Lindi is a coastal town located at the far end of Lindi Bay, on the Indian Ocean in southeastern Tanzania. The town is 450 kilometers south of Dar es Salaam and 105 kilometers north of Mtwara, the southernmost coastal town in Tanzania, and gives its name to the surrounding Lindi Region, one of the most sparsely populated areas of the country. The town population was 78,841 as of the 2012 national census.
Baadhi ya wananchi wa Nachingwea ambao wapo ktk kundi sogozi la WhatsApp la NACHINGWEA YETU, wamekabidhi mifuko 300 ya saruji kuunga mkono ujenzi wa mradi mpya wa Nachingwea boys high school inayojengwa kwa kutumia mapato ya ndani ya halmashauri ya wilaya ya Nachingwea iliyopo mkoa wa Lindi...
Mkuu wa TAKUKURU (M) LINDI Mhandisi Abnery J. Mganga akitoa taarifa kwa umma kuhusu kuwafikisha mahakamani wafanyabiashara watatu (3) ambao ni:
1. Bw. Abdallah Said Luyaya, Mfanyabiashara na mmiliki wa duka la pembejeo liitwalo LUYAYA KILIMO KWANZA lililopo Wilaya ya Nachingwea
2. Bw. Ismail...
Habarini. Kama kuna yoyote ana mdada wa kazi anayemjua anatafuta kazi anicheki PM.
Anahitajika kwenda kufanya kazi Ruangwa, Lindi. Muhitaji ni mwanamama mtu mzima mtumishi wa serikalini. Hana mtoto wala familia. Watakua ni wao pekee wawili.
Waziri wa kilimo prof Adolf Mkenda amekuwa mbogo baada ya kuzungushwa na mrajisi wa ushirika mkoa wa Mtwara na kuamua asimamishwe kazi mara moja na amemtaka katibu mkuu apeleke mrajisi mwingine mkoa wa Mtwara.
Pia waziri wa Mkenda amempa onyo kali mrajisi wa ushirika mkoa wa Kilimanjaro (KCU)...
Vitendo hivi vinazidi kushamiri nchini, watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Mwenyekiti wa Kijiji wamechoma moto magari na nyumba ya Msimamizi wa uchaguzi vile vile wamechoma moto magari na nyumba ya Mbunge.
PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana
~ Matukio ya Watu...
Anaandika Mwl Razaq Mtele Malilo.
Katika misimu miwili iliyopita zao la ufuta lilinunuliwa kuanzia Tsh 2500 hadi Tsh 3000 hali iliyopelekea watu wengi kuhamasika kulima zao hili kwa wingi na vijana wengi walihamasika kurudi mjini hasa jiji la Dar Es Salaam baada ya kuvutiwa na ongezeko hilo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.