Habari wadau, ni takribani mwaka wa 4 sasa naona wanafunzi wanaosoma sekondari na msingi hususani madarasa ya mitihani hawapewi likizo mwezi wa 4, hali hii inawanyima wanafunzi muda japo kidogo wa kupumzisha vichwa vyao.
Hili ni tatizo kubwa ambalo halitakiwi kufumbiwa macho na wadau wa elimu...