ligi kuu

The Tanzania Mainland Premier League ("Ligi Kuu Tanzania Bara" in Swahili) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. This league was created in 1965, when it was known as the "National League". Its name was changed later to the "First Division Soccer League" and changed again in 1997 to the "Premier League".

View More On Wikipedia.org
  1. hiram

    Tulinganishe: Mgawo wa fedha kwa kila timu ligi kuu uingereza 2019/2020

    Huku tukiendelea kutafakari Nkataba wa Azam tupate inputs mbali mbali ufuatao ni mgawanyo wa fedha kwa epl 2019/20 Bingwa yaani liver pool alipata euro milioni 174 sawa na bilioni 573 za madafu (573,931,663,578.00 tshs) na aliyeshika mkia yaani Norwich City alipata euro 94.5m sawa na bilioni...
  2. Lupweko

    Simba yaweka rekodi ya timu za Bara kwa kupiga pasi 873

    Katika mechi ya Simba vs Dodoma Jiji, timu ya Simba ilipiga jumla ya pasi 873 na kati ya hizo, pasi 730 zilifika zilikopangwa kwenda. Takwimu hizi ni kwa mujibu wa Anwar Binda wa Wasafi FM wakati akichambua mechi hiyo, na kusema tangu aanze kuchambua mechi za VPL na ASFC za timu za Tanzania...
  3. H

    Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi na Azam TV Limited kwa pamoja wameingia makubaliano ya kuonesha matangazo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa muda wa miaka 10 wenye thamani ya Shilingi bilioni 225.6. Kiasi hicho ni kikubwa zaidi kuwahi kutokea Afrika Mashariki na kuifanya...
  4. GENTAMYCINE

    Exclusive: Wachezaji Wawili Waandamizi wa Mtibwa Sugar FC na Dodoma Jiji FC wanithibitishia kuwa 100% Ligi Kuu ya Tanzania inanuka Rushwa

    Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifanya GENTAMYCINE niwe najua Kujichanganya na kila aina ya Watu, Kukubalika na kujenga nao Urafiki hivyo kusaidia Kazi yangu ya 'Kufukunyuwa' Mambo kuwa rahisi. Wadau wa Soka ( Mpira ) tukiwa tunasema kuwa kuna Rushwa Kubwa inayopelekea Timu Shiriki...
  5. Replica

    FT: Namungo 0-0 Yanga | VPL | Majaliwa Stadium

    Ligi kuu Tanzania bara inaendelea leo kwenye mchezo ambao Namungo ya Lindi inaikaribisha Yanga Sc kutoka viunga Jangwani na Twiga. Mchezo huu unachezwa katika uwanja wa Majaliwa ulio mkoani Lindi. Magoli yote ya pande mbili bado yamenuna. ======= 00' Mwamuzi apuliza kipenga kuashiria mwanzo wa...
  6. Linguistic

    Nimeupenda huu mfumo wa League ya Croatia

    Wakuu CROATIA Bana League yao ina timu 10. Na kila timu head to head ya home&away zinakutana Mara 4 Yaani twice at home and twice away. Jumla inachezwa Gemu 36 Mpaka apatikane mshindi. Bingwa Anashiriki UEFA Mshindi wa 2&3 hucheza Europa ligue. Timu inayoshuka daraja ni moja tu.
  7. I

    Simba inaiogopa Yanga kuliko chochote kile

    Pamoja na kufanya vizuri kwenye champions league bado hofu ya Simba inabaki kwa Yanga kuliko timu yeyote ile, ukweli ndio huo na hili tunaliona haswa kupitia hata washabiki wake huku mitaani. Tofauti na Yanga, Yanga timu zote zipo kwenye level moja na kupewa heshima sawa na wote ila si kuhofia...
  8. Abby Newton

    Tulizeni presha Simba SC na Yanga SC hawajaanza kukutana leo

    Kuna watu wamechachawa na mechi ijayo ya watani ya tarehe 8 May, presha juu hawalali. Simba na Yanga wamecheza dabi toka miaka ya 30s hadi leo, na wataendelea kukutana miaka mingi ijayo labda hadi mwisho wa dunia. Ukitaka kufurahia Simba na Yanga usiwe na presha. Kuwa tayari kwa matokeo yoyote...
  9. Utopologist

    It's official! VPL kupeleka timu 4 kimataifa msimu ujao 2021/22

    Hii ni baada ya jana Ahly Benghazi ya Libya kushindwa kufuzu kwenda 1/4 fainali ya CAF confederation cup
  10. Ghazwat

    Simba SC 3 - 1 Dodoma Jiji FC | Vodacom Premier League | Benjamin Mkapa

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo Aprili 27, 2021 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo Vinara wa Ligi, Mnyama Mkali Simba SC anapepetana na Dodoma Jiji FC. Mchezo inatarajiwa kuwa kali na wa kusisimua kwa muda wote wa dakika 90 huku kila timu...
  11. isajorsergio

    Ushauri kwa TFF, bodi ya ligi na ligi kuu Tanzania

    Habari 👋 Siku ya leo nimeona vyema nizikumbushe mamlaka za soka nchini Tanzania katika masuala kadhaa, nitumaini langu baada ya ushauri huu utekelezaji utaanza na msimu mpya 2021/2022 tutashuhudia makubwa na yaliyokuwa bora. Nimekuwa mfuatiliaji wa masuala mbalimbali lakini mpira wa miguu...
  12. Shadida Salum

    Ligi kuu Tanzania: Yanga SC kukabiliana na Coastal union uwanja wa Mkwakwani

    Baada ushindi wa goli 3-0 wa Yanga SC dhidi ya klabu ya Coastal Union katika mchezo wao wa mwisho uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Oktoba 30, 2020, leo vijana wa Jangwani watakipiga na Coastal Union katika uwanja wa Mkwakwani Kuelekea mchezo huo takwimu zinaibeba Coastal union maarufu Wagosi...
  13. I

    Timu za Majeshi zipigwe marufuku kucheza Ligi Kuu

    Serikali iliangalie hili. Natizama mechi ya simba na jkt gani sijui hawa. yaani simba wanacheza mpira lakini hawa jkt wanacheza rafu tu. Mugalu kapigwa buti kapoteza fahamu. sasa katolewa. Manula kapigwa kichwa makusudi nadhani sasa atakuwa anapelekwa hospitali. Mambo ya hovyo sana.
  14. Shadida Salum

    Ligi Kuu England kuendelea leo: Chelsea kuumana na Manchester united

    Ligi kuu England inaendelea leo katika viwanja mbalimbali ambapo mchezo wa awali Crystal palace atakipiga dhidi ya Fulham saa tisa jioni. Leicester city ambayo inashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi hiyo itakutana na Arsenal ambayo inashika nafasi ya kumi na moja. Na huko katika Dimba...
  15. Shadida Salum

    Ligi kuu Tanzania bara: Azam kumenyana na Tanzania Prisons

    Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara inaendelea leo kwa Klabu ya Azam FC kukutana na Tanzania Prisons katika dimbani Nelson Mandela huko Mbeya Mara ya mwisho Azam kukutana na Tanzania Prisons ilikuwa Septemba 26, 2020, katika mchezo ambao Azam ilikuwa ugenini na kufanikiwa kujiwekea kibindoni alama 3...
  16. Shadida Salum

    VPL: Mwadui yaendelea kushika mkia msimamo wa ligi kuu

    Baada ya kuondoka na alama moja katika mchezo dhidi ya Kagera sugar juma lililopita, Gwambina hii leo ameambulia patupu baada ya kuruhusu kichapo cha bao 1-0 akiwa katika Dimba la nyumbani dhidi ya Ruvu Shooting. Goli la Ruvu shooting lilifungwa na F Ikobela 47'. Na katika uwanja wa Uhuru...
  17. Shadida Salum

    Ligi kuu soka Tanzania bara yarejea

    Baada ya kusimama kwa muda ligi kuu soka Tanzania bara inarejea tena hiyo kesho tarehe 11 Februari, ambapo mchezo wa awali utakaopigwa saa 8: 00 mchana, utaikutanisha Kagera sugar dhidi ya Gwambina. Na baadaye Coastal union atamenyana na Azam Fc majira ya saa 10:00 jioni. Ijumaa ya tarehe 12...
  18. isajorsergio

    Ifahamu Premier League Production | Uzalishaji wa Ligi Kuu

    Premier League, ligi kuu soka ya Uingereza ikifahamika vyema hapo awali kama BPL kabla ya mabadiliko mnamo mwaka 2015 toka BPL iliyokuwa ikiuza kupitia chapa ya Barclays Premier League chini ya mkataba wa udhamini kutoka kampuni maarufu inayoshughulika na masuala ya kiuchumi, fedha, uwekezaji na...
  19. Infantry Soldier

    Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta? Tulishindwa kununua mechi za Aston Villa kwa maana ligi kuu ya Uingereza inajuliakana kuwa ni aghali dunia nzima...
  20. 3llyEmma

    Ligi Kuu Tanzania Bara: Nani kuvaa kiatu cha ufungaji bora 2020/2021?

    Baada ya Mshambuliaji hatari wa Simba MEDIE KAGERE kuwa mfungaji Bora kwa misimu miwili (2) mfululizo. Hii ndio List ya Washambuliaji ambao wanafanya vizuri :.. 1. Prince Dube 2. Adam Adam 3. Obrey Chirwa 4. John Bocco 5. Yusuf Mhilu 6. Medie Kagere 7. Michael Sarpong 8. Bigirimana Blaise JE...
Back
Top Bottom