ligi kuu

The Tanzania Mainland Premier League ("Ligi Kuu Tanzania Bara" in Swahili) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. This league was created in 1965, when it was known as the "National League". Its name was changed later to the "First Division Soccer League" and changed again in 1997 to the "Premier League".

View More On Wikipedia.org
  1. John Haramba

    Timu na wachezaji waliokosa penati nyingi Ligi Kuu msimu huu, Simba waongoza

    Orodha ya timu na wachezaji waliokosa mapigo ya penati katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022 mpaka sasa Machi 6, 2022 kabla ya mchezo wa Geita Gold dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Source: Bodi ya Ligi
  2. John Haramba

    Kauli ya Fiston Mayele kuhusu Tuzo ya Mfungaji Bora 2021/22, mbio za Yanga ubingwa wa Ligi Kuu

    Mara baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa mabo 3-0 ambao wameupata dhidi ya Kagera Sugar, straika wa Yanga, Fiston Mayele amezungumza kwa ufupi kuhusu ushindi huo, mbio za ubingwa na kasi yake katika kuwania Tuzo ya Mfungaji Bora Msimu wa 2021/22: “Namshukuru Mungu kwa matokeo haya...
  3. Its Pancho

    Kikosi changu bora mzunguko wa kwanza ligi kuu..

    Hiki ni kikosi bora mzunguko wa kwanza mpaka sasa tumeingia mzunguko wa pili. Djgui diarra djuma shaban kibwana shomary Dickson job bakari mwamnyeto Litombo bangala aucho feisal salum saido ntibazonkiza fiston mayele jesus moloko. SUB : aishi manula, shomary kapombe, Mohamed...
  4. M

    TFF hongereni kwa Kumfungia Shaffih Dauda aliyewaambieni Ukweli na Kumuacha Haji Manara aliyehatarisha Usalama wa Taifa na Kuuchafua Mpira

    Endeleeni tu Kumchekea huyo Msemaji wa Yanga SC Haji Manara na Upuuzi wake, ila ipo Siku mtatukumbuka tunaowaonya 24/7 kwa Madhara makubwa ambayo yatatokana nae huku mkimuogopa au mkiogopa kwakuwa kuna baadhi yenu mlifaidika mno Kibinafsi na Pesa za GSM.
  5. John Haramba

    Bodi ya Ligi Kuu yatoa onyo kali kwa Haji Manara, Bumbuli, ni kuhusu waamuzi kuongeza dakika

    Bodi ya Ligi Kuu yatoa onyo kali kwa Haji Manara, Bumbuli, ni kuhusu waamuzi kuongeza dakika
  6. John Haramba

    Refa aliyeinyima bao Yanga aondolewa kwenye Ligi Kuu

    Refa aliyeinyima bao Yanga aondolewa kwenye Ligi Kuu
  7. JanguKamaJangu

    Hii vita ya ubingwa wa Yanga na Simba, hivi TAKUKURU hamsikii kelele za waamuzi kupozwa ligi kuu?

    Bongo buana mambo ni mengiiiii lakini muda mchache, ndiyo maana wanasema ukiishi Bongo ukifa kwa stress basi wewe jua umejitakia. Ligi yetu inaendelea, sasa hivi kuna kurushiana maneno mitandaoni na kwenye vyombo vya Habari hasa Yanga, Simba na kidogo Azam FC wanasikika kwa mbali. Mtaani...
  8. John Haramba

    Tamko rasmi la Yanga kuhusu kutotendewa haki na waamuzi katika Ligi Kuu Bara

    Hii ni taarifa rasmi kwa umma kutoka Klabu ya Yanga juu ya malalamiko yao kwa waamuzi.
  9. T

    AZAM MEDIA ongezeni idadi ya Camera mnazotumia kunasa matukio ya mechi katika ligi kuu ya NBC

    Nawapongeza kampuni ya Azam media kwa kuonesha mechi za ligi kuu NBC live, kitendo ambacho kimeipa hadhi ligi yetu si tu Africa ya mashariki bali Africa nzima. Wito wangu kwa wamiliki wa Azam media ni kuwa ongezeni idadi ya Camera katika production team yenu ili muweze kunasa matukio takribani...
  10. M

    GSM mliopo hapa JamiiForums tafadhali naomba Majibu yenu ya upesi sana kwa haya Maswali yangu yafuatayo

    1. Ni kwanini mlianza Kudhamini kabla ya Kuingia Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021? 2. Kama mliingia rasmi Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021 ni kwanini mpaka hii Leo mnasitisha nao Mkataba hamjawalipa Pesa ya Awali na hata Vilabu vyote husika (ukiiondoa Simba SC yenye Akili na Watu...
  11. John Haramba

    Hii ndiyo siri GSM kujiondoa katika udhamini ligi kuu, Simba inahusika

    Kampuni ya GSM imetangaza kujiondoa katika udhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, hiyo siyo habari mpya kwa sasa, lakini kilichopo nyuma ya pazia na sababu kubwa ni wapinzani wao wa jadi Simba kugoma kuunga mkono juu ya udhamini huo. Mara baada ya TFF kutangaza udhamini huo, kisha ikaelezwa...
  12. ESPRESSO COFFEE

    GSM yatangaza kujiondoa kwenye udhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara

    Kampuni Ya GSM, Leo Tarehe 07/02/2022 imetangaza kujiondoa Kwenye Udhamini Mwenza Wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Ikimbukwe kuwa Kampuni Ya GSM iliingia Makubaliano Ya Kuidhamini Ligi Kuu Tanzania Bara Na Kuweka Dau la Bilioni 2.5. Lakini Udhamini Huo Ulipingwa Vikali na Simba Sc huku Vilabu...
  13. John Haramba

    Fiston Mayele, Baraza, wabeba tuzo za Mwezi Ligi Kuu Bara

    FISTON MAYELE - Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022 FRANCIS BARAZA - Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022. JOHN NZWALLA - Meneja Bora wa Uwanja kwa mwezi Januari, 2022. #NelsonMandela
  14. John Haramba

    Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

    Timu ndiyo zinaingia uwanjani, muda wowote mchezo huu wa Ligi Kuu Bara utaanza hapa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. KIPINDI CHA KWANZA Mchezo umeanza. Dk 1: Mwamuzi anapuliza kipenga cha kuanza kwa mchezo. Dk 1: Simba wanaanza kwa kasi, wanafika langoni mwa Mbeya Kwanza, John Bocco...
  15. John Haramba

    Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

    Mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Mbeya City, mchezo umeshaanza kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. YANGA 0-0 MBEYA CITY - FULL TIME Dk 1: Timu zimeanza kwa kusomana, matokeo ni 0-0. Dk 5: Mchezo una kasi na timu zote zinashambuliana kwa zamu. Dk 10: Mashambulizi ya zamu kwa...
  16. M

    Pablo hii ndo ligi kuu soka Tanzania bara, kuwa mvumilivu vinginevyo safari itakukuta mapema

    Uyu kocha naona ana hasira za haraka sana, awe makini zisije zikamgharimu pale zitakapokwenda mpaka kwa wachezaji, ajue hii ni ligi kuu na sio kombe la mapinduzi hili kila timu inajituma kwasababu kuna pesa ndefu asitegemee ushindi wa bwelele. Lakini pia ajue gape la point 5 na anayeongoza ligi...
  17. M

    TFF na Karia wachunguzwe. Timu nyingi za ligi kuu masikini.Sababu kuipa haki ya kurusha ligi kuu TV moja tu

    Kwa ufupi tu naomba vyombo vinavyohusika na michezo na rushwa wachunguze mkataba katika ya TFF na TV moja kurusha live matangazo ya ligi kuu tena kwa miaka 10. Gharama walizolipa ni takriban billioni 200 na ushee. Duniani kote hakuna TV moja inayopewa haki bila ya kuzishindanishi tv...
  18. I

    Waamuzi ligi Kuu wadhulumiwa PESA zao tangu mzunguko WA nne,Tff,azam,bodi ya ligi,nbc,gsm mko wapi?

    Hali ya waamuzi wa ligi kuu Tanzania ni mbaya, hawajapewa malipo yao tangu mzunguko WA nne WA ligi Kuu,licha ya uwepo wa wadhamini wengi. Si haki hata kidogo watu wanaenda vituoni wanachezesha mechi wengine wanazaidi ya mechi tatu hadi nne bila kupewa pesa yao. Kwa mazingira haya kweli tutapata...
  19. Replica

    Tume ya ushindani kuchunguza udhamini wa GSM ligi kuu

    Tume ya Ushindani wa Biashara (FCC) imesema imepokea malalamiko kutoka kwa wadau wa mpira wakiitaka kuchunguza udhamini uliofanywa na kampuni ya GSM kwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania kama hautaathiri ushindani wa soka nchini. Wadau hao wamewasilisha malalamiko yao kwa maandishi ndani ya tume hiyo...
  20. sky soldier

    GSM amwaga bilioni 2.1 kuwa mdhamini mwenza wa ligi kuu

    Kampuni ya GSM imesaini mkataba wa miaka miwili na Shirikisho la Soka Tanzania wenye thamani ya TSH. 2.1 Billion kwa ajili ya kuwa mdhamini mwenzanwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Engineewr hersi "Tunadhamini timu za Yanga sc, Namungo na Coastal union,, tumeona ni vyema kudhamini pia ligi kuu...
Back
Top Bottom