Samahani kama nitawavuruga vichwa,,ila naomba mnielewe .
Mwez wa 12 nina likizo ya mwez 1 means hadi januari,nataka ndani ya kipindi cha likizo hiyo mpaka shule zinafungua niwe nimeingiza at least laki 3 au 4.Naombeni vibarua hivyo bas wandugu...badala ya kulala tu na kuzunguka mwez mzima...
Habari za usiku waungwana?
Ninataka kupumzika kazi kwa muda wa angalau mwaka mmoja au miwili.
Kuna jambo nataka kulifanya la kibinafsi.
Mimi ni mtumishi wa serikali.
Aliyewahi kuomba likizo isiyo na malipo au anayefahamu kwa undani hili jambo anipe mwanga.
Thanks
Majira ya joto yamefika na tunapozungumzia majira ya joto, huwa mara nyingi kwa wanafunzi wa nchi mbalimbali pia wanazungumzia likizo yao ndefu hasa kwa nchi zile zenye misimu ya joto, baridi, mpukutiko na spring au mchipuko.
Katika kipindi hiki baadhi ya wanafunzi huwa wanajiunga na kambi za...
Nchi yetu imebarikiwa maji, ardhi yenye rutuba, watu wenye afya, Rasilimali lukuki lakini 60% ya raia wanaishi katika umasikini wa kutupwa.
Kitu kinachowashinda wengi ni mitaji ya kuanzisha biashara. Hili si tatizo kubwa kama tukiwashirikisha diaspora. Diaspora anaweza kupata mtaji wa...
Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
barbara gonzales
haji manara
hataki
klabu
kuondoka
kwanza
lazima
likizo
mashabiki
mawazo
mbali
mgando
milioni
mkataba
mshahara
muda
sahihi
siku
siku 7
simba
wachezaji
Waziri wa Afya, Dkt Zweli Mkhize amepewa likizo maalum na Rais Cyril Ramaphosa kufuatia tuhuma za ufisadi, ikidaiwa wasaidizi wake wawili wamefanya ubadhirifu wa zaidi ya Dola za Marekani Milioni 6 ambazo ni Fedha za Umma kwa ajili ya COVID19.
Kumekuwa na malalamiko kuwa maelfu ya Mikataba...
Imekuwa ni kawaida kwa watoto wanasoma Shule za Binafsi kuwabebesha watoto mafurushi ya kazi za kufanya wakiwa likizo almaarufu Kama HOLIDAY PACKAGES na wakati mwingine watoto wanaendelea kwenda shuleni wakati wa likizo kwa kile kinachoitwa HOLIDAY COACHING. Sasa hizi ni likizo?
Likizo...
Halmashauri ya tatu kwa ukusanyaji mapato Tanzania. Halmashauri inayomiliki timu ya mpira ligi kuu Tanzania. Sasa ni mwezi wa sita watumishi wengine wanaanza likizo wakati huo huo kuna watumishi walioenda likizo mwaka Jana bado hawajaipwa nauli zao.
Nauli ya likizo sio hisani ni lazima kila...
Wakuu poleni na majukumu ya siku ya leo. Nimekuwa nikifatilia mienendo ya wanafunzi wetu pindi wanapokuwa likizo nikajiridhisha kuwa watoto wengi wanaingizwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume wasio waadilifu. Kipindi hiki kuna wanafunzi waliomaliza Kidato cha Sita mtaani, wapo waliomaliza...
Waalimu naomba mnisaidie hii,
Ratiba ya mwaka inaonesha ni tarehe ipi shule za serikali zinategemea kufungwa kwa likizo hii ya June 2021 na tarehe ya kufungua pia...?
Muhimu: kufanya mila za tamaduni mfano kuchinja mbuzi na kutumia damu katika shughuli za kienzi tamaduni haya ni mambo ambayo yapo karibu kila kabila, huu sio ushirikina bali ni tamaduni. Hapa tunazungumzia ushirikina kama kupigana vipapai (kurogana), kuamka mwili umepigwa chale, kusumbuliwa...
Shule za msingi na sekondari zimefungwa. Lakini kwa sasa, baadhi ya mashule, yanalazimisha wanafunzi, hasa walio kwenye madarasa ya mitihani, warudi shule "kwa masomo ya ziada".
Wanapuuza, amri/maelekezo/ushauri toka mamlaka husika kwamba wanafunzi wawe likizo kuanzia tarehe fulani hadi fulani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.