Lindi is a coastal town located at the far end of Lindi Bay, on the Indian Ocean in southeastern Tanzania. The town is 450 kilometers south of Dar es Salaam and 105 kilometers north of Mtwara, the southernmost coastal town in Tanzania, and gives its name to the surrounding Lindi Region, one of the most sparsely populated areas of the country. The town population was 78,841 as of the 2012 national census.
We kiongozi unaweza! Hilo ndo pekee lililopo la kusema kuhusu wewe!!!
Naomba nijaribu kushauri yafuatayo;
1. Sherehe za utoaji wa zawadi mwaka huu (kama zipo) hazitokuwa za haki kama walimu walioingiza masoko yao katika kumi bora ya ufaulu (kidato cha nne) ya mkoa hawatozawadiwa......hata...
Kijana mmoja aliefahamika kwa jina la Ally Chinga mkazi wa kata ya Msinjaili manispaa ya Lindi amefungiwa ndani na kupuliziwa dawa ya Mbu baada ya kupigwa na mtu aliyemtuhumu kuiba betri ya gari leo Disemba 28, 2021.
Imeelezwa kuwa, Mtuhumiwa huyo ambaye ni kondakta, alipewa gari hiyo kwenda...
Mahakama ya hakimu mkazi wilaya Lindi imemuhukumu Selemani Matola (53) mkazi wa Halmashauri ya Mtama kifungo cha maisha gerezani baada ya kukutwa na hatia ya Kumnajisi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 8
Inadaiwa kuwa mshatakiwa huyo alifanya tukio hilo Disemba 17,2021 usiku wakati mkwewe...
Hii clip inajieleza:
Wananchi hawa wa kata ya Mandawa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi wameona wala isiwe taabu.
Wamejielekeza vilivyo kwenye mada. Vinginevyo chukueni vyenu wala tusijuane!
Haki ni zetu sisi.
Heshimuni matakwa ya watu.
JOBS VACANCY
Clinical Assistant at Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS)
Advisor – ART Retention and Community Based Health Service Delivery (6 Posts) at MDH DECEMBER 2021
Advisor – HTS & HIV Prevention Service Delivery (6 Posts) at MDH DECEMBER 2021
Advisor –...
Jeshi la Polisi mkoani Lindi, limemfuta kazi askari No.H.2324 PC Joseph kwa kosa la kumpiga risasi askari mwenzake No J.1752 PC Onesmo Joseph wakiwa lindo katika Benki ya CRDB Tawi la Ruangwa kilichosababisha kifo chake akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Kauli hiyo...
Habarini za asubuhi naombeni kujua huu mradi wa ela nyingi nimesikia umeanzishwa uko LINDI na nadhani utahitaji watu mbalimbali.
Naomba kujua nafasi za kazi zinapatikana vipi uko, maana mimi nipo mbali kidogo nipo mkoani KIGOMA huku nilitaka kujua ili nijue naanzia wapi kutafuta kazi huko...
Lindi. Watu watano wakazi wa Kijiji cha Rutamba Halmashauri ya Mtama wanadaiwa kuwa ni wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), wamepotea tangu Oktoba 30, 2021.
Katibu wa CUF Wilaya ya Lindi, Shadhil Bosha amesema kuwa watu hao waliopotea ni wanachama wa chama hicho akidai kuwa walichukuliwa na...
Wamachinga,
Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi.
Lugha yao ni Kimachinga. Inasadikiwa asili ya kabila hili ni kandokando ya ziwa Mkoe, hasa mto Mbwemkuru unapoingia baharini.
Wamachinga katika biashara. Kwa kipindi cha karne ya 20...
Nimesikia tukio la dereva kutaka kuwaua Askari ila wakamuwahi, jambo hili sijalishangaa kwangu naona kuwa ni jambo sasa Serikali kuweka vifaa maalumu pale kwenye kizuwizi kuwasaidia hawa Askari.
Kiufupi ukiwa kusini ukimuuliza dereva au mtu anaye ijua hiyo barabara atakwambia askari wapale...
Dereva wa gari la Dangote Ibrahim Said ameuawa na polisi baada ya kutaka kumnyang'anya askari bunduki.
Kamanda wa polisi mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinkwi anasema dereva huyo alifika eneo la kizuizi cha polisi akiwa kwenye mwendo mkali na hakusimama na alilenga walipokuwa wamekaa askari na askari...
LEOO NIMEANGALIA WAKULIMA WANAVYOLIA LINDI KUSA M ADA KUJA NA BEI ZA HASARA KABISA KAKUMBUKA .MENGI SANA
WANANCHI WA LINDI MMENUFURAHISHA SANA WALIPOFIKA MNADAN WAKAKUTA BEI ZA AJABU WALICHO FANYA N KUGOMA NA KUAIRISHA . MNADA
DC NA MKUU WA MKOA NAJUA UNALIJUA HILI NAMANI KUONA UKITOA NENO...
TBS YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WA BIDHAA ZA KOROSHO (WASINDIKAJI NA WAFUNGASHAJI) - MKOANI LINDI
Na Mwandishi wetu Mkoani Lindi;
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Taasisi zingine za serikali leo Tarehe 13 Septemba, 2021 wanatoa mafunzo kwa Wajasiriamali wapatao 40 ni...
WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI MKOANI LINDI WAPATA MWAMKO WA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA ZAO MARA BAADA YA KUPATA ELIMU KUTOKA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS)
Na Mwandishi Wetu, Lindi
WAFANYABIASHARA na wajasiriamali mkoani Lindi wamepata mwamko wa kuthibitisha ubora wa bidhaa zao pamoja...
Hakuna taifa lolote duniani lililosimama imara bila nguvu za mkuu wa anga! Kuanzia matambiko mpaka makafara na vyama vya kishetani.
Hivi vyote vimejenga madhabahu zao kwenye kila ardhi ya kila taifa. Wananchi wake wana dini na imani zao lakini mataifa yamesimikwa kwenye hizi madhabahu viapo na...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Mkoa wa Lindi, leo Jumanne.
Amewasisitiza waendelee kuchukua tahadhari na kujikinga na corona.
Source : Mwanahalisi twitter
======
My take
Imagine waziri mkuu wa nchi anakusanya watu...
Habarini watanzania,. Kata ya KIRANJERANJE inapatika wilayani KILWA mkoani LINDI kata hii ina vijiji sita ambayo ni KIRANJERANJE ambayo ndo makao makuu ya kata, MTANDI, MBWEMKURU, MIRUMBA, KISWEHELE na MAKANGAGA. Katika kata hii kwenye vijiji vyake sita kijiji chake...
Habari,
Naomba kufahamu kwa wazoefu wa mkoa wa lindi, ni wilaya gani ina maji ya kumwagilia. Na kilimo cha mbogamboga huko kinafaa kufanyika. Ufugaji, ni wanyama gani wa kufugwa na ndege wenye soko zuri.
Naomba maelekezo kabla sijaenda huko kikazi
Habarini za leo wana Jamii Forums
Nilikuwa napenda kuuliza mashamba ya korosho kwa mkoa wa Lindi upatikanaji wake umekaaje na vipi gharama za kununua eneo la hekari moja.
Msaada tafadhali kwa mwenye ufahamu juu ya hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.