ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. Hili Kombe la Ligi Kuu 2022 ni kama Blender ya kusagia juisi

    Kwanza nawashukuru kwa dhati NBC kwa kudhamini ligi yetu, kwakweli mwakahuu vilabu hata vile vidogo havikuwa na ukata wakutisha kama tulivyo zoea kipindi cha nyuma vilabu vilikosa mpaka nauli. Pamoja na hayo, kwakweli waliopewa kandarasi ya kutengeneza kombe la mwaka huu kwakweli sijui wana...
  2. Victor Wanyama katika orodha ya wanaolipwa vizuri katika Ligi ya MLS

    Kiungo Mkenya na nahodha wa Montreal Impact, Victor Wanyama ni mmoja wa wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa katika Major League Soccer (MLS). Wanyama anaingiza Dola milioni 3.09 (Tsh. Bilioni 7) kwa mwaka ambapo mshahara ni Dola milioni 2.4 (Tsh Bilioni 5.5) akiwa ndiye mchezaji anayeingiza...
  3. Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

    Salaam Wakuu, Ligi kuu ya NBC ya msimu huu 2021/2022 inaelekea ukingoni huku timu ya Yanga ikiwa na zaidi ya 99% ya kunyakua taji hili. Kama tujuavyo mwisho wa msimu mmoja ndiyo maandalizi ya msimu mwingine. Baadhi ya timu tayari zimeanza kufanya maandalizi kwa ajili ya msimu ujao. Timu nyingi...
  4. B

    Ligi Kuu kutoisha kwa wakati

    Ili Ligi yetu iwe inaisha kwa wakati ni lazima TFF IBADILIKE katika kuita timu ya taifa. Mwaka jana timu ya taifa iliitwa week na kitu kabla ya mashindano na tukakosa kushiriki mashindano ya kimataifa vile vile. Ligi inasimama mpka inakera. Jiulize kwa nn ligi nchi nyingi Duniani zimeisha...
  5. Wydad AC waipiga Al Ahly 2-0 watwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika 2021/2022

    Mabao ya dakika ya 15 na 48 yakifungwa na Zouhair El Moutaraji yameipa Wydad AC ya Morocco ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wababe wa Misri, Al Ahly. Al Ahly ambao walikuwa wakitetea taji hilo, licha ya kushambulia muda mwingi katika mchezo huo wa Mei...
  6. N

    Simba tuendelee kuwaombea Njaa Etoile du sahel wako nafasi ya tatu ligi yao

    Kama msimu huu unaoisha tulianzia round ya kwanza tukiwa ranked number 15 kwa ubora afrika na kupata bahati ya timu 5 zilizokuwa juu yetu kuvurunda kwenye domestic leagues zao tukapata nafasi ya kuanzia round ya kwanza why not mwaka huu? Tuko nafasi ya 14 kwa ubora barani afrika lakini katika...
  7. Bingwa Wa msimu huu anapata kiasi Gani Kutoka Mdhamini mkuu Wa Ligi ya NBC?

    Wakuu Habari ya Jumapili. . Naomba Kujua kwamba ni Kiasi Gani Bingwa Wa Msimu Huu atakipata Kutoka Kwa Mdhamini Mkuu Wa Ligi. . Nimeamgalia Hivi orodha ya fedha atakayoipta Yanga kama Atakuwa Bingwa Wa Msimu Huu sioni fedha atakayoipta Kutoka NBC.
  8. Kocha Pablo: Ubingwa Ligi Kuu bado tupo tupo

    Mwanza. LICHA ya Yanga kubakiza pointi sita kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu, Kocha wa Simba, Pablo Martin amesema ni mapema sana kukata tamaa kwani kikosi chake kitapambana kuhakikisha inaweka matumaini kwenye ubingwa huo ikianza na mchezo wa kesho dhidi ya Geita Gold. Simba...
  9. Azam FC huu Mpira mlioucheza na Simba SC jana Chamazi mngeucheza katika Mechi zenu zote mmgekuwa "mnademadema' hivyo katika Ligi?

    Wanafiki wakubwa nyie na natamani mno mmalize mkiwa Nafasi ya Saba au hata ya Kumi Ligi Kuu ya NBC ikimalizika. Yaami Michezaji yenu akina Morris, Kangwa, Asamoah, Miguna, Mudathiri na Chilunda inacheza kwa Nguvu na Kukamia pale tu wakicheza na Simba SC ila wakicheza na Yanga SC wanakuwa Laini...
  10. Yanga waligomea mechi, TFF & Bodi ya Ligi wakawachekea, Makata amekuwa mbuzi wa kafara

    Popote pale unapoenda lazima kuwe na wakubwa au watu wenye hadhi fulani zaidi ya wengine, ni kweli pia hata ‘treatment’ yao huwa inakuwa nzuri tofauti na wengine, japokuwa haitakiwi kuzidi na kuwafanya wale wa chini wajione kama wao ni takataka. Ndiyo maana ‘treatment’ ya viongozi wa Serikali...
  11. Japo ligi inaelekea ukingoni, NBC bado wanayonafasi ya kuboresha tangazo lao la "kupeleka mbele soka la nyumbani"

    Kwa wadau wa Sports Marketing, mnaonaje tangazo la mdhamini wa ligi kuu (NBC Bank)? Kwa maoni yangu, tangazo la mdhamini wetu wa ligi kuu (NBC Bank) ni zuri lakini haliwatangazi. Tangazo lao, haliwatangazi bali linaonesha tu kuwa nao bado wapo. Segement ya huduma zao ipo kama haipo. Mpaka...
  12. Adhabu ya TFF/bodi ya ligi kwa Mbwana Makata, sio kila gari ni Ambulance.

    Makata kudai ambulance kuwepo uwanjani ni suala la kikanuni na Ambulance haikuwepo uwanjani bila kujali kuwa ilikwenda wapi kufanya nini. Ambulance ni gari maalumu lenye miundombinu inayoweza kuokoa maisha ya mgonjwa mwenye afya mbaya wakati anakimbizwa kuwahi matibabu kamili ya hospitali. Sio...
  13. Ligi Kuu Bara: Kocha Afungiwa Miaka Mitano Kwa Kushawishi Wachezaji Kugomea Mchezo

    Mbwana Makata Kocha Mbwana Makata na Meneja David Naftali wa Mbeya Kwanza wamefungiwa kwa kipindi cha miaka mitano kila mmoja kwa kosa la kushawishi/kuamuru wachezaji wasiingie uwanjani kuanza mchezo tukio lililosababisha mchezo wa timu yao dhidi ya Namungo FC kutofanyika. Kamati ya Saa 72 ya...
  14. Kwanini Mwigulu akiwa na cheo Serikalini lazima awe na timu ligi kuu?

    Kipindi akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Nchi, alikuwa anamiliki timu ya Singida Utd ya pale mkoani Singida. Akajaza wachezaji wa kigeni kibao kama vile Michel Rusheshagonga, Shafik Batambuze, Tafazwa Kutinyu nk Wadhamini nao wakajitokeza wa kutosha mpaka jezi ikawa imechafuka kwa matangazo ya...
  15. Ghana: Timu ya AshantiGold FC imeshushwa mpaka ligi daraja la pili kwa kuhusika na upangaji wa matokeo

    Timu ya Ashantigold SC imepigwa faini na kushuka hadi Ligi Daraja la Pili baada ya kupatikana na hatia ya kupanga matokeo katika mechi ya Ligi Kuu ya Ghana 2020-21 dhidi ya Inter Allies FC. Klabu hiyo imekutwa na hatia kutoka kwa kamati ya nidhamu inayoongozwa na mwenyekiti Osei Kwadwo Adow...
  16. FT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga / Uwanja wa Jamhuri / Dodoma / Ligi Kuu Bara

    Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC, leo Jumapili Mei 15, 2022, Yanga watakuwa ugenini kwenye Uwanja wa Jamhuri kucheza dhidi ya Dodoma Jiji FC Mkoani Dodoma. Ikumbukwe kuwa Yanga haijapata bao hata moja katika mechi tatu zilizopita mfululizo katika Ligi Kuu Bara, presha kubwa ipo pia kwa mshambuliaji...
  17. L

    App gani nzuri na ina ligi nyingi za kuangalia live kwenye smartphone?

    Ni App gani nzuri na ina mechi nyingi za mpira wa miguu ambayo naweza kuweka kwenye smartphone?
  18. S

    Msimamo wa Ligi tafadhali

    Mwenye kuweza kutupa msimamo wa ligi mpaka usiku huu naomba afanye hivyo. Yanga bila shaka amebakiza mechi nane kama sio saba mpaka kufikia leo huku akimzidi Simba kwa pointi kumi. Tusaidieni wenye takwimu sahihi.
  19. Simba SC. Timu pekee inayoipa hadhi ligi Tanzania

    Habari wadau!!! Naenda Moja kwa Moja kwenye mada kama kichwa Cha habari kinavyojieleza; Mpaka Sasa Simba Sports Club ni timu pekee kwa Tanzania inayokuza ligi ya Tanzania na kuipa hadhi hata nchi za jirani kama Malawi, Zambia, Zimbabwe hapo sijaweka East Africa. Inaiwakilisha Tanzania...
  20. M

    Inawezekana yanga akamaliza ligi bila kufungwa

    Ndivyo ilivyo kwa maana asilimia 90 ya mechi ngumu kamaliza, Namungo, Azam, Simba, kmc,geita gold, hizo zote amepenya, sasa amebakiza asilimia 10 tu kwa biashara, mbeya city na dodoma jiji, Pongezi kubwa kwa kamati ya usajili msimu huu walijitahidsana👏👏👏👏👏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…