libya

  1. Tz boy 4tino

    Hatimaye Libya yawa shamba la Bibi, officially

    -Libya ile nchi iliyokuwa mfano kwa nchi za Afrika. -Libya iliwahi kuwa nchi tajiri zaidi barani Afrika. -Libya nchi iliyokuwa ikitegemewa katika bajeti ya AU. -Libya ndo nchi pekee iliyowahi kuwekeza ndani ya bara la Afrika zaidi ya dola billioni 200 katika kipindi kifupi. -Libya ndio nchi...
  2. Sky Eclat

    Wanawake wana mapinduzi walioapa kumlinda Gadafi

    WATAWA WA MAPINDUZI - The Revolutionary Nuns Mabinti VIPANGA na WAZURI wa sura waliokua wakichaguliwa na GADAFFI mwenyewe. Licha ya UREMBO na AKILI nyingi, Mabinti hawa walikuwa wamepikwa KUUA. Kwa miongo 2 walijitoa KAFARA kumlinda MTAWALA mkongwe wa LIBYA. Mwaka 1979, Kanal Muammar Gadaffi...
  3. Analogia Malenga

    Marekani yaituhumu Urusi kupeleka ndege za kivita nchi Libya

    Marekani imesema Urusi imepeleka ndege za kivita Libya kuwasaidia mamluki wake wanaopigana upande wa kamanda Khalifa Haftar mashariki mwa Libya. Wakati huo huo, Urusi imesema inaunga mkono usitishwaji wa mapigano Libya Katika tangazo lake lililochapishwa jana, kitengo cha jeshi la Marekani...
  4. beth

    Libya: Waziri Mkuu aonya kutokea kwa mgogoro baada ya miundombinu ya mafuta kufungwa

    Waziri mkuu wa Libya Fayez al-Serraj anayeongoza serikali inayoungwa mkono na jumuiya ya kimataifa amesema kufungwa kwa miundombinu ya mafuta nchini humo kutasababisha mgogoro mkubwa wa kifedha. Akizungumza na waandishi habari mjini Tripoli, Al-Serraj amesema hasara iliyokwishapatikana kutokana...
  5. FRANC THE GREAT

    Putin invites Merkel to Russia over Iran crisis

    The German Chancellor will travel to Russia to meet President Vladimir Putin this coming Saturday. The pair plan to discuss the Iran escalation as well as the conflicts in Ukraine, Libya and Syria. Russian President Vladimir Putin on Monday invited German Chancellor Angela Merkel to Russia...
Back
Top Bottom