ligi kuu

The Tanzania Mainland Premier League ("Ligi Kuu Tanzania Bara" in Swahili) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. This league was created in 1965, when it was known as the "National League". Its name was changed later to the "First Division Soccer League" and changed again in 1997 to the "Premier League".

View More On Wikipedia.org
  1. OMOYOGWANE

    "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa

    Ehhh wakuu, Kuna hatari inakuja, kuna mapinduzi yanakuja. Kwa ambao hamjui maana ya falsafa ya Yanga maarufu kama gusa achia twende kwao ni kwamba, Mchezaji hatakiwi kukaa na mpira zaidi ya sekunde kumi, yaani ukipewa pasi unatoa pasi unayempa pasi naye anatoa pasi, hakuna ruksa kuleta mbwe...
  2. Mchochezi

    Okwi atimiza miaka 32, ni mmoja ya wachezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu nchini

    Njooni tumpongeze na kumtakia heri na fanaka Emanuel Arnold Okwi kwa kutimiza miaka 32 juzi. Huyu ni mmoja ya wachezaji bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi yetu
  3. The Burning Spear

    Ujio wa GSM umepoteza ladha na ushindani halali ligi kuu Tanzania Bara

    Great thinkers. Hakuna kitu kinaharibu mambo kama conflict of interest.. udhami k wanGsm wa Vila u kadhaa Tanzania Bara umeondoa Imani ya mashabaiki wengi es Mpira wa miguu Tanzania. Kwa wa watu wengi wanaamini hi matokea ya Mechi nyingi yanapangwa nje ya uwanja jambo( Mechi fixing) jambo...
  4. Kidagaa kimemwozea

    Yanga Ya ligi kuu vs Yanga ya kimataifa

    Yanga inavyocheza ligi kuu unaiona yanga Bora sana. Nimara chache wanapata matokeo dhaifu lakini ukweli ni kuwa Yanga ndio wafalme wa ligi kuu kwa misimu ya hivi karibuni. Tatizo ni pale inapocheza kimataifa hasa msimu huu wa mashindano. Kulikoni Yanga?
  5. Mkalukungone mwamba

    Dube amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga 'Hat-trick' ligi kuu ya NBC msimu huu

    Baada ya maombi mazito hatimaye mtoto wa mfalume aweka rekodi yake msimu huu Hat-trick' ya kwanza kwenye ligi kuu ya NBC msimu wa 2024/2025 imefungwa na Prince Dube Tangu ligi ianze Dube amekuwa na wakati mgumu katika ufungaji na ikafika hatua mashabiki wa Yanga na wadau wa soka kuanza kusema...
  6. Waufukweni

    Mechi ya Simba SC na Singida Big Stars yapangiwa tarehe, huku na Tabora United kupangiwa siku

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imefanya marekebisho kwenye ratiba ya michezo miwili ya Simba SC kutokana na sababu mbalimbali za kiufundi. Mchezo wa Simba SC dhidi ya Singida Big Stars, ambao awali haukuwa na tarehe maalum, sasa umepangwa kuchezwa tarehe 28 Desemba 2024 kwenye Uwanja wa Liti...
  7. Waufukweni

    Coastal Union imevunja mkataba na Ley Matamp aliyekuwa golikipa bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/24

    Klabu ya Coastal Union imethibitisha kuvunja mkataba na aliyekuwa mlinda mlango wao, Ley Ngumbi Matamp ambaye alikuwa golikipa bora wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu uliopita kwa makubaliano ya pande zote mbili. Taarifa ya leo Desemba 10, 2024 ya leo kupitia ukurasa rasmi wa klabu...
  8. Waufukweni

    Simba na Yanga zapewa heshima kwa mafanikio na mchango katika kukuza chapa ya Ligi Kuu Bara

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa zawadi kwa klabu za Simba na Yanga kama ishara ya kutambua mchango mkubwa katika kutangaza na kukuza chapa ya Ligi Kuu Bara ndani na nje ya bara la Afrika kutokana na mafanikio ya klabu hizo kwenye michuano ya CAF kwa ngazi ya klabu.
  9. mdukuzi

    Kwanini timu za EPL zina majeruhi wengi kuliko timu za Ligi kuu Tanzania. Je, Wachezaji wetu wamekomaa au hawajitumi?

    Tottenham,Man City,Arsenal zina majeruhi zaidi ya 10. Huku timu zetu wachezaji wote wako fit despite hawapitii vipimo vya afya vile inavyotakiwa. Je wachezaji wetu hawajitumi au wamekomaa?
  10. Waufukweni

    Kwa Mishahara hii minono kwa Wachezaji hawa wa Kigeni Tanzania, Je, Wanavitendea haki Vilabu vyao?

    Wakuu Hivi viwango vya mishahara kwa hawa wachezaji Wakigeni, wanavitendea haki vilabu vyao? == Kwa mujibu wa TurpaSports, hawa ndio wachezaji wa Kigeni wanaolipwa mishahara mikubwa zaidi Ligi Kuu Tanzania mwaka 2024, na viwango hivi ni kwa mwezi; Jhonier Blanco (Azam FC) – TSh. Milioni...
  11. Allen Kilewella

    Thread: Mechi za timu zisizo maarufu Ligi Kuu Tanzania

    Nimeona Kuna umuhimu wa kuwa na bandiko Mahsusi mwa mechi zitakazochezwa na timu zisizo maarufu kwenye Ligi ya Tanzania. Hiyo imetokana na kuwa kama Simba au Yanga hawachezi habari za mechi za timu nyingine haziandikwi humu. Tuanze na leo ambapo kulikuwa na mechi kati ya Coastal Union ya Tanga...
  12. Mwanadiplomasia Mahiri

    Yanga ilikosa Ubingwa wa Ligi Kuu mwaka 1988 ili tu amsaidie Simba isishuke daraja!

    Dar es Salaam, 1988 ▶️Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Joseph Sinde Warioba akimkabidhi tuzo ya Mchezaji bora chipukizi Ligi Kuu mwaka 1988, kiungo wa Yanga, Athumani Abdallah China. ▶️Katika msimu huo, Coastal Union ya Tanga iliibuka bingwa baada ya...
  13. Magical power

    Msimamo wa Ligi Kuu baada ya mchezo wa leo

    Msimamo Wa Ligi Kuu Baada Ya Mchezo Wa Leo Jitambulishe Kwa Emoji Moja Hapa Ya Nafasi Ya Timu Unayoishabikia ⤵️
  14. U

    Trend Analysis: Utabiri msimamo mechi ya 30 Ligi Kuu

    Kwanza msiogope washabiki wa Mpira, Kuna mahesabu ya Utabiri wa Bingwa wa ligi pamoja na msimamo wa ligi kuu pale itakapofikisha mechi ya 30, mahesabu haya yanafanyika Kwa ligi mbalimbali ikiwemo premier league ya UK. Kulingana na teknolojia ya Artificial intelligence Kwa kutumia trend...
  15. G

    Naweza kupata wapi orodha ya mechi za ligi kuu zinazochezeshwa na Arajiga ?

    Nimetokea kuvutiwa na baadhi ya waamuzi kwa jinsi wanavyochezesha mpira kwa namna inayoleta burudani Mfano napenda sana kuangalia mechi za Arajiga, ni mechi ambazo timu ikilemaa inakula dozi ya kutosha, mfano ni leo kenglold wamebebeshwa kilo 4 na Azam. Ni wapi naweza kupata orodha ua mechi...
  16. mdukuzi

    Msimu uliopota pekee mechi za ligi kuu za Yanga zimeniingizia milioni 8 kupitia betting

    Kuna watu wanashangaa vijana kushabikia mpira kuliko siasa. Hii ni ajira isiyo rasmi, kwako kijana usiye na kazi,kila mechi ya ligi weka mzigo hata laki tano hukosi laki faida Hii ni kwa mechi za yanga tu na uweke mechi moja tu,maana ushindi ni asilimia 90. Kama wanahonga waamuzi au wapinzani...
  17. M

    SI KWELI Yanga bado Siku 3 watimize Mwaka 1 bila kufungwa kwenye ligi Kuu ya NBC!

    Nimeona mtandaoni Mkuu wa kitengo cha Digital, Crown Fm ameandika kuwa Mara ya mwisho Yanga SC kufungwa kwenye Ligi Kuu ni Oktoba 4, 2023 bado siku 3 itimize mwaka mmoja pasipo kupoteza mchezo kwenye Ligi Ligi Kuu ya NBC PL. Eti wadau huyu anasema kweli au anatupanga maana huwa naona kama...
  18. N

    Wallace Karia: Msimu huu hakutakuwa na matumizi VAR Ligi Kuu

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR kwenye msimu huu wa Ligi Kuu mpaka kutakapokuwa na uhakika wa kutosheleza mechi zote kutumia VAR. Amesema VAR inaweza ikatumika katika mashindano yanayojumuisha mechi chache kama vile Ngao...
  19. Sodoku

    Simba haitachukua tena Ubingwa wa Ligi Kuu kipindi chote hiki

    Nawaambia sasa muelewe Yanga ni team kubwa na nzuri kipindi hiki cha Samia. Imekaa vizuri sana. Simba wasahau kabisa suala la kuchukua Ubingwa. It wont happen. Sababu Yanga wamesajili wachezaji wazuri awamu hii yote ya Samia na wataendelea kusajili ifanye vizuri zaidi. GSM WANAIPAMBANIA TEAM...
  20. Mkalukungone mwamba

    FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

    Alhamis hii katika NBC Premier League ni Mzizima Derby, Azam FC kukipiga na wekundu wa msimbazi Simba SC Mtanange huu utapigwa katika dimba la New Amaan Complex, Dakika ya 15 Goooal Ateba Azam 0 - 1 Simba
Back
Top Bottom