe Libya Nigeria ikasafiri kufika Libya wakatelekezwa airport masaa 12 bila msosi Ule msemo wa you punch me once i punch u triple...
  7. Wachezaji Nigeria watishia kususia mechi baada ya Saa 12 za Kuteseka Uwanja wa Ndege Libya

    Libya kama kawaida yao, wamewalaza wachezaji wa timu ya taifa, Nigeria Uwanja wa Ndege kwa zaidi ya saa 12 bila chakula wala vinywaji, wakaona haitoshi wamewapa Hiace (basi dogo) kuchukua timu nzima kuwapeleka Hotelini. Wachezaji wa Super Eagles wamejawa hasira kutokana na hali hii, wakitishia...
  8. L

    Mambo 10 niliyoyaona Simba ikiikaanga Al Ahly Tripoli ya Libya

    1. Mchezo ulikuwa mzuri lkn ulitaka kuwa mgumu baada ya Mabululu kututanguliza na waarabu kuweka viungo wengi kati kuliko sisi ambao tulimtegemea sana Kagoma na Fernandez 2. Che Malone ameanza kutupanda kichwani, yeye na Hamza uchezaji wao uko slow sana na kama tungecheza na timu kubwa kama...
  9. Hawa 'Mabodigadi' na 'Mabaunsa' waliowapokea Klabu hii ya Libya ni Wanaume Wenzetu kweli ni 'Wapiga Miluzi' Tukuka?

    Halafu ninasikia 99.9% ni Mashabiki wa Walioko wa Wataalam wa Kuwapigia Miluzi Wenzao Pwani ya Afrika Mashariki!!!
  10. Unahitaji D mbili kujua kwa nini tunafurahi kucheza ugenini Libya kwenye full house?

    Kucheza ugenini uwanja ukiwa full house kama ilivyokuwa juzi kule Tripoli, Libya, kwanza ni exposure kubwa kwa wachezaji wa Simba ambao hawana experience ya kutosha kwenye mechi za kimataifa, hasa kucheza kwenye mazingira yasiyo rafiki kama yale. Kina Ahoua, Balua, Kagoma na wengine walikuwa...
  11. HUYU NDIO MAN OF THE MATCH LIBYA

    Kama ulisikia mwingine huyo wa mchongo kwangu mie huyu mwamba ndio man of the match Ikowezekana apewe tktk na ukaribisho wa kupanda mlima kilimanjaro bure akimaliza apelekwe ngorongoro crater
  12. R

    Simba wanaenda kukutana timu Bora ahliy tirpol ya Libya,

    Heshima kwenu Wana jf,turudi kwenye topic,Kwanza niwe muwazi Mimi ni mshabiki wa Simba sport club,kikwel this time tunaenda kukutana na timu nzuri ahliy tripol ya Libya,ukiangalia rank za caf tumewaacha mbali,lakini tukirudi kwenye msimu huu ahliy tripol wamefanya usajili mzuri,wamemsajili...
  13. Kocha wa Uhamiaji afichua yaliyojiicha kwenda kucheza mechi zote Libya

    Kocha Mkuu wa Uhamiaji Ali Bakari amefunguka yote timu yake kwenda kucheza michezo yote miwili dhidi ya Al Ahli Tripoli huku nchini Libya kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Katika mchezo wao wa mkondo wa kwanza Uhamiaji walikubali kichapo cha magoli mawili kwa sifuri kutoka kwa...
  14. Libya: Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Benki Kuu atekwa, Benki yasitisha Huduma zote

    Benki Kuu ya Libya imetangaza kusitisha shughuli zake hadi pale Afisa wake muhimu, Musab Msallem aliyetekwa nyara, atakaporejeshwa Taarifa ya Benki hiyo imesema Msallem alichukuliwa kutoka nyumbani kwake na "kikundi kisichotambulika" na pia wafanyakazi wengine wa Benki hiyo wametishiwa kutekwa...
  15. Haya ndiyo maneno mazito ya hotuba ya mwisho ya Gaddafi

    HOTUBA YA MWISHO ALIYOIANDIKA QADAFFI QADAFFI ANAANZA HIVI: "Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mungu mpaji, na mwenye rehema... Kwa miaka takribani 40 ama ilikuwa zaidi sikumbuki. Nachokumbuka ni kuwa nilifanya kila nilichoweza kuwapa watu wangu nyumba, hospitali na shule. Na kila walipohisi njaa...
  16. Libya 1 Football Club

    Wakuu shalom. Nawasikiliza wachambuzi wa tv zetu hizi za mtandaoni wanaijadili timu inaitwa Libya 1 kuwa timu mpya na ngeni hivyo Simba ana nafasi ya kusonga mbele. Hivi Kuna hili timu Libya? Nimegoogle sijaipata nisaidieni wakuu.
  17. Waziri Jerry Silaa, kwanini hushughuliki na maafisa ardhi? Jifunze kutoka Libya ya Gaddafi pia

    Katika muendelezo wa kile waziri wa ardhi Jerry Silaa anachokiita kliniki ya ardhi na kutatatua changamoto za ardhi ameendelea kupuuza kabisa documents/nyaraka halali za serikali na mahakama za wale wanaodaiwa kuwa ni wavamazi au wanunuzi matapeli waliojimilikisha ardhi za watu wengine. Yani mtu...
  18. Baleke anazidi kukiwasha al ittihad Libya

  19. Mtabiri nchini Libya aitabiria Simba kuingia nusu fainali

    Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo, Timu alizozitabilia kuingia nusu fainali nazo ni Simba Mamelody Esperance Tp mazembe Je, atafanikiwa.
  20. Je, haya yalikuwa ya kweli kuhusu Rais Gaddafi na Libya?

    Uchumi wa Libya ni GDP 40 billion usd. Population ya Libya ni 7 million. Kipindi cha utawala wa Gaddafi tuliambiwa wananchi wa Libya walibudumia Mambo mention bure na serikali ya Gaddafi. Miongoni mwa huduma za bure ni a) Nyumba bure b) Maji bure c) Umeme bure d) Shule bure hadi chuo Kikuyu e)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…