Gumzo kubwa linaloendelea ulimwenguni baada ya mafuriko ya maji Libya baada ya mabwawa mawili kupasuka, kwa sababu ya uchakavu na kutofanyiwa maintenance na uborejashi. Je, hili linaweza kutokea kwetu Tanzania, tukijua kuwa tuna mabwawa ya muda mrefu sana kama Kidatu na Hale?
Ni wakati fika...
Mafuriko makubwa yamesababisha vifo vya maelfu ya watu katika mji wa Derna, mashariki mwa Libya, na kusomba baharini vitongoji na wakazi wengi huku maelfu ya watu wakiwa hawajulikani walipo.
Chanzo cha mafuriko
Baada ya kuzipiga nchi nyingine za Mediterania, Dhoruba kali inayofahamika kwa jina...
Nimeona hii video sehemu
https://youtu.be/w8_VVgoy5B8?si=nLe2iq-MmbJ7hU30
---
The mayor of the eastern Libya port city of Derna estimates between 18,000 and 20,000 people have died in the catastrophic flooding.
Abdulmenam Al-Ghaithi told al-Arabiya TV his estimate was based on the number of...
Wakati Watanzania wakipambana na Bei kubwa za Mafuta yenye Wastani wa Bei kati ya 3,000 hadi 3,500 kwa Lita moja, Nchi ya Libya licha ya kuwa na changamoto za Kiusalama bado ndio Nchi yenye bei ndogo ya Mafuta Afrika na ya 3 Duniani.
Kwa upande wa Afrika Mashariki, Nchi ya Jamhuri ya...
Akihutubia bunge la Pan Africa miaka kadhaa iliyopita Museveni ameeleza kuwa, umoja wa nchi za Africa uliunda kamati ya usuluhishi ya marais kadhaa wa Africa kwenda kutafuta Suluhu huko Libya lakini NATO ikawaambie wageuze hakuna kuingia Libya. Hii video ilikuwa ni kama imefichwa hivi kwa miaka...
Timu ya Tanzania ya Beach Soccer imepata Medali ya Bronze baada ya kufanikiwa kuwachapa Libya Magoli 9-3.
Morocco imetwaa Ubingwa baada ya kutoka Sare ya 3-3 dhidi ya Senegal, mchezo ulioishia kwenye Matuta ambapo Morocco imeibuka na ushindi wa Magoli 4-3.
Mgawanyo wa Zawadi umekuwa kama...
Habari za kuaminika zinadai kuwa Kiongozi Mkuu wa Libya Muammar Gaddafi amekalia kuti kavu, habari zinasema kuwa hali iliyofikia hairudi tena nyuma, nae atakurupushwa na kung'olewa kama shina la muhogo, kuna brigedi za kijeshi ambazo tayari zimeungana na wananchi, wazalendo wanasema wamefikia...
Boti hiyo iliyokuwa imebeba wahamiaji wakielekea Barani Ulaya imezama katika Pwani ya Libya ilikuwa na abiria 60.
Watu watano wamesalimika akiwemo mtoto raia wa Syria, huku Wanausalama wakiwa na kazi ya kuopoa miwili kutoka kwenye bahari.
Libya imekuwa ikitumika kama njia kuvuka kwenda Ulaya...
Vikosi vya Kijeshi mashariki mwa Libya vinasema kuwa wamepata takriban tani 2.5 za madini ya Uranium, karibu mwa mpaka wa Nchi hiyo na Chad, ambayo yaliripotiwa kupotea na Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki
-
Mnamo Machi 16, 2023, Shirika hilo lilitoa tangazo la tahadhari baada ya...
Inadaiwa watu hao wanaweza kuwa wamefariki baada ya kupata ajali katika Pwani ya Libya, Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) limeeleza ni watu saba pekee ndio waliofanikiwa kujiokoa katika tukio hilo lakini hali zao za kiafya ni mbaya.
Vikosi vya Msalaba Mwekundu na Polisi vimefanikiwa...
Kitendo cha wachezaji wa timu ya Taifa ya Iran kugomea kuimba wimbo wao wa Taifa eti wakiunga mkono maandamano yanayoendelea nchini Iran kupinga serikali ya Iran na sera yake ya stara kwa wanawake. Hiki ni kitendo cha usaliti na ukosaji wa uzalendo wa hali ya juu mno! Wananchi wa Iran wanaelekea...
27 September 2022
Benghazi, Libya
Live Broadcast match Libya vs Tanzania
FINAL SCORE LIBYA 2 - 1 TANZANIA
Head Coach Honour Janza na kocha msaidizi Mecky Mexime
Aishi Manula
Abdallah Mfuko
Dickson Job
David Gilbert Ulomi
Shomari Kibwana
Himid Mao
Reliants Lusajo
Muzamiri Yassin
Sospeter...
Ifike mahala sasa lazima tuelewe jinsi nchi za magharibi zilivyo wanafiki na wauaji wakubwa katika dunia hii. Wengi walishuhudia jinsi nchi za magharibi na miungano yao ikishiriki kuhatarisha amani ya dunia. Lakini wengi wa watu duniani wako gizani kuhusiana na hilo.
Wakati maharamia yakivamia...
Wito umetolewa kusitishwa mara moja kwa mapigano makali yanayohusisha makundi mawili ya Kisiasa yanayowania kuchukua Utawala wa Serikali katika mji mkuu wa Tripoli.
Taarifa ya Umoja wa Mataifa iliyoungwa mkono na Balozi wa Marekani nchini Libya, Richard Norland imesema kuwa mapigano hayo...
Wizara ya Afya imesema mapigano kati ya Wanamgambo wanaoungwa mkono na Serikali zinazopingana, yamesababisha vifo vya takriban watu 23 na wengine zaidi ya 80 kujeruhiwa
Makundi hasimu yalipambana ndani ya mji mkuu wa Libya, #Tripoli, katika mapigano ya udhibiti wa serikali yaliyotajwa kuwa...
Kuongezeka kwa bei ya bidhaa na kuendelea kwa migogoro ya kisiasa imetajwa kuwa sababu ya wakazi wa Libya hasa vijana kudai kuwa wanaendelea na maandamano katika Mji Mkuu wa Tripoli hata baada ya kuandamana usiku kucha.
Maandamano ya hivi karibuni yameshuhudia matairi yakichomwa moto na...
Waandamanaji wamevamia Bunge la Nchi hiyo ikidaiwa wamechoma moto sehemu ya jengo hilo. Maandamano yamekuwa yakifanyika katika Miji mbalimbali ya Libya kupinga ukatikaji umeme, ongezeko la bei na mkwamo wa kisiasa
Libya imekuwa katika machafuko tangu mwaka 2011 baada ya Muammar Gaddafi...
Miili ya watu 20 imepatikana katika Jangwa Nchini Libya, ambapo waliookota miili hiyo wanaamini marehemu walipoteza maisha kwa kiu.
Dereva wa lori ambaye alikuwa akipita jangwani hapo ndiye aliyeanza kuiona miili hiyo ikiwa kilometa 320 kutoka Mji wa Kufra na Kilometa 120 kutoka mpaka wa Chad...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.