Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mkutano wa wadau mkoani Pwani leo Februari 01, 2025 ambapo ametangaza ratiba ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye mkoa huo ambao utafanyika kwa siku saba kuanzia...
Sijui na bahati mbaya YAAN kila siku nikiangalia taarifa nakuta jamaa wanaelezea wahusika wamechekewa kutia taarifa moto ULIKUWA stage mbaya imesambaaa
Sasa tunasaidianaje na hiliiiii
Hili n tatizioo kwakweli
Naangalia eatv kuna godown zimeungua...hivi godown zinaona moto zinaweza Chelsea...
Mwanza kata za Isamilo na Kiloleli hazina maji kwa zaidi ya wiki mbili sababu ukarabati miundo mbinu, maji tunapa ziwani . Hatujui yata rudi lini je huo ni utaratibu wa ukarabati maana imezoeleka hivo lakini watu wanaumia kwa sababu hapo ni mjini hakuna chanzo mbadala cha maji. Mlipuko wa...
Anonymous (ce8b)
Thread
hazina
lini
maji
mbili
mwanza
sababu
ukarabati
wiki
wiki mbili
zaidi ya
Nimejifunza kitu wiki hii Tofauti ya Nation na Country.
Kwa kiswahili sijui ni aje
Nchi na Taifa.
Taifa ni nchi yenye
Tamaduni moja
Lugha moja
Dini moja
na mila moja
Wakati nchi Ni jamii ya watu wenye lugha tofauti na tamaduni tofauti waliojikuta au kuishi pamoja.
Mfano wa mataifa
-Ujerumani...
KWA NINI TUNAOA? NI LINI NDOA INA-EXPIRE NA HAUTAKIWI KUFIKIRI KUTOA TALAKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Lazima ujifunze, kabla hujakipokea kitu au Jambo lolote lazima ujifunze namna ya kukitumia na kukiacha siku kikiwa Expired na useless. Hiyo ni Kanuni.
Ndoa ni muunganiko wa hiyari...
CCM ndio chama kilichoamoniwa kutupa mwelekeo wa taifa. Hata wananchi walipoulizwa kama wanataka vyama vingi miaka ya 90 walisema kwa zaidi ya 80% CCM iendelee.
Huwa sijui kwa Mujibu wa CCM na ilani zao wao wamepanga kuumaliza umasikini lini?
Katika mikakati yao sasa hivi tuko katikqti ya...
Kwa wataalamu wa historia, sayansi ya jamii, na uchumi, umaskini na kubakia nyuma kwa Afrika ni matokeo ya ukoloni uwe wa kisiasa au kiimani au kiutamaduni kama siyo kijamii.
Kupitia jinai hii, nchi za magharibi na za mashariki ya kati ziliingiza dini na kutuibia mali nyingi huku zikiharibu na...
Mapenzi haya ya Samia kwa Jenista ni sawa na uwehu, huyu waziri wa Afya wa sasa Jenista Mahagama ni kilaza kiasi kwamba hata kusoma hotuba aliyoandikiwa hawezi kusoma. Km anampenda sana kwanini asimpatie kazi itakayomfanya asionekana mbele ya hadhara? Nia ya Samia ni kuiaibisha nchi yetu?
Miaka...
Wasalaam!
Natoa rai, na niwakumbushe, tunahitaji huduma ya starlink kuliko kitu chochote Tanzania.
Kwa sisi tunaoishi vijijini tutakuwa tumeponywa na ujio wa huu mtandao ukizingatia kwamba makampuni ya simu yameshindwa kufikisha huduma katika maeneo ya mbali.
Nchi karibu zote Afrika tayari...
Ukiniuliza kama Tanzania ina kiongozi, nitajibu kuwa ina rais lakini si kiongozi. Ukiuliza kama Tanzania ina sera, nitakujibu kuwa ipo sera ya uchawa.
Ukiuliza, kiuchumi Tanzania inaongozwa na nini, nitakujibu kuwa sera yake ni ya shamba la bibi ambapo wezi huja na kugema watakavyo.
Ukiuliza...
I WILL BE SHORT
Wengi tunasubiria hii complex ifunguliwe , naona tarehe inasogea , it was december , naona now kimya ??
When are they planning on opening this complex ,watu tufungue biashara mikoani , kariakoo kumekuwa kubaya sana , whole sale business imekufa .
Kariakoo imejaa mawinga , no...
Umeme umekuwa kero kubwa wilayani Tunduru, licha ya kukatika lila mara lakini hii imekuwa too much tangu umekatika jana tarehe 1 saa 2 usiku umeme haujarudi mpaka sasa ninapoandika tarehe 2 saa 1744 jioni.
Mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote kutoka Tanesco.
Natafakari tu hapo
Bado tuko kwenye mwaka mpya, ni lini hasa huu mwaka mpya unaanza kuchakaa?
Baada ya kulipa ada?
Siku ya kuzaliwa CCM?
Siku ya wajinga (1/4/2025)
May Mosi?
Embu wajuzi mtuambie?
Kama kuna kiongozi aliekuwa anawakemea watawala wanapoboronga tens hadharani, basi Nyerere alikuwa kiboko.
Kama kuna kiongozi aliekuwa anakemea rushwa ndani ya chama chake(CCM) tena hadharani, basi Nyerere alikuwa hana mfano
Nyerere alikemea wala rushwa, wauza mashirika ya umma, wanauza nchi...
Katika maswali ambayo natesekaga nayo nikiwa nacheki game mashabiki wenzangu wananiuliza ninaUEFA ngapi aisee huwa naishia kutukana tu.
Hivi hii timu yangu itabeba kweli UEFA maana najiona nikifa ikiwa bado haijabeba aisee The Gunner wenzangu tatizo ni Nini maana ya timu kubwa na UEFA hatuna
TTCL (Shiriki la mawasiliano la Tanzania) leo ni mara ya nne nakatwa pesa kila niingizapo vocha kwenye simu.
Mie huweka vocha tatu za shs 1,000/= ili nijiunge na kifurushi, cha ajabu naweka vocha ya kwanza haikatwi ya pili inakatwa ya tatu haikatwi.
Mara ya tatu usiku nilijaribu kununua bando...
TTCL (Shiriki la mawasiliano la Tanzania) leo ni mara ya nne nakatwa pesa kila niingizapo vocha kwenye simu.
Mie huweka vocha tatu za shs 1,000/= ili nijiunge na kifurushi, cha ajabu naweka vocha ya kwanza haikatwi ya pili inakatwa ya tatu haikatwi.
Mara ya tatu usiku nilijaribu kununua bando...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.