libya

Libya ( (listen); Arabic: ليبيا‎, romanized: Lībiyā), officially the State of Libya, is a country in the Maghreb region in North Africa, bordered by the Mediterranean Sea to the north, Egypt to the east, Sudan to the southeast, Chad to the south, Niger to the southwest, Algeria to the west, and Tunisia to the northwest. The sovereign state is made of three historical regions: Tripolitania, Fezzan and Cyrenaica. With an area of almost 1.8 million square kilometres (700,000 sq mi), Libya is the fourth largest country in Africa, and is the 16th largest country in the world. Libya has the 10th-largest proven oil reserves of any country in the world. The largest city and capital, Tripoli, is located in western Libya and contains over one million of Libya's six million people. The second-largest city is Benghazi, which is located in eastern Libya. The Latin name Libya is based on the name the region west of the Nile (Λιβύη) used by the Ancient Greeks and Romans for all of North Africa, and was first adopted during the Italian colonization since 1911.
Libya has been inhabited by Berbers since the late Bronze Age. The Phoenicians established trading posts in western Libya, and ancient Greek colonists established city-states in eastern Libya. Libya was variously ruled by Carthaginians, Persians, Egyptians and Greeks before becoming a part of the Roman Empire. Libya was an early centre of Christianity. After the fall of the Western Roman Empire, the area of Libya was mostly occupied by the Vandals until the 7th century, when invasions brought Islam to the region. In the 16th century, the Spanish Empire and the Knights of St John occupied Tripoli, until Ottoman rule began in 1551. Libya was involved in the Barbary Wars of the 18th and 19th centuries. Ottoman rule continued until the Italian occupation of Libya resulted in the establishment of two colonies, Italian Tripolitania and Italian Cyrenaica (1911–1934), until they were unified in the Italian Libya colony from 1934 to 1947. During the Second World War, Libya was an important area of warfare in the North African Campaign. The Italian population then went into decline.
Libya became independent as a kingdom in 1951. A military coup in 1969 overthrew King Idris I. The "bloodless" coup leader Muammar Gaddafi ruled the country from 1969 and the Libyan Cultural Revolution in 1973 until he was overthrown and killed in the 2011 Libyan Civil War. Two authorities initially claimed to govern Libya: the Council of Deputies in Tobruk and the 2014 General National Congress (GNC) in Tripoli, which considered itself the continuation of the General National Congress, elected in 2012. After UN-led peace talks between the Tobruk and Tripoli governments, a unified interim UN-backed Government of National Accord was established in 2015, and the GNC disbanded to support it. Parts of Libya remain outside either government's control, with various Islamist, rebel and tribal militias administering some areas. As of July 2017, talks are still ongoing between the GNA and the Tobruk-based authorities to end the strife and unify the divided establishments of the state, including the Libyan National Army and the Central Bank of Libya.Libya is a member of the United Nations (since 1955), the Non-Aligned Movement, the Arab League, the OIC and OPEC. The country's official religion is Islam, with 96.6% of the Libyan population being Sunni Muslims.

View More On Wikipedia.org
  1. Bernard Membe kwa kuwa umerudi CCM na kujinasibu wewe una mikono safi basi rejesha bil 46 ulizokwapua kupitia ubalozi wa Libya

    Ripoti za ndani kabisa zinaonyesha kuwa hakuna kampuni yoyote ile iliyopokea mkopo wa bil 46 ili iweze kujenga kiwanda cha saruji huko Lindi. Ripoti za ndani zinaonyesha wewe ukiwa waziri wa nje ulifanya janjajanja na hizo pesa zikakwapuliwa na hata huyu muwekezaji Meis industries hakupata...
  2. N

    Naomba robo fainali tupangwe na Al- Ahly Tripol ya Libya

    Kwa kushika nafasi ya pili teams za kukutana nazo zilizotop groups ni Orlando pirates, Ali Itihadi ya Libya au Mazembe, mimi hapo naomba tukutane na Walibya haswa ukichukulia mechi tunaanzia nyumbani. Its been a long time Simba kufika nusu fainali, kuna kizazi hakijawahi shuhudia kabisa1974...
  3. Libya hatarini kutumbukia zaidi kwenye mgogoro wa kisiasa

    Mgogoro wa Kisiasa Nchini humo umeonekana kwenda kubaya, huku kukiwa na hatari ya kurejea kwenye mapigano au mgawanyiko wa maeneo. Serikali mpya inayojiandaa kuchukua Madaraka inaushutumu Utawala ulio Madarakani kuwateka Wajumbe wawili wa Baraza la Mawaziri. Bunge limekuwa likijiandaa kuapisha...
  4. Z

    Vita ya Libya Afrika naTanzania yetu tulikuwa mabwege, sasa tunajidai kulaani vita ya Ukraine

    Libya ilivamiwa na US kwa ushirika wa Ulaya na hasa Uingereza na Ufaransa. Wakaona ni haki yao kuvamia Libya na kumuondoa rais na hata akalawitiwa na wafuasi wao. Hakuna nchi ya kiafrika iliyolaani kwa nguvu au kujitokeza kupeleka kwenye baraza la usalama la UN. Ulaya pia hakuna aliyeandamana...
  5. Waziri Mkuu wa Libya, Abdulhamid Dbeibah, anusurika kuuawa baada ya msafara wake kushambuliwa

    Picha: Waziri Mkuu wa Libya, Abdulhamid Dbeibah Watu waliokuwa na silaha wameshambulia msafara wa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdulhamid Dbeibah Jijini Tripoli. Shambulio hilo linakuja wakati kuna mvutano mkali kuhusu udhibiti wa Serikali. Dbeibah ambaye ametoka salama baada ya tukio hilo...
  6. UN: Uchaguzi wa Libya waweza kusogezwa hadi mwezi Juni

    Mshauri maalum wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia maswala ya Libya Stephanie Williams amesema anapendekeza kufanyika uchaguzi wa Libya ifikapo Juni, baada ya kushindikana kufanyika uchaguzi huo wa rais mnamo mwezi Desemba mwaka uliopita. Stephanie Williams ameliambia shirika la habari la...
  7. Bunge la Libya lasema haiwezekani kuandaa uchaguzi wa rais Ijumaa

    Kamati ya bunge la Libya imesema leo kuwa haitawezekana kuandaa uchaguzi wa rais uliosubiriwa kwa muda mrefu katika siku mbili zijazo kama ilivyopangwa. Hilo ni pigo kubwa kwa juhudi za kimataifa za kuumaliza muongo mmoja wa machafuko katika nchi hiyo yenye utajiri wa mafuta. Hiyo ni taarifa ya...
  8. Libya: Tume ya Uchaguzi yakataa maombi ya Urais ya Saif al-Islam Gaddafi

    Tume ya Uchaguzi Nchini Libya imekataa maombi ya Urais ya Wagombea 25 akiwemo Mtoto wa aliyekuwa Kiongozi wa Taifa hilo, Muammar Gaddafi wakidai ni kutokana na sababu za kisheria Tume hiyo imesema Saif al-Islam Gaddafi anakosa vigezo kwasababu alihukumiwa. Mahakama Jijini Tripoli ilimhukumu...
  9. Akili inayotumika kumponda Hayati Dkt. Magufuli ndio ile ile iliyowagharimu wana Libya

    Salama humu, Wale chawa wa awamu ya 6 wanajitahidi sana kufifisha yote mazuri yaliofanyika na kiongozi wa awamu ya 5! Alikuwa na madhaifu yake kama binadamu ila swala la kukomalia social services ziwe available and accessible kwa umma ndio kitu ambacho wengi wenye akili tutamkumbuka nacho...
  10. Seif al- Islam al-Gaddafi atangaza kuwania Urais wa Libya

    Mtoto wa kiume wa kiongozi wa zamani wa Libya Muammar Gaddafi ametangaza rasmi nia yake ya kuwania urais katika uchaguzi uliopangwa kufanyika mwezi Desemba wenye lengo la kumaliza miaka kadhaa ya machafuko tangu baba yake alipoondolewa madarakani. Seif al- Islam al-Gaddafi mwenye umri wa miaka...
  11. C

    Rasmi sasa Tanzania yapoteza nafasi nne kwa Libya, miujiza ya Simba SC inasubiriwa

    Tayari Walibya wameishapata slots ya teams nne kilichobaki ni miujiza kama Simba SC wataingia group stages ya shirikisho na hiyo ina depend kama Pascal wawa ataacha mgomo wake wa kuruka juu mipira ya kichwa au wauzaji mechi watawaonea huruma mamilioni ya washabiki wa Simba. Please maduka kuweni...
  12. In Libya, Haftar suspends military role to run for president

    Libya’s rebel commander General Khalifa Haftar says he is suspending his military activities so that he could run for the upcoming presidential election. Haftar said in a statement on Wednesday that he had named an interim replacement as head of the Libyan National Army until the legislative...
  13. Libya: Saad Al Gaddafi aachiwa huru

    Mtoto wa aliyekuwa kiongozi wa Libya Muamar Gadafi, aitwaye Saad Gadafi ameachiwa huru na mahakama nchini Libya. Saad amewahi kuwa mchezaji wa timu ya taifa ya soka ya nchi hio. Pia raisi wa shirikisho la soka la nchi hiyo -- Libyan authorities have released Saadi Gaddafi, a son of the former...
  14. Baada ya Kagame kupeleka wanajeshi kuokoa Msumbiji, sasa apokea wakimbizi kutokea Libya

    Kagame anazidi kuonyesha Rwanda ndio giant wa kweli Afrika licha ya ukubwa wa nchi kuwa mithili ya mkoa, wanaopenda kujiita giants wanaendelea kukunja mikia kwa uwoga hata pamoja na kuchokozwa na magaidi mpaka kuchokonolewa kwa vidole.... =================== A new batch of 133 asylum seekers...
  15. Wahamiaji 74 wafa maji baada ya meli kuzama Libya

    Wahamiaji wasiopungua 74 wamekufa katika ajali mbaya ya meli iliyotokea katika pwani ya Libya. Shirika la IOM limesema manusura 47 wameweza kuokolewa wakati shughuli ya uokozi zikiendelea. Kulingana na Umoja wa Mataifa, wahamiaji wapatao 74 wamefariki dunia baada ya meli kuzama hapo jana nje...
  16. J

    Mtizamo wa Mwalimu Nyerere kuhusu Libya, Misri, na Palestina

    ..kwanza nimpe shukurani mwanachama mwenzetu Shwari kwa kutuletea makala hii. ..nimeona niilete makala hii ktk jukwaa la siasa ili iweze kusomwa na wanachama wengi zaidi. In an interview with Nawal El Saadawy of Egypt's El Mussawar first published on 19 October 1984, Mwalimu Nyerere discusses...
  17. E

    Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.

    Sitaandika mengi Leo, Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S. Ila yangu ni haya, Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema. Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya...
  18. Ubalozi wa Marekani wamkumbuka Mwl. Nyerere. Wasema "maendeleo ni watu sio vitu"

    Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa. Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu...
  19. J

    Mchungaji Lusekelo: Libya na Iraq zinajuta kuwasaliti viongozi wao Gaddafi na Sadam Hussein, watanzania msifanye makosa mtajuta!

    Mchungaji Anthony Lusekelo amewataka Watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana. Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump. Kadhalika...
  20. Meli ya Tanzania yangundulika kusambaza Silaha nchini Libya. Je, Nasi tutawekewa Vikwazo na Mabeberu?

    Get short URL FILE PHOTO: Annual NATO's Submarine Warfare Exercise DYNAMIC MANTA held with the naval forces of Turkey, Canada, France, Germany, Greece, Italy, Netherlands, Spain, United Kingdom and USA in Palermo, Italy on February 25, 2019 © Getty Images / Dursun Aydemir/Anadolu Agency When...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…