Miaka ya sabini ilitoka series moja nchini Uingereza iitwayo The Fall and Rise of Reginald Perrin.
Reginald (au Reggy) alikuwa na umri wa miaka 46. Alikuwa na mke na watoto wawili ambao walishaondoka nyumbani. Reggy alikuwa meneja kwenye kampuni anayofanyia kazi.
Kadri siku zilivyoenda Reggy...
Ikiwa ni jioni tulivuu, nimeshamaliza kazi zangu na ninatafakari kuhusu maisha yetu ya kila siku.
Ukweli ni kwamba maisha haya ya duniani SOTE TUNAPITA jamani! Hakuna atakayeishi milele! Na kwa wale tunaomwamini Kristo tunajua kwamba kule MBINGUNI tukibahatika kufika kazi ni kusifu na kuabudu...
Mzuka wanajamvi!
Nilikuwaga nausikiaga kwenye redio sana kipindi cha nyuma. Muda wote huo mimi nilidhani unaitwa 'wuu-huu' kumbe unaitwa walk of life umeimbwa na kundi flani Dire Straight. Nimeshtukizia tu nauona youtube usiku huu. Radio one walikuwaga wanauchezaga sana.
There are projects through out Kenya that have been run down over the years due to mismanagement of funds and inadequate financial muscle.
Some of these projects have roared back to life after President Uhuru Kenyatta allocated funds to their revamping in line with the big four agenda.
Below...
Karibuni tuendelee na mijadala midogo midogo yenye lengo la kuchangamsha Fikra na kuongeza Upeo.Leo nataka tujadili namna ambavyo mtu anaweza kuongeza performance yake katika maisha ambapo nitatumia neno TURBOCHARGE kama ile hali ambayo mtu anakuwa na tuned for high performance. Kwa wale...
Maisha ni Njama, Maisha yako ni Njama, Life is a Conspiracy.
Nikitazama maisha yangu kwa kipindi chote nilichokuwepo hapa duniani nimegundua kwamba Maisha ni Njama, Maisha yangu ni Njama. Labda kwa wale ambao hawaelewi nifafanue kidgo kuhusu dhana ya njama, njama ni mpango au mkakati wa mtu au...
Haya mambo ya kuzushiana ugonjwa na vifo hayajaanza leo, yalikuwepo enzi na enzi. Kuzushiana vifo sio jambo geni katika Ulimwengu huu, kuna mlolongo wa matukio mengi ya watu mashuhuri na watu maarufu waliowahi kuzushiwa kuumwa au vifo.
Sababu mojawapo hutokana ama na siasa zenye chuki na uadui...
Kenya's Crude Pipeline Project has roared back to life with new timelines set for the completion of the Ksh121 billion line.
Referred to as the Lokichar Lamu Crude Oil Pipeline (LLCOP), the proposed pipeline will stretch 892 kilometres connecting the Lokichar oil fields in northern Kenya to the...
Habari wanabodi
Mimi ndugu yenu naishi maisha ya kawaida tu, ashukuriwe muumba nina kipato cha kuweza kubadili mboga na kadhalika, naamini nimependelewa kuliko wengi wanaonizunguka, sitaki kujikweza lakini si haba (ashukuriwe aliye juu).
Naishi maisha ya kawiada (common man life), tatizo...
Jennifer Gates, 24, is the eldest daughter of the billionaire philanthropists Bill and Melinda Gates
She has two younger siblings, Rory and Phoebe.
While their father might be famous for founding Microsoft, Entrepreneur reported that the Gates kids had a "cap on screen time" growing up...
Kenya's little-known towns are turning into business hubs with accelerated infrastructure development by the government over the past years.
According to the Kenya National Highways Authority (KeNHA), there are 40 ongoing road projects in the country under the agency.
All these projects...
Hi
I am Jophy, Christian, 29yrs of age, degree holder and I am at Dodoma doing my staff.
I am looking for girlfriend who is not occupied, God fearing woman, Confident very focused and lovely one aged 21-25yrs.
I will accept you and wont judge you negatively. Will be happy if you will be from...
I'm Tanzanian, 41yrs of age, christian, black in color, Midiam height, employed.
My preference is a girl/ woman of the following characters/look:
- Aged 28-32 years
-Beautiful with attractive figure
- Deep christian
-Educated ( at least with a degree/
degree on progress)
- With...
Wakuu nimeanzisha biashara ya Duka rejareja na Saloon ya kiume. Changamoto iliyopo ni kelele za mke wangu. Pindi akijua na ku-access zilipo.
Makelele yake yatapeperusha wateja wote. Maana mwanzoni nilishawahi kumuanzishia biashara ya duka la nguo na mini-super market vyote vikafa baada ya muda...
Sisi kama Raia wema tuna wajibu wa kukumbushana pale tunapoona Taifa letu pendwa linataka kudidimia kutokana na Uroho wa madaraka wa baadhi ya wagombea ambao tayari wako madarakani.
Rais Magufuli bado ni Amir Jeshi Mkuu mpaka hapo tar 28 siku ya uchaguzi na mpaka kuapishwa kwa Rais mpya tar 30...
The gift of children is unarguably one of the best gift giving to humanity by God. It is the prayer of every married woman on earth for God to bless her with her own children, it is equally a man's prayer to have something he will provide for. Children gives a lot of respect to parents, gives...
LADIES & GENTLEMEN PLEASE DATE TO MARRY NOT JUST FOR FUN.
● Dating with no intention to marry is like going to the shops without money; you either leave unhappy or take something that isn't yours..
● When you're real and ready for each other, no time is too long and no distance is too far.
● The...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.