ligi kuu

The Tanzania Mainland Premier League ("Ligi Kuu Tanzania Bara" in Swahili) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. This league was created in 1965, when it was known as the "National League". Its name was changed later to the "First Division Soccer League" and changed again in 1997 to the "Premier League".

View More On Wikipedia.org
  1. Jospina

    Tuzo Za Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa '''10 - 2020''' Ligi Kuu Bara ina walakini

    * MUKOKO Mechi 4 goli 1 Assist 0 Dube Mechi nne Goli 3 Assist 3 MESHACK WA GWAMBINA Mechi : 4 Goal : 4 Assist : 2 Mchezaji Bora MUKOKO Au Kuna Kigezo Kingine Kimetumika Ili Kumpata Mchezaji Bora _*Anaejua Tuelimishane Kidogo
  2. kidadari

    Azam wana haki ya kuonyesha Ligi Kuu Bara tu! TFF mlitumia kifungu gani kuwaruhusu Azam kuamua au kupanga ratiba ya Ligi Kuu?

    Baada ya Azam media kuonyesha mechi chache za ligu kuu bara msimu uliopita ambapo Azam wana haki ya kuonyesha mechi hizo. Wadau wa michezo wakawataka TFF kuwabana Azam ili watimize vigezo vya kuonyesha walau 90 % ya michezo yote itakayochezwa. Wadau wa michezo walitegemea Azam media kuongeza...
  3. Influenza

    Ratiba ya Ligi Kuu Soka England 2020/21: Liverpool yaanza na vigogo. Man City na Man Utd kuanza ligi wiki ya pili

    Ligi Kuu Soka England itaanza kurindima Septemba 12, 2020 na Bingwa Mtetezi, Liverpool inaanzia nyumbani ikiikaribisha Leeds ambayo ni Bingwa wa Championship Baada ya kucheza na Leeds, Liverpool itasafiri kwenda Stamford Bridge kuchuana na Chelsea na mchezo wake wa tatu utakuwa dhidi ya Bingwa...
  4. Kurzweil

    Baada ya Miaka 16 Leeds United yarejea tena Ligi Kuu Uingereza

    Klabu ya Leeds United inatajwa kuwa na uhasimu mkubwa na vilabu vya Jiji la London vikiongozwa na Chelsea FC Leeds United wamefanikiwa kurejea EPL baada ya kuinyuka 1-0 dhidi ya Barnsley katika Uwanja wa Elland Road Washindani wao wa karibu West Bromwich Albion walipaswa kushinda dhidi ya...
  5. Irenga

    Gwambina Football Club yapanda Daraja kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21

    Gwambina Football Club yenye Maskani yake Misungwi, Mwanza hapo awali ilifahamika kama JKT Oljoro kabla haijabailishwa jina kuitwa Arusha United hatimae kuuzwa mwaka 2018 Tajiri wa Misungwi Ndg. Alexander Mnyeti hatimae imepanda Daraja kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara musimu wa mwaka 2020/21 baada...
  6. kavulata

    Uvaaji barakoa Ligi Kuu umedunda

    Nikiangalia watazamaji walioingia viwanjani kushuhudia mechi za ligi kuu baada ya michezo kuruhusiwa tena, sikuona matumisi sahihi ya barakoa kujilinda dhidi ya COVID-19. Kuna ambao hawakuzivaa kabisa, kuna ambao waliacha pua wazi, na kuna waliozivua ili wanywe au wale vitu vinavyouzwa uwanjani...
  7. Expensive life

    Ligi Kuu Bara yarejea kwa kishindo

    VS Ni miezi mitatu imepita toka ligi yetu pendwa isimamishwe kutokana na janga la corona. Ni rasmi sasa kesho ligi inakwenda kuendelea ili kumalizia mechi zilizobakia, miamba kutoka mkoani Shinyanga Mwadui fc watakapo wakaribisha mabingwa wa kistori wa ligi kuu Tanzania bara, Dar young...
  8. Influenza

    Ligi Kuu Tanzania Bara: Wachezaji 5 kubadilishwa katika mchezo mmoja. Usajili kuanza Agosti Mosi

    Shirikisho la Soka Nchini (TFF) limezingatia maelekezo ya FIFA katika kukabiliana na changamoto za #COVID19 ambapo katika mchezo mmoja timu itaruhusiwa kubadili hadi Wachezaji watano badala ya watatu Limesema marekebisho hayo yamefanyika katika Kanuni ya 14 (25) ya Ligi Kuu, Kanuni ya 14 (25)...
Back
Top Bottom