Katika historia mbali mbali zinaonyesha tangu zamani kwamba mwafrika amekuwa tabaka la chini katika kila jamii ya mtu mweupe aliyekua nae.
Kutokana na hayo shauku yangu kuu na maswali yangu ya ni lini waafrika tutatoka hapa tulipo katika nyanja mbalimbali kama vile biashara, uchumi, siasa...
Kocha uyu kwa miaka yote aliyokaa coastal union ajawai kupata ata sare mbele ya Simba, lakini akikutana na timu nyingine unaona anapata matokeo!
Uyu jamaa uwa ni mwanachama mwaminifu wa Simba anawasaidia sana kupata point kwenye timu yoyote anayoifundisha, aiwezekani Kila mechi ukose mbinu...
Kila siku kunatolewa taarifa za udhalilishaji baada ya kupungua ndio unaongezaka
Hukumu zinaongezwa lakini bado binaadamu hawashituki na hukumu hizo
Wadau wanaweka makongamano kujadili hili ili wajuwa tatizo ni nini bado wana majibu yale wanawake hawajistri,mporomoko wa maadili...
Ina sikitisha sana leo hii ukienda kubadilisha fedha ya Tanzania
kwa dollar au kwa shiling ya Kenya rate ni kama ifuatavyo
1 US Dollar unatakiwa utoe 2700 Tsh
1 Ksh itabidi utoe 25 Tsh
Swali kwa Wana uchumi je kuna jitihada zozote za kuinusuru shiling yetu iwe na
thamani...
Simba na Yanga ni vilabu vikongwe na vikubwa si Africa Mashariki tu bali Afrika kwa ujumla.
Yanga na Simba zina historia kubwa pengine kuliko vilabu vingi Africa, historia zao zimejengwa katika lengo lililofanya vilabu hivi kuazishwa miaka zaidi ya 63 iliyopita.
Vilabu hivi unaweza kuviita ni...
Kichwa cha Habari
MNH Je, na Sisi wenye Michogo mibaya kama Kona za Milima ya Senkeke mnapanga lini kutuandalia Ratiba zetu za Kuturekebisha
Daktari Bingwa wa Upasuaji Rekebishi na Upasuaji Urembo, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Dk. Edwin Mrema, amesema kuwa Wataalamu wanafanya upasuaji...
Tulizoea sana kuona nafasi ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu ikitangazwa, taarifa pia zikiwekwa katika ukurasa wa Facebook wa Ikulu Mawasiliano na ukurasa wa Facebook wa Msemaji Mkuu wa Serikali.
Leo, Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imetiwa sahihi na Sharifa B...
Tanzania na Afrika kwa ujumla tumekuwa na tabia na tatizo sugu la viongozi wetu kuwa na tabia ya unafiki, ubinafsi, uroho wa madaraka," what they preach is contrary what they are doing" Watanzania tuamka sasa tabia za namna hii tuwe tunazikemea hadhalani, hawezekani kiongozi yeye kaacha taaluma...
Habari wakuu,
Nina miaka kadhaa katika jiji hili la Dar es salaam, na wengine wote wanaoishi katika jiji hili ni mashahidi,
Kila nyumba ina vifaa vingi vya kutunzia maji, iwe ndoo, jaba au tank na kuna wakati unakuta maji yote uliyotunza yameisha ndanj na maji hayatoki, hasa kipindi hiki...
Tupo katika kipindi ambacho wahitimu wa kidato cha sita wanatarajia kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini. Swali ni kwamba wanachuo watarajiwa wameandaliwa mazingira mazuri ya malazi?
Ikumbukwe kule vyuoni Kuna baadhi ya wanafunzi wamekuwa wakifanya mapenzi kiholela katika vitanda vya...
Nimechoka kufundisha na kuuza Kangala.
Natamani nitekwe. Mshahara ukitoka tar 23 niwe naenda kuukabidhi.
Niwe napikiwa ugali na Samaki. Jumapili pilau kuku.
Mauzo yote ya Kangala niwe nayakabidhi kila siku jioni.
Mtekaji awe ni ni jimama linalofanya kazi baa.
Tarehe 17 mwezi wa 12 ndio siku ya kukutana na mwanaume, ila mpaka sasa hivi hajazaa yuko timamu au ni kawaida.
NB-habari ya kliniki sizijui kwahyo usiniulizee
Tanzania ni nchi pekee katika ukanda huu yenye wivu wa juu sana dhidi ya raia wake kiasi kuwa hairuhusu raia wake wachukue uraia wa nchi nyingine yoyote. Nchi zote zinazoizunguka Tanzania zilishaona mbali kuwa dunia inabadilika haraka na zikawaachia raia wao kuchukua uraia wa nchi nyingine...
Bila kujua dhamira yao huwezi kuwaelewa wanafanya hivyo kwa lengo gani. Wanachochea hasira ya wananchi dhidi ya nani? Panakofuka moshi pana dalili ya kuwepo moto. Je inatosha kwa mh.makala kuwaomba radhi wanachi kwa Yale wanayosema akina Nape, Ng'umbi Na wengine kuhusu ushindi wa ccm kwenye...
Mwalimu Nyerere aliwahi sema "Uchumi tunao, lakini tumeukalia' ithibati ya maneno ya Baba wa taifa ilikuwa sahihi kabisa, kwa kuzingatia baraka ya rasilimali asili na rasilimali watu katika bara letu la Afrika ni nguzo na mtaji muhimu wa kujiletea maendeleo, kwa kupitia vile vilivyo ndani yetu...
Ni muda mrefu sasa tangu chama hiki cha kisiasa kimekua ni taasisi iliyokosa uelekeo na kupoteza malengo na misingi ya kuanzishwa kwake, na kuamua sasa kutegemea sana propaganda za hisia kali zenye kutia huruma kwa wananchi ili kuleta taharuki, kuwavutia na kuwahadaa wananchi kanakwamba chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.