Naomba muongozo wa likizo kwa mtumishi wa umma umekaaje.
Ni haki mtumishi kufutiwa likizo yake ya mwaka? Maana nimefanya kazi miezi 12 bila likizo nimehamia kutoka halmshauri nyingine ambako nilikuwa nachukua likizo zangu Desemba, nimefika huku wanasema mwezi huu hawaruhusu likizo na kunitaka...
Anonymous
Thread
afya
hai
idara
idara ya afya
likizo
mwezi
usumbufu
Nimefungua huu uzi baada ya kuona "dokezo" hili lililopostiwa hapa JF...
https://www.jamiiforums.com/threads/walimu-shule-ya-mpanda-day-wanalazimisha-wazazi-tulipe-hela-ya-twisheni-wakati-wa-likizo.2163945/unread
Nipo hapa kupinga hili dokezo kwa nguvu zote kwa sababu haliendani na uhalisia wa...
Ndg zangu.
Kipindi hiki ni wiki moja watoto wakiwa wameanza likizo napenda sana kuwafundusha mapishi mbalimbali. Tukiwa jikoni yaani ni kama hotelier vile.
Sasa sijui wife anawaza nini ndoa isije tetereka
Salaam Wazazi/Walezi
Kama mnavyojua vijana wetu wanakaribia kuanza likizo yao ya mwisho wa mwaka. Tuwapongeze kwa kuweza kupambana na masomo yao kwa kipindi chote mwaka huu. Shule huchosha akili, hasa hizi shule ya English Medium zimekuwa zikiwarundikia kazi wanafunzi hivyo kukosa muda wa...
MBUNGE SANTIEL KIRUMBA AONGOZA MAADHIMISHO YA MTOTO NJITI DUNIANI, AGAWA MAJIKO YA GESI, AIOMBA SERIKALI IONGEZE LIKIZO MAMA ALIYEJIFUNGUA MTOTO NJITI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba ameongoza Maadhimisho ya Mtoto Njiti duniani katika Halmashauri ya Wilaya ya...
Mtoto ni kama vile kazaliwa kwajili ya kusoma tu.
Tena siku hizi wameongezewa masomo na muda mwingi wapo shulenj, hawa ni watoto wenye umri mdogo kuliko hata sisi tulipokuwa shuleni, kumbuka siku hizi watoto wengi wanaanza la kwanza wana miaka mitano wanamaliza elimu ya msingi darasa la sita...
Kiongozi hupimwa kwa uwepo wa kuvumilia mishale kipindi cha shida na kipindi cha hoja za kitaifa. Rais ameona upepo wa kisiasa, ametambua uwepo wa tafsiri mbaya dhidi ya nia yake ya kutafuta wawekezaji wa bandari.
Ili kujipa muda maalum wakitafakari naamini ameamua kukaa sehemu ambayo atafanya...
Jamani kama sikosei kisheria Mh. Rais kama mtumishi wa umma, anayo haki na stahiki ya kwenda likizo ya mwezi kila mwaka kama ilivyo kwa watumishi wote wa umma.
Hata kwa wenzake waliomtangulia walienda likizo mara kwa mara na sote tulifahamu hili. Kwa jinsi mambo yalivyo mengi sasa hivi nchini...
Habarini Wana JF
Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili nasoma Bsc in chemistry. Hivyo nahitaji kujitolea wakati wa likizo kuanzia mwezi wa nane Hadi kumi na moja. Mwenye connection kiwanda chochote au mwenye kujua taratibu za kupata nafasi naomba Msaada.
@everyone
Pongezi kwa shule zote zinazobakiza watoto kusoma wakati wa likizo. Kama nchi tunatakiwa kufurahia watoto wakisoma sana, wasome kadri wanavyoweza.
Tangazo la kuzuia watoto kubaki shuleni kusoma wakati wa likizo lina lengo gani hasa? Maana ukiangalia siku wanazosoma watoto wa Tanzania kwa...
1. Kwanza likizo zimekatazwa, wao wanakaidi
2. Wanawatoza hela watoto kwa kila kipindi watakachofundishwa. Wamewatuma watoto waende na hela(Mwang'ombe)
Prof aliwaonya kuwa shule za serikali watoto waende likizo kama kalenda ilivyo.,
Mmeruhusu haya?
Nasoma gazeti la Mwananchi hapa kuhusiana na mvutano aidha watoto waende likizo au wabaki shuleni kujisomea. Mjadala huu ulikuwa Bungeni. Kuna hoja kuwa baadhi ya mikoa kupitia wakuu wa mikoa imepanga utaratibu wa kuongeza "ufaulu". UFAULU kwenye maeneo yao.
Sehemu nyingine Mbunge na mmiliki wa...
Kipindi cha likizo ni lazima mwanafunz aende likizo. akae mbali na darasa na akae karibu na nyumbani.
Akae mbali na waalimu, na karibu na wazazi au walezi.
Kutaka kuwapa masomo ya zaidi. Ni Tamaa ya fedha au kiashirio Cha uzembe wa walimu:
Uzembe kwa maana ya kushindwa kukutumia muda wa...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema wamepokea malalamiko kwamba kuna Shule zinazuia Wanafunzi kwenda likizo bila kushauriana na Wazazi huku Wazazi wengine wakitakiwa kulipa ili kuwaweka Wanafunzi Shuleni ambapo amewataka Viongozi wa Shule kutambua kuwa ni haki ya...
Habari wanabodi,
Bila shaka kila mmoja wetu anafahamu pilikapilika za wanafunzi kusoma shuleni. Imekuwepo tabia ya baadhi ya shule kuwabakiza wanafunzi kipindi cha likizo kwa kigezo cha kuwaandaa na mitihani ya taifa.
Kitendo hicho ni kinyume na sera pamoja na miongozo ya elimu inayomuhitaji...
Katika , hali ya kutatanisha , shule ya masister inayomilikiwa na Kanisa katoliki mkoani DODOMA iitwayo HURUMA secondary school, imezua vurugu miongoni mwa wazazi wa vijana wa kidato cha nne .
1. Shule hiyo inadaiwa kuondokewa na waalimu wao mahili katikati ya maandalizi ya NECTA ijayo ...
Habari wadau, ni takribani mwaka wa 4 sasa naona wanafunzi wanaosoma sekondari na msingi hususani madarasa ya mitihani hawapewi likizo mwezi wa 4, hali hii inawanyima wanafunzi muda japo kidogo wa kupumzisha vichwa vyao.
Hili ni tatizo kubwa ambalo halitakiwi kufumbiwa macho na wadau wa elimu...
Jameni Warusi wanapitia mateso sana, mtu amejeruhiwa amepasuka pasuka analazimishwa arudi vitani akapigane na kufia huko, hii aibu itaisha lini maana kama inazidi kuwa mbovu.....
Severely injured Russian soldiers are being returned to the frontline in Ukraine without the approval of military...
Toka kuumbwa dunia wiki hii ndo nimesikia mfanyakazi anapewa likizo ya siku 60 (ambayo hakuiomba). Maafisa utumishi/wanasheria tusaidieni sisi Ngumbaru
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.