Bunge la Tanzania limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Kazi (NA.13) wa Mwaka 2024 ambao umeongeza likizo ya uzazi kwa wanaojifungua Watoto njiti ambapo itaanza kuhesabiwa wiki 40 baada ya Mama kujifungua huku Baba wa Mtoto njiti akipewa likizo ya siku saba badala ya likizo...
Kwa karne nyingi, Afrika imekuwa ikijulikana kama bara tajiri kwa rasilimali zake za asili. Tunapenda kujigamba kuwa tuna dhahabu, almasi, mafuta, gesi, ardhi yenye rutuba, na madini adimu. Lakini ukitazama takwimu za rasilimali duniani, hali ni tofauti. Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Italia, na...
Zilipita wiki 2 Hadi 3 ndipo yakatangazwa mafunzo ya walimu kwa ajili ya kuuanza mtaala mpya!
Walimu wengi hawakuhudhuria sababu walikuwa likizo (waliyoipata kisheria kabisa kwenye ess). Waliohudhuria, walilazimika kugharamika kidogo kinauli pamoja na muda wao wa kupumzika.
Mafunzo yalikuwa...
Tangu Novemba 2024 nimekuwa niliwasiliana na HRS wahuishe na kubadili TAREHE za likizo, mwezi Novemba ukaisha, Disemba umeisha mpaka sasa Januari kila siku nitabadilisha nitabadilisha .
Wadau Ma-HR mlio humu na Ma-IT wa Halmashauri hivi kufanya mchakato huo ni masaa mangapi? Kuna ugumu gani...
Nikiwa nafanya manunuzi madukani, niliingia duka moja nikaulizia bidhaa niliyoitaka nikaambiwa ipo. Kijana niliyemkuta nje ana rangi kama yangu, akanitajia bei na akanitolea bidhaa niliyohitaji. Ilipofika muda wa malipo akanielekeza dirishani nikalipie.
Kufika hapo dirishani nikakuta mvulana...
Habari Wadai,
Mimi naomba nende Moja Kwa Moja ktk mada yangu, Kuna hii kero ya walimu wilaya kilwa mkoani Lindi kucheleweshewa kulipwa nauli zao za likizo Kwa wakati, inafikia hatua hadi mwalimu husika anaacha kudai nauli yake ya likizo Kwa urasimu uliopo. Kwa mfano, Kuna walimu kadhaa idara...
Kumekuwa na tatizo la wakurugenzi na wakuu wa idara Mkoa wa Morogoro hasa Manispaa ya Morogoro kuwazungusha Watumishi hela zao za nauli wakati wa kwenda likizo.
Hili ni tatizo limekuwa likijirudia na limekuwa mazoea (Kero) ya muda mrefu. Wadau na Watumishi tumekuwa tukizungushwa mara kwa mara ...
Wakati wa likizo ni fursa ya kipekee kwa mzazi au mlezi kujenga uhusiano bora na mtoto. Huu ni muda wa kumfundisha ujuzi muhimu kama vile usafi, kupika, kuogelea, au hata kutembelea maeneo ya kufurahisha.
Mbali na hilo, likizo ni wakati wa kuonesha upendo kwa mtoto wako, kumfundisha kujieleza...
“Ni Kweli nilipewa Sumu miezi kadhaa ilopita na ni jaribio la Tatu, mbili zilizotangulia ilikuwa nimwagiwe tindikali kabisa ila wakubwa wastaafu wakanipa taarifa mapema” Makonda akijibu swali la Zembwela baada ya kuulizwa uvumi wa kuwa hakuwa likizo ya kawaida bali ilikuwa matibabu…
“Pia watu...
Sasa hivi kuna mchezo unachezwa na wahusika na maafisa utumishi...wahusika wanawapitia gawio maafisa utumishi au mpaka wakuu wa vituo vyao vya kazi...na wao kupotelea kwenye inshu zingine za kibinafsi...Hivyo kupelekea kupokea mishahara wasiyo stahili.....fanyeni uchunguzi wa haraka kuanzia...
Raisi Paul Kagame leo mchana ameridhia kupandishwa vyeo vya ngazi ya brigedia jenerali na cheo cha kanali kwa maofisa kadhaa wa jeshi la Rwanda.
Hatua hii yafuatia hatua ya raisi Kagame kumteua waziri mpya wa ulinzi Juvenal Marizamunda, mkuu mpya wa jeshi la Rwanda Meja Jenerali Mubarak Muganga...
Walianza kuhamishwa wanyama wa mwituni kwenda jangwani.. Kisha ikafuatia likizo ya mchongo ya kimyakimya na coumaflage ya kifo.. Ili kutoa nafasi kutengeneza mambo vizuri mezani
Kila kitu kilipokaa sawa na mishekeli kuingia kibindoni ndipo likizo ikafika ukomo
Kilichofuatia baada ya liziko ni...
Sisi Watumishi wa SGR ambao tupo chini ya Mkandarasi Mkuu wa mradi huo, Yapi Merkezi tunasikitishwa na kitendo cha Muajiri wetu kupunguza Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa likizo ya lazima.
Uongozi wa SGR Lot One inayoanzia Dar es Salaam kwanza ulitutaka kwenda likizo ya miezi minne, wengine...
Yaani Jamaa kaenda Likizo siku kadhaa tu lakini karudi ule weusi wote umeisha, kawa mweupe peee huku mwili ukiwa umepukutika kama vile anavyotuelekeza Profesa Janabi yaani, Daaah!!
Nawaomba wanaJF wenzangu nendeni likizo ili mkirudi mng'are huku vitambi vikiwa vishawaporomoka, kwani hamtaki...
Tarehe 26 Julai baada ya kauli hii na ile za kimtandao kumhusu RC Makonda mmoja wa Wasaidizi wake alitoka hadharani na kuweka wazi kuwa RC yuko likizo ya kawaida.
Likizo hii ya kawaida kwa mujibu wa miongozo ya kiutumishi ni wiki 4 tu. Sasa tukipiga hesabu kuanzia tarehe ambazo alianza...
Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na darasa la 7 kusoma na kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Lakini imekuwa ni kawaida kwa shule za binafsi kukiuka utaratibu wa mapumziko(likizo)pindi shule zinapofungwa kwa kulazimisha wanafunzi kupumzika Kwa wiki moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.