Acheni jamani,
Naumwa.
Yani nina kama burn out fulani, hata siwezi kupokea simu za watu.
Ujenzi unachosha sio tu mfuko, na wewe pia unayesimamia unachoka hovyo kabisa.
Nilianza mwezi wa saba mwaka jana, na mwezi huu nimemaliza. Utukufu kwa MUNGU Mkuu.