ligi kuu

The Tanzania Mainland Premier League ("Ligi Kuu Tanzania Bara" in Swahili) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. This league was created in 1965, when it was known as the "National League". Its name was changed later to the "First Division Soccer League" and changed again in 1997 to the "Premier League".

View More On Wikipedia.org
  1. Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

    Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga. Wengi wasichokijua nyuma ya pazia...
  2. H

    Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

    1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo 2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi 3. Kuna uwezekano winga wa Simba Sc, Aubin Kramo akapelekwa kwa mkopo Zesco United ya Zambia 4. Kiungo...
  3. Je, unadhani kwanini jana Mamelodi Sundowns FC katika Mechi yao ya Ligi Kuu wamechezesha Wacheaji Chaguo la Pili tu?

    Unaambiwa hakuna Mchezaji wa Kikosi cha Kwanza na hata wale wa Akiba ( Subs ) waliocheza hapa Dar es Salaam na Fungulia Mbwa FC jana walicheza katika Mechi yao ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini ambayo hata hivyo Walishinda Goli 1 kwa 0. Mamelodi Sundowns FC watauwa Mtu na inaonyesha hawatanii na...
  4. Fainali ya Ligi kuu ya mbio za mabasi Tanzania (Sauli vs New Force/ Golden Deer) na lori la mafuta, serikali imejifunza nini?

    Kùjifunza ni kitu kisicho na mwisho wala mipaka. Serikali yetu na watendaji wake hawajàona haja ya muda mrefu kujifunza na kuchukua tahadhari dhidi ya fainali ya Ligi Kùu ya mbio za mabasi Tanzania kati ya New Force/ Golden Deer vs Sauli. Maafa tumeanza kuyaona, leo mabasi yamegongana na Lori...
  5. Simba wana nafasi ya kuwa Bingwa Ligi Kuu

    Yanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa. Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.
  6. Ombi la Haraka la Uchunguzi wa Ushindani wa Haki katika Ligi Kuu ya NBC

    Machi 10, 2024 Chama cha Mpira wa Miguu Tanzania [TFF] KUMB: Ombi la Haraka la Uchunguzi wa Ushindani wa Haki katika Ligi Kuu ya NBC Mpendwa Mheshimiwa/Bibi, Tunakuandikia kukuletea jambo linalotia wasiwasi mkubwa kuhusu uadilifu na usawa wa Ligi Kuu ya NBC nchini Tanzania. Kama wadau na...
  7. Msimu huu kombe la ligi kuu na tuzo zake hampati hata moja

    Bingwa. Yanga Kocha bora. Gamondi Kipa bora. Diarra Beki bora. Yao Kiungo bora. atatoka Yanga MVP . atatoka Yanga Simba sijui mtapata nini msimu huu.
  8. Takwimu za Ligi Kuu ya England “Premier League” hadi Februari 12, 2024

    Ligi Kuu ya England “Premier League” msimu wa 2023/24 inaendelea, ilianza Agosti 11, 2023 na inatarajiwa kufika tamati Mei 19, 2024. Mechi ambayo hadi sasa ilishuhudiwa na mashabiki wengi uwanjani ni Manchester United 3-0 West Ham United (73,612), iliyoshuhudiwa na mashabiki wachache zaidi...
  9. Lomalisa Mutambala: Mchezaji pekee anayecheza Ligi Kuu Tanzania aliyewahi kuchukuwa ubingwa na timu yake ya taifa DRC

    WACHEZAJI PEKEE WANAOCHEZA LIGI KUU TANZANIA AMBAO WAMEWAHI KUWEMO KWENYE KIKOSI CHA TIMU YAP YA TAIFA IKITWAA UBINGWA WA AFRICA. LOMALISA WAZIRI WA MAJI. NA YANNICK BANGALA LITOMBO MZEE WA KAZI CHAFU Ebwanaee nilikuwa napitia stats za Joyce LOMALISA Mwaka 2016 alibeba ndoo chan 2016...
  10. Ni Match gani Ilikukosha kutoka Kwa Team yako ya Ligi kuu ya NBC Mwaka huu 2023?

    Habari wana Jukwaa La Michezo, Mwaka 2023 unakata huu, Tumetoka Mbali ulikua Mwaka wa Matukio Mengii ila Leo Naomba niwaalike wote hapa kukumbushana Ni Mchezo gani Kutoka kwa Team yako pendwa ya Ligi kuu ya NBC hutausahau. Ulikukosha ukakupa Raha. Ukafurahi ukaona Maisha ya Bongo ni kama ya...
  11. Yanga ya Ligi kuu ni kama Barcelona ila Ya klabu bingwa ni kama Mashujaa tu. Je jk alikuwa sawa bado inashinda Ligi kwa mbinu sio?

    Ukiwaangalia yanga Ligi kuu ni kama barca ile ya Moto kabisa. Ya richcard. Aziz ki anakuwa kama gaucho. Pakome ni inesta mtupu, Mzize ndio Eto, mwamnyeto Puyo. Akina nzegeli nddio usiseme. Sasa watoe nje sasa. Inakuwa timu ya ovyo kabisa. Kama saudi Arabia word cup au Mashujaa ligi...
  12. Waziri Dkt. Ndumbaro aagiza Timu za Ligi Kuu kuwakatia Bima za Afya Wachezaji

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AAGIZA TIMU ZA LIGI KUU KUWAKATIA BIMA ZA AFYA WACHEZAJI Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelielekeza Baraza la Michezo la Taifa “BMT” kuhakikisha kuwa ifikapo Januari, 2024 kila klabu ya ligi kuu ya NBC iwe na Bima ya afya kwa wachezaji wake...
  13. FT: Azam FC 5 - 0 KMC | Ligi Kuu ya NBC | Azam Complex | 07/12/2023

    NBC Premier League leo Alhamis Saa 3:00 Usiku AzamFC watakuwa Azam Complex wakiwaalika KMC Kocha Abdi Moallin wa KMC anarudi kwa waajiri wake wa zamani Je, atwaadhibu ama mambo kuwa magumu? --- Kikosi cha Azam kilichoanza Kikosi cha KMC kilichoanza
  14. H

    Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha dogo ligi kuu Tanzania bara 2023/2024

    Huu ni uzi maalumu wa kupeana updates za usajili wa dirisha dogo unaotazamiwa kufunguliwa tarehe 15.12.2023. Karibu 1. Ladack Juma Chasambi ni mwekundu wa Msimbazi akitokea Mtibwa Sugar 2. Beki wa Yanga raia wa Uganda Gift Fred anahusishwa kuhitajika na Klabu ya Arab Contractors ya Misri kwa...
  15. Ramadhani Lenny aliwezaje kucheza mpira ligi kuu akiwa na miaka 50 na yale matege?

    Huyu mchezaji alikuwa classmate wa mzee fulani mtaani,huyo mzee sasa ni mzee kweli hakosi miaka 70 shule ya msingi, Jamaa alikuwa na matege fulani hivi yanastaajabisha. Kama ungeambiwa ni namba sita bora kuwahi kutokea hapa nchini huwezi kuamini. Alimudu hiyo namba kwa kiwango cha juu sana...
  16. Kuna ukweli kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora kwenye ligi kuu?

    Kuna tetesi kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora, Wengine wanafika mbali kudai kwamba Yanga ikikosa ubingwa basi husalia namba 2 tu, si nje ya hapo. Ni kweli?
  17. Vinara wa kupachika mabao ligi kuu ya NBC hadi leo tarehe 27.10.23

    1. Aziz K- 6 2. Max - 5 3. Baleke- 5
  18. Kulikoni tena zile Tano Tano za katika Ligi Kuu na Kimataifa zimepungua na sasa ni mwendo wa Moko Moko tu kote kote?

    Taratibu sasa Watu wanaanza Kumsoma Kocha wenu ambaye kwa 80% anatembelea Nyota ya aliyekuwa Kocha wenu wenye Hasira na ambaye akihojiwa anachanganya Kifaransa, Kiswahili, Kindengereko na Kiingereza.
  19. Yanayojiri Ligi Kuu za Ulaya. Ligi ya Uingereza (EPL), Hispania (Laliga), leo Septemba 30, 2023

    Habari, Karibu tupeane updates ya mechi mbalimbali za Ligi za Ligi Kuu za nchi za Ulaya leo Septemba 30, 2023. EPL Aston Villa 6 - 1 Brighton (FT) Bournemouth 0 - 4 Arsenal (FT) Everton 1 - 2 Luton (FT) Man U 0 - 1 Crystal Palace (Cont) New Castle 2 - 0 Burnley (FT) West Ham 2 - 0...
  20. Ligi kuu 2023/24, Timu zipi ni matawi ya Yanga na Simba

    YANGA Singida SIMBA Coastal Mtibwa Namungo Ihefu Tuendelee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…