ligi kuu

The Tanzania Mainland Premier League ("Ligi Kuu Tanzania Bara" in Swahili) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. This league was created in 1965, when it was known as the "National League". Its name was changed later to the "First Division Soccer League" and changed again in 1997 to the "Premier League".

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Ratiba ligi kuu yanga kuanzia ugenini na Kagera sugar agosti 29, Simba nyumbani na KMC agosti 18

    Wadau hamjamboni nyote? Yanga ugenini dhidi ya Kagera sugar 29 August na Simba ataanzia nyumbani uwanja wa KMC 18 August dhidi ya Tabora Swali langu kwanini simba acheze tarehe 18 na kisha yanga akaevwiki 2 ndiyo acheze? Hii imekaaje? Ratiba hiyo hapo
  2. Mkalukungone mwamba

    Almas Kasongo: Bodi ya ligi itatoa adhabu kwa Maofisa Habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira

    Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo amesema msimu watatoa adhabu kwa Maofisa Habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira huku akizikumbusha klabu kufuata kanuni kwa kuajiri maafisa habari wenye elimu ya habari. “Kuna Muda unamsikiliza Ofisa Habari wa timu na...
  3. Shooter Again

    Kwenye ligi kuu Uingereza, ipi ni timu kubwa yenye mafanikio?

    Kuna hili swali wadau hivi timu kubwa yenye MAFANIKIO makubwa katika ligi zote ilizoshiriki pale uingereza ni timu gani hapa nikimaanisha ligi kuu na UEFA naomba kuijua ambayo ni namba moja maana hapa Kuna mtu mbishi sana tunabishana namuambia ni Liverpool ndio Ina makombe mengi
  4. SankaraBoukaka

    Prediction: Simba vs APR; Yanga vs Green Arrow; Yanga vs Simba

    For the upcoming match between Simba SC (Tanzania) and APR (Rwanda) on August 3, 2024, let's consider the current form, previous performances, and other relevant factors to make a predictive score. Given that Simba SC is one of the top teams in Tanzania and has a strong squad, while APR is also...
  5. Mkalukungone mwamba

    Tuzo za ligi kuu ya NBC msimu wa 2023/2024 tupangie mchezaji wako bora au kikosi chako bora

    VIPENGELE: 1: MFUNGAJI BORA (Tayari inajulikana) ▲ Stephane Aziz KI - (Yanga SC) 2: KIPA BORA ▲Ayoub Lakred - (Simba SC) ▲Djigui Diarra - (Yanga SC) ▲Ley Matampi - (Coastal Union) 3: BEKI BORA ▲Kouassi Yao - (Yanga SC) ▲Ibrahim Hamad - (Yanga SC) ▲Mohammed Hussein - (Simba SC) 4: KIUNGO...
  6. BENEDICT BONIFACE

    Faida na hasara za Wachezaji wa kigeni kwenye Ligi Kuu ya NBC

    Kuwepo kwa wachezaji 12 wa kigeni katika ligi ya Tanzania, kumeleta faida na hasara mbalimbali. Baadhi ya faida ni pamoja na: Kuinua Ubora wa Ligi: Wachezaji wa kigeni mara nyingi huwa na ujuzi na uzoefu wa hali ya juu, jambo ambalo linaibua kiwango cha ligi kwa ujumla. Hii inavutia mashabiki...
  7. L

    Suala la GSM kudhamini baadhi ya timu za Ligi Kuu liangaliwe upya, linajenga mazingira hasi na kupunguza ushindani katika ligi

    Jana nimeona kwenye kombe la xecafa singida Black stars wamevaa jezi zenye nembo ya GSM, huyo GSM ndio mdhamini wa Yangq, lakini timu kama Coastal Union, Namungo zina udhamini kama huo. Kwa mazingira ya kibongo hili jambo lina ukakasi sana. Kwa nchi zilizoendelea ambazo zinajali...
  8. S

    Lameck Lawi Anukia Ligi Kuu Ubelgiji K.A.A Gent

    LAMECK LAWI na Coastal Union wapo kwenye mchakato wa mwisho wa kukamilisha vibali vya Beki huyo kusafiri kuelekea nchini Ubelgiji ambapo inatarajiwa atajiunga na klabu inayoshiriki ligi kuu nchini humo ijapo haijawekwa wazi ila vyanzo vyangu kutoka Ubelgiji ni kuwa anaelekea K.A.A GENT endapo...
  9. GENTAMYCINE

    Tukisema kuwa Ligi Kuu ya Tanzania ni ya Samjo Samjo / Ujanja Ujanja mnabisha haya sasa msikieni hapa Tanzania One wa muda Wote Juma Kaseja

    "Niliposajiliwa Yanga, Manji aliniambia, lengo la kukusajili hapa ni ili iwe rahisi kuwafunga Simba" - Juma Kaseja. Chanzo: Kipyenga Extra Eastafricaradio Iwe rahisi kuwafunga Simba SC kwani Juma Kaseja ni Fowadi? Kumbe Siku hizi Makipa nao husajiliwa ili Wakafunge? Tafuteni hii Clip ya...
  10. Roving Journalist

    RC wa Tabora, Paul Chacha awakabidhi wachezaji wa Tabora United Tsh. Milioni 50 kwa kusalia katika Ligi Kuu

    Baada ya kufanikiwa kusalia kwenye NBC Premier League, hatimaye Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha amewakabidhi wachezaji wa Tabora United, kitita cha Shilingi milioni 50 aliyowaahidi endapo wangefanikiwa kusalia kwenye Ligi Kuu Bara. Tabora United imesalia NBC Premier League baada ya kuifunga...
  11. Mad Max

    Pamba United: Baada ya kupanda Ligi Kuu, wamepiga chini wachezaji wote

    Baada ya timu ya Pamba United kutoka Mwanza kufanikiwa kupanda kwenye Ligi Kuu ya NBC mwaka 2024/25 wameamua kutemana na wachezaji wake wote. Hii imetolewa leo na msemaji wao, kwa kudai wamemalizana mikataba na wachezaji wote so wanaanza usajili kuanzia namba 1. Pia wanapiga chini bench la ufundi.
  12. Lycaon pictus

    John Bocco ndiye mfungaji wa muda wote wa ligi kuu Tanzania bara

    Jamaa hawezi itwa striker hatari ila amemake historia kubwa. Magoli 155.
  13. D

    Ligi Kuu ina pesa nyingi sana, timu ziwe 18 tuepushe presha za vilabu

    ligi kuu ina pesa nyingi sana. na possible next season pesa zitaongezeka. iko hivi, 1. Ligi kuu now ina recruitment organisations for players trials in foreign countries. 2. Kuna azam money na possible increase of fund every season. per team. 3. Kuna agency zinaongezeka. possible watu wana...
  14. N'yadikwa

    Je, tutarajie Canal+ Kuanza Kuonesha Ligi Kuu ya Uingereza hivi karibuni?

    Je, wataanza kuonesha Ligi Kuu ya Uingereza na au Ulaya hata kwenye nchi za Commonwealth? Kwa mujibu wa Mtandao wa Mtandao wa SP ni kwamba Mmiliki wa SuperSport, Multichoice, amekubali ombi la ununuzi la Canal+ ununuzi wenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 2.9. na kwamba Kampuni hiyo kubwa...
  15. Mkalukungone mwamba

    VAR kutumika msimu wa 2024/25 ligi kuu ya NBC

    Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi, Almas Kasongo amesema msimu ujao 24|25 Video Assistant Referee (VAR) itatumika ligi kuu. Amesema, mfumo wa (VAR) utafungwa kwenye baadhi ya viwanja vinavyokidhi vigezo Nchini. Katika viwanja vya awali ni Benjamini Mkapa, Azam Complex, Mkwakwani Tanga na...
  16. Mkalukungone mwamba

    Mdau kipi ambacho kilikuvutia zaidi katika ligi kuu 2023/2024?

    Msimu wa Ligi kuu ya NBCPL ulitamatika mwishoni mwa mwezi wa 5, 2024 na Yanga ndiyo alikuwa Bingwa Tuambie mambo gani yalikuvutia zaidi katika msimu huo?
  17. Mkalukungone mwamba

    Feisal amevuta milioni 90 kutoka kwenye klabu yake ya Azam baada ya kufunga magoli 19 ya ligi kuu

    Kiungo huyo amechukua kiasi hicho cha pesa ni moja wapo ya kipengele cha mkataba wake na Azam fc kila msimu akifikisha magoli 10 na zaidi atakuwa akipata milioni 90. kwahiyo tuseme Feisal katika miaka yote mitatu ya kimkataba atalamba milioni 270 kama atafikisha magoli hayo 10,ambapo kwa sasa...
  18. Tate Mkuu

    Hivi kuna ulazima kwa waamuzi wa kike kuchezesha mechi za Ligi Kuu ya wanaume nchini, huku na wenyewe wakiwa na Ligi yao?

    Nimeona niulize hili swali kwa sababu muda huu naangalia mubashara mechi ya mtoano kati ya Tabora United vs JKT. Kilicho nihuzunisha ni maamuzi ya kibabaishaji ya hawa waamuzi wote watatu wa kike wanaochezesha huu mchezo. Imagine JkT inaongoza kwa ushindi wa magoli mawili ugenini; na yote ni ya...
  19. G

    Ratiba ya PlayOff ya ligi kuu Tanzania bara, unatabiri yapi kutokea ?

    kati ya jkt na tabora atakae shinda nje ndani anarudi ligi kuu, alieshindwa anapewa nafasi nyingine kujipima kwa biashara united, kati yao ataeshinda anapanda ligi kuu, anaeshindwa anashuka Ligi Daraja la Kwanza. ROUND 1 🕳️Tabora United vs Jkt Tanzania - 04/06/2024 🕳️JKT Tanzania vs Tabora...
  20. Kitimoto

    Stephane Aziz Ki anazo sifa za kuwa mchezaji bora wa ligi kuu Tanzania bara 2023/24

    Mchezaji Bora nategemea atoke miongoni mwa wale wachezaji walioshinda tuzo za Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24 wa kila mwezi. Wachezaji Bora tokea mwezi Agosti 2023 hadi Mei 2024. 1. Mchezaji Bora wa mwezi Mei 2024 - Reliants Lusajo 2. Mchezaji Bora wa mwezi Aprili 2024 -...
Back
Top Bottom