Tanzania haifati meritocracy, hivyo viongozi wengi kuanzia chini mpaka Juu hawajawahi achieve chochote maishani ukiachia labda kuoa na kuanzisha familia, hilo nalo unaweza kulijadili pia kama hata kwenye Familia wamefanikiwa.
Ukingalia nchi nyingi utaona viongozi wanafika juu kwa merit, unaweza...
Unsplash
Take the time to ask your heart and think about what you want. It varies from person to person, and perhaps this is something we shouldn’t go to the bottom of. We come into the world irregularly, and no one emerges as the times require. Due to different life experiences, each has its...
Wakati mfumuko wa bei ukiendelea kutuchapa kuna mengi pia ya kufurahia kwenye haya maisha....
Leo naanza weekend mapema kabisa, nikila ngoma moja ya hatari sana.....
Aliyesema msemo MUSIC IS LIFE hakukosea kabisa.....
Wanabodi,
Mwendelezo
Kwa wasomaji wapya this is a true story of my life, nilitamani kuwa wakili kwa sababu ya Wakili Murtaza Lakha toka mwaka 1976, hatimaye sasa nimekuwa wakili, jee nitakuwa kama Lakha?.
Wiki iliyopita, tuliishia Baba Mzee Andrew Mayalla ni miongoni mwa washtakiwa wa Kesi ya...
Wakubwa shikamooni, vijana wenzangu mambo vipi? Madogo hamjambo?
Twende moja kwa moja kwenye topic, ktk maisha yetu kuna marafiki zetu ambao tuliachana nao tukiwa shule na hatujaonana kwa kipindi kirefu, kama unavyojuwa maisha hayamnyokei kila mtu kuna wengine tuliendelea na masomo wengine...
Wanabodi,
Nipashe ya leo, Story Inaendelea...
Kwa Wasomaji wapya, hii ni stori ya safari yangu ya ndoto ya kuwa wakili, iliyonichukua iliyoanzia Mwanza mwaka 1976 takriban miaka 45 iliyopita, hatimaye nimekuwa wakili mwaka huu, hivyo kujiuliza jee sasa, bado naweza kuwa kama Wakili Murtaza...
Kuwahamisha wamasai toka ardhi yao ya kurithi inaweza kuwa amri rahisi kabisa uliyowahi kuitoa ila jambo hili limeumiza wengi na litakuhusu kwa kipindi chako chote.
Napenda nikuambie kwamba hili hukufanya sawa.
Umekosea.
Natumaini hamjambo waheshimiwa.
Nimetafakari kwa muda mrefu sana, nini hasa maana ya maisha na kwanini tunaishi?
Maisha hayako fair kabisa, wako watu wasio na hatia wala ubaya, wenye roho nzuri kupitiliza na wameishia kufa katika umri mdogo tena vifo vya kikatili mno. Wapo watu wenye roho...
Hongera kwa kazi nzuri kuelimisha jamii kupitia makala za kuelimisha na kusisimua.
Umekuwa unatumia platforms kadhaa kufikia wasomaji wengi kadiri uwezavyo, ni jambo jema.
Vipi, umewahi kufikiria kutumia platform hii inayopatikana hapa www.calipa.co.tz?
Hii platform/system ambayo ni "App na Web...
Nimeona video ya dokii YouTube alipelekwa na mzee Mengi hadi south Afrika kusomeshwa akapewa na u$d 8500 (tshs million 17) ya ada na matumizi achilia $2000(tshs milioni 4) au $4000(tshs milioni 8) zingine alizopewa kabla ya kupewa ada, baada ya kupewa izo hela dokii alisema mzee mengi alimsahau...
As humans, we naturally connect to people and build bonds and relationships over time. We can miss people for a multitude of reasons, but one thing is for sure, once that emotion arises, it can be hard to shake it. When you miss someone there's no denying that raw emotion. You can't get it out...
1. Not all relationships will lead to marriage, some will help you discover new restaurants.
2. It’s not selfish to make your happiness your main priority.
3. Stay away from “still” people. Still broke, still complaining, still hating, still nowhere.
4. Anything that costs you your mental...
Habari za wakati huu,
Tujo katika karne ya 21 tukiwa tunaelekea kumaliza robo ya kwanza ya karne hii.Wakati karne hii inaanza kwa waliokuwepo tunakumbuka kamsemo maarufu kaliitwa Y2K najua kuna ambao mnakumbuka stori za mwisho wa dunia, kibwetere na kirusi cha Y2K na vinginevyo. Anyway Y2K sasa...
Feng shoi au horn flower ni kati ya samaki bora kabisa kati ya waliochaguliwa kutengeneza mazingira ya furaha na kuvutia katika mazingira ya nyumbani. Kwa afya bora. Samaki huyu ana aminika kuleta bahati.
A man went to social media to ask women how they life was as single women. The responses were interesting.
Nomadlozi Ramagoshi responded:
"Very lonely, especially on weekends. Every woma n needs a man in her life".
Zizo stated:
"For a woman as clingy as me you will cuddle yourself to...
SAL DAVIS: MY LIFE WITH SIDNEY POITIER
(From ''The Autobiography of Sal Davis,'' with Mohamed Said).
‘’I liked school for the fun of it, being with my friends and all that but not for serious studies.
Three schools expelled me for truancy – Goan, Aga Khan and Arab Primary schools.
These were...
Nchi zinazotuzunguka - Kenya, Uganda, Rwanda, Congo, Zambia, Malawi, Mozambique.
Wengine tukisafiri nje basi nightlife huwa inapewa uzito sana.
Tukifika kwenye miji ya watu huwa tunapenda kufanya upopo.
Unatoka club A unaingia club B,
Totoz kama zote zinamulika.
Ukija kucheki muda unakuta...
Na hata ukiwachunguza tu wa Redio na Runinga wengi wao ndiyo wanaongoza kwa Kupenda 'Kulelewa' na 'Mijimama', Wana Tamaa za Kipopoma ( Kipumbavu ), Wanafiki, Waongo, Wala Rushwa na wapenda Michongo sana, Wafitini na Wadangaji wengi utawakuta huko na hata ukitafuta 'walioathirika' na Gitaa pendwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.